Nilichomfanyia huyu dada mpenda fedha kitamuathiri kisaikolojia kwa miaka mingi

Mi nimekuelewa sana,ila Kuna pimbi hapo juu znashabikia udangaji
 
Ni nini umeandika sasa,,hivi umekaa nakufikiri ulichokiandika,,,...
 
Hizo ni mbwembwe tu, ukweli ni kwamba huna uwezo wa kuwamudu hao wanawake ndo mana unalia Lia apa, elf kumi tu ww unapga kelele?. Ukizingatia umemuahd mwnyw kuwa aache kazi utamuwezesha, utoto ni tabu tupu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…