Nilichomfanyia mwenye nyumba wangu hadi majirani wamenipongeza

Huo ndo U-mwamba 🀝🏾
 
Na itoshe kuitwa gen z
 
Umeunguza lita ngapi? Yenye thamani Gani?
 
Asa hapo ni wao wamefail hawakupaswa kukushtua ni kutafuta namna wanasepa ni generator night Kali unakuwa umewapa life la kesho wakiuza sema Cha msingi hapo ni kuhama haraka
 
nkaenda kukodisha GENERETOR nkalipeleka mpaka gaza nkaliweka ndani, ilipofika usiku wa sa 4 nkaenda zangu na mafuta nkalijaza then nkaliwasha nkafunga mlango nkasepa nakaliacha linaunguruma usiku kucha,
Hahaha,
Hilo generator uli connect litoe umeme au kazi yake ilikuwa kutoa kelele pekee?
 
Jenga kwako bro
 
Mbinu nyingine ni kuhakikisha unatoka na huyo mjane,
ili uwe baba wa kufika wa hao vijana.
Halafu unaanza kuwapangia zamu ya usafi kila mtoto.
Unawapa nguo zako wakufulie,
Una hakikisha wanaondoka wakajitegemee
 
Itachukua siku ngapi chumba kirudi kwenye hewa yake na unakachanga.nahumo harufu ya moshi kama garage.
 
Nakumbuka mwenye nyumba alimtumia clip mpangaji wake,ikionyesha mtu (mwenye nyumba) akitoa vyombo vyampangaji wake,akivitupanje.nayule mpangaji akamtumia clip (mwenyenyumba) akionekana (mpangaji) akiwagia petrol nyumba na kuipiga kiberiti ♻️
 
Kaka ebu pambana pambana uhame mazingira hayo ya kimaskini.
Nimeshashindwa kuishi mitaa yenye watu wengi na kelele nyingi. Ni heri nipange nyumba nzima niingie gharama tu kuliko kero za majirani na vurugu mitaani.

Nafurahi sasa hivi naishi mlimani kabisa nje kidogo ya mji kelele ninayoisikia ni ya ndege asubuhi, azana, kengele ya kanisa asubuhi, crickets πŸ¦— na matawi ya miti upepo ukivuma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…