Nilichomfanyia mwenye nyumba wangu hadi majirani wamenipongeza

Baba wa mbingu

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2022
Posts
286
Reaction score
749
  • Wana jf, kwemaaaaa..?
  • Hapa niliponga kuna kero nyingi sana ambazo zinaweza epukika ila kutokana na utaratibu uliowekwa{nimeukuta} basi inabidi niendane nao hivyo hivyo kama wenzangu walivyobariki.

  • Ipo hivi hapa mamamjengo ni mjane na anavijana wake wakubwa tuu wa 3 umri wao wa kati ni kati ya 26-34, sasa mamamjengo pamoja na wanae hakuna anaechangia bili ya maji,umeme na ata usafi wa choo hawachangii sabuni wala kununua fagio kwa kigezo wao ni yatima na mama yao ni mjane hivyo hawana kazi wala nini ila kila siku night wanakuja wapo tungi hao vijana ni full matusi yaan wanatukanana hatari na wake zao so kila usiku ni kero za makelele ukijumuisha na watoto wao yaani full noise pollution.

  • Sasa j'pili iliyopita nlitoka zangu mlimani kupiga job so kufika home ni kelele nkatoka nje na kuwaeleza watoto wale waache kelele lakini niliambiwa kama hutaki kelele kajenge kwako🙄 nkaona isiwe kesicoz ninae kachanga ndaniwife akaniambia achana nao ckuiz wanapiga mziki mkubwa ad usiku wa manane kama kukomoa vile so we wapotezee tuu. basi me nkatulia zangu ndani na kweli yaani walisumbua haswa mpaka ngoma 9:17 iv usiku.

  • Asubuhi kumekucha tuu nikampeleka wife home kwa maza angu so mbali na ninapokaa then nkaenda kukodisha GENERETOR nkalipeleka mpaka gaza nkaliweka ndani, ilipofika usiku wa sa 4 nkaenda zangu na mafuta nkalijaza then nkaliwasha nkafunga mlango nkasepa nakaliacha linaunguruma usiku kucha, walipiga simu ad walidata, Then asubuhi ya j4 nkaenda nkalizima sikuongea na mtu nkasepa then ilipofka usiku wa kuamkia leo nkaendeleza doziiii.
  • L EO mchana naona balozi na mwenyekiti wamenipigia hii ni kwa mujibu wa jirani yangu alinijulisha ni namba zao so wameniomba kijana tafadhali acha unalolifanya yaani nlikusudia niliinguruishe siku 3 mfulilizo.
  • MAJIRANI WAMENIPONGEZA NA KESHO JIONI NI KIKAO NA BALOZI HOJA ZITU NI VIJNA WAKE WALIPE BILI ZA UMEME NA MAJI.
  • AHSANTENI
 
😅😅😅😅😅😅 umewakomesha 😅😅
 
Unatumia nguvu kubwa sana ili upate kuheshimika mkuu, wewe bado wataendelea kukusumbua hao kwa sababu hapo bado siyo kwako hata ufanye vipi, kama vipi hama hapo utafute penye ustaarabu aau jipange uwe na nyumba yako
 
  • Wana jf, kwemaaaaa..?
  • Hapa niliponga kuna kero nyingi sana ambazo zinaweza epukika ila kutokana na utaratibu uliowekwa{nimeukuta} basi inabidi niendane nao hivyo hivyo kama wenzangu walivyobariki.

  • Ipo hivi hapa mamamjengo ni mjane na anavijana wake wakubwa tuu wa 3 umri wao wa kati ni kati ya 26-34, sasa mamamjengo pamoja na wanae hakuna anaechangia bili ya maji,umeme na ata usafi wa choo hawachangii sabuni wala kununua fagio kwa kigezo wao ni yatima na mama yao ni mjane hivyo hawana kazi wala nini ila kila siku night wanakuja wapo tungi hao vijana ni full matusi yaan wanatukanana hatari na wake zao so kila usiku ni kero za makelele ukijumuisha na watoto wao yaani full noise pollution.

  • Sasa j'pili iliyopita nlitoka zangu mlimani kupiga job so kufika home ni kelele nkatoka nje na kuwaeleza watoto wale waache kelele lakini niliambiwa kama hutaki kelele kajenge kwako🙄 nkaona isiwe kesicoz ninae kachanga ndaniwife akaniambia achana nao ckuiz wanapiga mziki mkubwa ad usiku wa manane kama kukomoa vile so we wapotezee tuu. basi me nkatulia zangu ndani na kweli yaani walisumbua haswa mpaka ngoma 9:17 iv usiku.

  • Asubuhi kumekucha tuu nikampeleka wife home kwa maza angu so mbali na ninapokaa then nkaenda kukodisha GENERETOR nkalipeleka mpaka gaza nkaliweka ndani, ilipofika usiku wa sa 4 nkaenda zangu na mafuta nkalijaza then nkaliwasha nkafunga mlango nkasepa nakaliacha linaunguruma usiku kucha, walipiga simu ad walidata, Then asubuhi ya j4 nkaenda nkalizima sikuongea na mtu nkasepa then ilipofka usiku wa kuamkia leo nkaendeleza doziiii.
  • L EO mchana naona balozi na mwenyekiti wamenipigia hii ni kwa mujibu wa jirani yangu alinijulisha ni namba zao so wameniomba kijana tafadhali acha unalolifanya yaani nlikusudia niliinguruishe siku 3 mfulilizo.
  • MAJIRANI WAMENIPONGEZA NA KESHO JIONI NI KIKAO NA BALOZI HOJA ZITU NI VIJNA WAKE WALIPE BILI ZA UMEME NA MAJI.
  • AHSANT

🤣🤣 Ubaya ubaya tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣 jamaaa unajua sanaa.
 
Nasoma kama ilivyoandikwa .........

WAPANGAJI 13:21-24
Basi baada kuona kero imezidi aliadhimu moyoni mwake
nitanunua usb {flash} kubwa yenye uwezo wa kusave nyimbo zaidi ya 1000 nk

asubuhi na mapema alifanya kama alivyo adhimia moyoni mwake
aliporejea magetoni alifungulia bufa lake kisha akazima simu yake
na kusafiri safari ya mbali iliyomchukua siku 1 na masaa9.

jamaa aliporejea alimkuta mwenye nyumba kachachamaa na anamuomba ahame
kwa sababu usiku kucha hawakulala na mchana pia hawakulala si majirani si wao.

Jamaa alijitetea kwa kusema nilisahau pia simu nilipoteza na leo nime renew no zangu.
pia kwa muda mrefu tumekuwa tukitoa kero zetu kuhusu kelele za mziku usiku lkn
wewe kama mwenye nyumba huzingatii je mimi kukosea tena kwa kujisahau mara1 tu je nikosa hilo?

Tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kuwasha bufa lake usiku wa saa3 hata kama amelewa si mwenye nyumba ama wapangaji.

By the way jenga mkuu uhame hpo
 
Back
Top Bottom