Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

Nilichongundua watu ambao hawajasoma darasa la saba hawana umuhimu katika jamii

Wewe umesoma ila huna akili. Mfumo wa elimu ya darasani umeletwa Afrika chini ya miaka 100 iliyopita, kwa mtazamo wako huo wa kijinga wazee wetu waliotangulia ambao hawakusoma hadi darasa la 7 hawakua na umuhimu wa kuishi hapa Duniani kwa sababu hawakwenda shule?
 
Watu wa Darasa la saba ni
watu hatari wanaishi Kwa mazoea na sio kutumia akili.

Unampa hela Leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Sio darasa la saba tu inategemea na mtu kuna jirani yangu mualimu alifanyia mwanae birthday kanunua cake ya 75k lakini asubuhi kakopa nauli ya kuendea kazini huyu ni darasa la saba pia?
 
Watumishi wa Serikali asilimia kubwa 90% huwa hawana akili na serikalini ndo sehemu vilaza ukimbilia kujinusuru na maisha
Sio darasa la saba tu inategemea na mtu kuna jirani yangu mualimu alifanyia mwanae birthday kanunua cake ya 75k lakini asubuhi kakopa nauli ya kuendea kazini huyu ni darasa la saba pia?
 
Wewe umesoma ila huna akili. Mfumo wa elimu ya darasani umeletwa Afrika chini ya miaka 100 iliyopita, kwa mtazamo wako huo wa kijinga wazee wetu waliotangulia ambao hawakusoma hadi darasa la 7 hawakua na umuhimu wa kuishi hapa Duniani kwa sababu hawakwenda shule?
Usiandike Kwa hasira hivi acha kuandika matusi, relax, usipende kusikia, kuona,au kusoma unavyovipenda, Duniani kuna watu chungumzima ,kila mtu na akili yake na uelewa wake

Hivyo tuheshimiane,tukosoane kistaarabu Kwa ustawi wa jamii zetu
 
Watumishi wa Serikali asilimia kubwa 90% huwa hawana akili na serikalini ndo sehemu vilaza ukimbilia kujinusuru na maisha
Ni kweli anapokea mshahara kwa miaka 40 kipindi chabkustaafu ndo anazinduka kwamba hana nyumba na kitenga uchumi lakini ni graduate kabisa.
 
Wewe 'akili zako huenda hazina akili'.
Mjomba wangu ambae hakufika darasa la Saba kaishia la nne la mkoloni tajiri sana kuliko mimi niliyepitia kile chuo cha jalalani, pengine kuliko wewe na ukoo wenu wote.
Anajua kutafuta, kutunza na kuwekeza pesa kupita maelezo, alianza mkulima(subsistence farmer) sasa anatuma wasomi Kama wewe. Halimi kwa mikono yake tena.

Usisahau Mzee Bhakresa sijui elimu yake kiwango gani. Naamini siyo msomi sana.
 
Watu wa Darasa la saba ni watu hatari, wanaishi kwa mazoea na sio kutumia akili.

Unampa hela leo ili afanye matumizi anaenda kununua kiatu then kesho anakuambia hana hela ya kula.
Wewe ndiyo umekosea . Watu wa darasa la 7 na chini yake ni nguvu kazi unatakuwa wewe ndiyo uwatumikishe kuleta maendeleo yako na ya kwao na ya taifa lako
 
Back
Top Bottom