Pole sana, msamehe tu, wanaume karibu wote tuko hivyo! Kila wanaume 9 katika 10 ni watumwa wa ngono! Kwa kifupi wanaume tunawaka sana tamaa. Kuna mwenzio juzi tumeambiwa katelekeza mke na watoto watatu kisa tu toto la kihaya!
kwamba alipiga peku.....
kwamba ulimvua boxer alafu ukaichungulia mbele..
kwamba kuchelewa kwako ni SAA ngapi...
kwamba hulali mpaka arudi...
iyo ndoa itakushinda....
achana na pekuapekua..nimependa jibu alilokupa..ukome!!
rejea Uzi wangu 'ninavyoishi na mke wangu"
kalaghabaho

Nisikilize Mimi, jimazie mwaego! Assume as if nothing happened, zidisha upendo kwake, nakuapia atakuja kupiga goti na hatorudia tena!asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
kwamba alipiga peku.....
kwamba ulimvua boxer alafu ukaichungulia mbele..
kwamba kuchelewa kwako ni SAA ngapi...
kwamba hulali mpaka arudi...
iyo ndoa itakushinda....
achana na pekuapekua..nimependa jibu alilokupa..ukome!!
rejea Uzi wangu 'ninavyoishi na mke wangu"
kalaghabaho
hahahahahahaha...unamuogesha??...
...we malizia tu 'zu' nyingine kwenye hiyo username yako!
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun