Lancashire
JF-Expert Member
- Sep 20, 2014
- 14,057
- 10,367
Lakini na sisi wanaume tujaribu kuchepuka kwa staha kwani lazima mkeo ajuwe.?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kwanza mimi nakataa...Kuna wasiochepuka bwana wewe vepee!!
Kwa hiyo sisi tusiochepuka tuna matatizo ya kisaikolojia? Mkuu una hakika na hili? We psychologist?Dada naomba nikuambie ukweli kuhusu sisi wanaume.
1: hakuna mwanaume asiyechepuka labda awe ana matatizo ya kisaikolojia(akili).
2: Hata ukawa mrembo vipi huwezi kutimiza mahitaji ya akili ya mwanaume, is huko nje inawezekana anapewa 071...ambayo nyumbani huwezi mpa. Au unampa with less madoido km huko anakopona
3: jaribu kumsisitiza kiroho safi apige na buti maana asije kukuacha mjane mgonjwa.
Mwisho
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
Mmmmm pole shosti,ni mda gani tangu muowane? mna watoto? ndio mara ya kwanza kukujibu hivi au hua anatabia yakujibu anavyo jisikia? ukiwa kama mwanamke kustahamili wajibu lakini usizidi sana akakufanya mjinga,kumpe mume sio ujinga tena ni Thawabu kwa mungu,jaribu kumkuta yuko na mood nzuri umweleze unavyo jisikia au wasiwasi uliokua nao na hicho ulicho kiona,huenda ikawa sivyo unavyo fikiria....pole sana...
nampa kila kitu ambacho hakiendi against nature na mapenz ya mungu
Kwa hiyo sisi tusiochepuka tuna matatizo ya kisaikolojia? Mkuu una hakika na hili? We psychologist?
ni miaka mi3 kwnye ndoa and he never gives the damn answers to me, i real love my husband na sijawah hata kuhisi anadem nje. yeye mwnyewe akitoka job straight hom saturdays n sundays we spend together, hata mtu akimtumia msg anamtaka ananiambia
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.
Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.
Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.
Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.