amani ya mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri. ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa, kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubal yote niliyokua nafanya, sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwnye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke, nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikir, naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka,
Pole sana,Umefunga ndoa??? Mbona sasa ndoa zinatisha iva.