Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Nilichoona kwenye nguo za mume wangu! Kuuliza kaniambia fikiri utakachomua kufikiri

Mnashea hata mkitongozwa.. Owkey. Tuashumu ndo ameanza kamchezo kabaya chs muhimu kaa nae chini ongea nae kwa upole kama alichepuka atakuambia tu kama anavyoshea mengine. Kama ni kweli akiomba msamaha msamehe maisha yaendelee, trust me, kama cheating ingekuwa inavunja ndoa ndoa nyingi zisingekuwepo, life has to go on sweetheart!!!

thankx
 
haaaa eti nikamuandaa akaoge....amekua mwanao wa kumzaa uyo?ivi wanawake wengine ni maboya kiasi hiki....ovyooo..tena unaonekana unaboa sana

Tatizo kila unachotaka kumfanyia mtu unataka upewe tip....
 
Hapa sasa ndoa ndiyo imekuwa real. Mwisho wa njonzi

Kabisa, kuna watu wanakula yamini wakati wa uchumba oh sitakaa nichepuka hadi kifo kitutenganishe subutuuuuu. Miaka 5 haifiki ugomvi mkubwa ni michepuko
 
Ukitoka kujamiiana huwa kuna uchafu gani? Wewe utakuwa mchafu wewe sio bure

bila shaka hujui ukisemacho,kitu chochote kikiwa sehemu isiyokua yake ni uchafu, mate yakiwa mdomon sio uchafu ila ukitema ndan ni uchafu, chakula kikiwa ndani ya tumbo ni sawa kikitoka nje kama kinyesi au matapish ni uchafu, nazo hzo shahawa zikiwa kwnye nguo nao ni uchafu, kama unaakili timamu utakua umenielewa
 
ni miaka mi3 kwnye ndoa and he never gives the damn answers to me, i real love my husband na sijawah hata kuhisi anadem nje. yeye mwnyewe akitoka job straight hom saturdays n sundays we spend together, hata mtu akimtumia msg anamtaka ananiambia
Okay sasa kwanini ulimshuku kama unamuamini kiasi hicho? nadhani alikua na mood mbaya ndio mana akajibu hivyo..
 
Mmhh..! What of these ..'members'?
Kwanini mnadanganya wakubwa zenu mchana kweupe.?
 
NAKUSHAURI HIVI:
1. HATA KAMA UMEMHISI MWENZI WAKO USIJE UKAFIKIRI KULIPIZA KISASI (UTAIVUNJA NDOA YAKO KWA MIKONO YAKO WEWE MWENYEWE)
2. KAMA MWENZI WAKO KAINGIWA NS TAMAA(MAANA SIKU HIZI MITEGO MINGI WEWE MWENYEWE NI SHAHIDI NA KWA MWANAUME AMBAYE YUKO VIZURI ANAWEZA KUSHINDWA KUVISHINDA VISHAWISHI) CHONDE CHONDE MSIHI KWA UPOLE MUYAMALIZE KWA UPOLE NA UMSAMEHE.
3. USISONONEKE SANA MAANA HAYA MAMBO HAYAJAANZIA KWAKO TU. NA WOTE WANGEKUWA NA MIOYO MIGUMU NADHANI NDOA ZISINGEDUMU HATA KIDOGO. HATA WENZETU AMBAO WAMERUHUSIWA KUOA 4 LAKINI BADO TAMAA HAIKWEPEKI.
4. MUMEO ANAKUPENDA HUKO ALIKOCHEPUKA (KAMA NI KWELI) AMEPITIWA TU MBONA ANAKUHESHIMU NA YUKO KWENYE MILIKI YAKO?
5. MUONESHE UPENDO WAKO KAMA ZAMANI. WAGOMBANAO/WAFARAKANAO WAKISURUHISHANA HUPENDANA HATA ZAIDI.
6. USIPENDE KUMPEKUWA MMEO, UTAAMBULIA KUONA VIASHIRIA TU AMBAVYO HAVINA MSAADA ZAIDI YA KULETA MAFARAKANO. DUMISHA NDOA YAKO WEWE MWANAMKE UWAYE YEYOTE UNAESOMA HII POST. KUTUNZA NDOA KUPO KWENYE UVUMILIVU WA MWANAMKE KAMA HUNA UVUMILIVU JIANDAE KUOLEWA NA KUACHIKA MARA NYINGI MAANA UTASEMA NGOJA NIRUKE MIKOJO NA HATIMA YaaKE ........................N....
 
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu

baby zu;
Leo umeifanya J2 yqngu kuwa swafiiii baaas. Unataka um knife kabisa. Weye wa ajab saana. Hivi, unamfutaga baada ya mechi au mnajilalia wet? Siku nyingine, mfute na hata ikiwezekana papasa uhakikishe kuwa ni mkavu.
Haiwezekani, mume anayejua akifika tu anaenda kuogeshwa halaf atumike huko aje nyumbani na hayo makitu uliokutana nayo. Sii kweli. Alikuwaza na haswa mechi ya karibuni ulivyomfurahisha akaji wetisha. Alivyokuambia ukweli uliotokea weye ukampinga. Ndo maana kakuambia fanya tu utakavyo kwani hakuna namna.
Angalia, kimjazocho mtu ndicho kimtokacho. Wewe umekuwa na nia ya kuonja mshipa mwingine, tena si ajab ni hapo kazini, sasa unataka tukuruhusu wakati anayeenda kukung'utwa ni weye. Usitutafutie lawama pls.
Amua, fanya utakavyo. Hakuna namna
 
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
Evelyn Salt aliwahi kuandika uzi wa afanye nini cha zaidi kwenye mapenzi, hii inamhusu.

BTW wanaume hawana formula, ni kumfanyia maombi.
 
Last edited by a moderator:
haaaa eti nikamuandaa akaoge....amekua mwanao wa kumzaa uyo?ivi wanawake wengine ni maboya kiasi hiki....ovyooo..tena unaonekana unaboa sana

kwamba alipiga peku.....
kwamba ulimvua boxer alafu ukaichungulia mbele..
kwamba kuchelewa kwako ni SAA ngapi...
kwamba hulali mpaka arudi...
iyo ndoa itakushinda....

achana na pekuapekua..nimependa jibu alilokupa..ukome!!

rejea Uzi wangu 'ninavyoishi na mke wangu"
kalaghabaho

Hayo matusi yote ya nini kama hutaki kuchangia uzi au ndo wewe uliyekutwa na huo uchafu!!?
 
asante mpendwa ila yani hapa cjajua cha kufanya naamka asubuh namwandalia kama kawaida anakwenda kazn nami natoka jioni namfanyia vyote lakin natamani hata nimchome kisu





Nafikiri unatamani kwenda jera kula ugali na maharage,vile vile saa tisa uwe umelala
 
Labda kuna mahali alikuwa anaangalia x ndo viuchafu vikatoka...anyways zidisha upendo,sometime kutoka nje ya ndoa haimaanishi hakupendi...ni ajali tu za barabarani mi mwanaume nalijua hilo,hata mimi nimechepuka lakini hiyo michepuko si lolote kwa wife,sometimes wanawake mtambue baadhi ya madhifu yetu

Nishaacha kuchepuka baada ya kuona hakuna dili zaidi ya kupingwa pesa. Wanawake wa nje wengi mataperi. Mwanzoni atavuga hataki pesa zako kumbe anakulegesha tu. Baadae utastukia nimepata msiba nyumbani gafla na sikuwa nimejiandaa hivyo niwezeshe nauli baby niwahi mazishi!!! Shenzytype!!
 
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.

Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.

Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.

Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.
mapenzi si kitu cha kushauriwa san na watu wa nje japo katika hali kama hiyo ungeuliza kwa ujasiri mbona nguo zako zinaonesha umetokea kuzini?? then apo ungepata majibu sasa mlipofikia saivi we vumilia tu ndo mapenziyenyewe ayo
 
Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.

Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.
Guilty as charged
 
Back
Top Bottom