Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKUSHAURI HIVI:
1. HATA KAMA UMEMHISI MWENZI WAKO USIJE UKAFIKIRI KULIPIZA KISASI (UTAIVUNJA NDOA YAKO KWA MIKONO YAKO WEWE MWENYEWE)
2. KAMA MWENZI WAKO KAINGIWA NS TAMAA(MAANA SIKU HIZI MITEGO MINGI WEWE MWENYEWE NI SHAHIDI NA KWA MWANAUME AMBAYE YUKO VIZURI ANAWEZA KUSHINDWA KUVISHINDA VISHAWISHI) CHONDE CHONDE MSIHI KWA UPOLE MUYAMALIZE KWA UPOLE NA UMSAMEHE.
3. USISONONEKE SANA MAANA HAYA MAMBO HAYAJAANZIA KWAKO TU. NA WOTE WANGEKUWA NA MIOYO MIGUMU NADHANI NDOA ZISINGEDUMU HATA KIDOGO. HATA WENZETU AMBAO WAMERUHUSIWA KUOA 4 LAKINI BADO TAMAA HAIKWEPEKI.
4. MUMEO ANAKUPENDA HUKO ALIKOCHEPUKA (KAMA NI KWELI) AMEPITIWA TU MBONA ANAKUHESHIMU NA YUKO KWENYE MILIKI YAKO?
5. MUONESHE UPENDO WAKO KAMA ZAMANI. WAGOMBANAO/WAFARAKANAO WAKISURUHISHANA HUPENDANA HATA ZAIDI.
6. USIPENDE KUMPEKUWA MMEO, UTAAMBULIA KUONA VIASHIRIA TU AMBAVYO HAVINA MSAADA ZAIDI YA KULETA MAFARAKANO. DUMISHA NDOA YAKO WEWE MWANAMKE UWAYE YEYOTE UNAESOMA HII POST. KUTUNZA NDOA KUPO KWENYE UVUMILIVU WA MWANAMKE KAMA HUNA UVUMILIVU JIANDAE KUOLEWA NA KUACHIKA MARA NYINGI MAANA UTASEMA NGOJA NIRUKE MIKOJO NA HATIMA YaaKE ........................N....
Kabla hujampekua mumeo, muwe mnajiuliza unachokitafuta hasa ni nini? na unampekua mumeo ili iweje? Maana mwisho wa siku, Mwisho wa kupekua huwa sio mzuri.Acha tabia ya kumpekua mumeo.Si ulimpenda Mwenyewe? Penda na Tabia zakeAmani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.
Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa furaha, naye mwenyewe aliyakubali yote niliyokua nafanya.
Sasa juzi kachelewa kurudi nyumbani na sikumuuliza sababu akasema anaomba ale chakula ndipo aoge, nikapakua tukala kisha nikamuandaa akaoge ndipo nilipokuta kwenye nguo za ndani uchafu wa kutoka kujamiana na mwanamke.Nilipomuuliza akajibu fikiria utakachoamua kufikiri.
Naomben ushauri kwani hapa nasikia mwili wote unauma, kichwa kinataka kupasuka.
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri.

Hizi ndio shida za kukimbilia kuoa wakati bado hujamaliza wanawake wote warembo
baby zuzu hahahaha
hakuwah kuchelewa, pia ninakawaida ya kumwogesha mume wangu usiku kwan asubuh kila mtu anawah kazin, sikupekua nguo zake ila namvua na kumpeleka bafun
Duh, kuna wanaume wanalelewa ova mtoto, hapa nadhani hata Evelyn Salt haoni ndani
Dadaangu atoto na Heaven Sent nanyi mna ma-care haya?
Wewee acha utoto,nyoa vizur,oga then mpe kazi kisebulesebule hapo,uchume hadi mboga utaona atakavoacha huko nje!