Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.

Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.

Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point.
Kwanini mdau unakataa ndoa??
 
Ungefunguka hata style waliyotumia basi ili kataa ndoa wapate point za nyongeza
 
Nimesoma heading tu , nasikitika kusema kuwa akili huna pamoja na team unayoisapoti .

Kwa nini hamuachi kupelekea watoto wenu kwa yanayoendelea kwa Wanafunzi vyuoni ?

Kwa nini hamuachi kufanya Biashara kwa yanayotokea kwa biashara nyingi ?

Maarasssss poor you and your team.
 
Inabidi wanasaikolojia wajikite kwenye kuwashauri wanandoa wasiwe na wivu na wasiumizwe pale mmoja wao anapochepuka.Hii kitu imekua kawaida sana,kuoa na kuolewa iwe ni kwa malengo mengine,kuzaa watoto tu.
 
Back
Top Bottom