Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Unachochea Me (kataa ndoa) wasioe bali wawazalishe tu Ke pasipo kuwaoa hii ni aina mpya ya ujinga....

Ikiwa mtu hataki ndoa basi aende hospital akahasiwe kabisa...

Nakutuma sasa ukawachochee hao kataa ndoa waende akahasiwe
Me naangalia mambo kwa jicho pana na sio kwa jicho La ubinafsi eti kwa vile mimi ni mwanamke.
Nitarudi nikujibu vizuri ngoja nikamalizie usafi kule garden maana Leo nimechelewa kumaliza nisijefukuzwa kibarua.
 
Unachochea Me (kataa ndoa) wasioe bali wawazalishe tu Ke pasipo kuwaoa hii ni aina mpya ya ujinga....

Ikiwa mtu hataki ndoa basi aende hospital akahasiwe kabisa...

Nakutuma sasa ukawachochee hao kataa ndoa waende akahasiwe
Usitupangie oa uendelee kugongewa store humo na watoto ubambikiwe.

KATAA NDOA
 
Siku hizi wanaume wanajitunza wenyewe kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake Wachache wanaoweza kujitafutia riziki Zao.

Housekeeper, housegirl, huduma za usafi na Dry Cleaner siku hizi zimerahisisha hayo.
Labda kwa Wanaume Local
Sasa kama mnajua kuwa kuna mahousegirl na mahousekeeper kwanini bado mnataka wake au wachumba zenu ndio wafanye hayo majukumu, kwanini huwa mnalalamika kwamba wanawake siku hizi kazi zote za nyumbani wanawaachia hao wadada wa kazi, wengi bado mna ile mentality kwamba mwanamke anayetakiwa kukufanyia hayo majukumu ni mwanamke uliye na mahusiano naye tu ndio maana wengi huwa mnaamua kutembea na hao wadada wa kazi
 
Sasa Mwanamke hazalishi chochote, hajaajiriwa, Kazi za uzalishaji hafanyi.
Nyumbani anakaa kama Nani wakati kuna Housegirl.

Embu tuambie.
 
Sasa na wewe mbona unabadili hoja tena kwani hapa tunaongelea mwanamke wa aina gani, si tunaongelea mwanamke mtafutaji anayejihudumia mwenyewe na anayechangia uchumi wa familia, kama mwanamke ni mama wa nyumbani huyo hana budi kufanya kazi za nyumbani sababu mumewe atakuwa anamhudumia kila kitu
 
Kuhudumiwa ndio tatizo lilipo kwenye jamii.

Ukishakuwa mtu wa kuhudumiwa ukatili, unyanyasaji ndipo unapoanzia hapo.

Kuna sehemu haunipati na ndio maana Kila mara tunaparuana hapa.

Falsafa za Sisi Watibeli ni kila mtu afanye Kazi za uzalishaji
Kazi na utegemezi ndio msingi wa kuondoa ukatili, manyanyaso na ukandamizaji kwenye jamii na mataifa.

Mwanamke mzalishaji hawezi kujikuta kwenye Masuala ya unyanyasaji na matusi

Nikakupa mfano, single mother wanaojihisi vibaya pindi kejeli zinapotolewa kwao ni wale Maskini, ambao wanategemea wanaume.
Wanawake wenye vipato Wala huwezi sikia wakijishughulisha na kejeli za wanaume

Ni Sawasawa na Wazungu wanavyokejeli waafrika
Wanaoumia ni waafrika wasio na kipato, na ambao hawajaenda Shule.
Watu waliokombolewa hawawezi kushughulika na kejeli za watu wengine
 
Mimi nimekuelewa vizuri ila nadhani wewe kuna mahali ndio unashindwa kunielewa, mwanaume anapohudumia mwanamke hahudumii tu bure bure bali kuna vitu anategemea kuvipata kama utii, kulelewa watoto, kuliwazwa, kufanyiwa kazi za nyumbani, nk mwanamke anayekufanyia hayo yote ni jukumu lako kumhudumia, sasa unapomfanyia ukatili na unyanyasaji kisa tu unamhudumia ndio nikakuambia kwamba maana yake unafanya hilo jukumu lako kishingo upande, ndio maana nikasema mwanaume ambaye anaona hataki kumhudumia mwanamke na anaona kabisa akimhudumia atamtesa, basi aache kumhudumia lakini pia awe tayari kutopewa utii, kusaidia malezi ya watoto, kujitegemea, kufanya kazi za nyumbani nk kwa sababu huyo mwanamke ambaye alipaswa kufanya hayo naye anatafuta pesa na kujihudumia pamoja na kuchangia pato la familia, kwahiyo ni suala la kuchagua moja tu na siyo kutaka kulazimisha mambo yasiyowezekana
 
Kama kunawatu wamekosa maarifa nikata ndoa hutaki kuowa au kuolewa lakini unasema au mwanaume ambaye hana utofauti na wanandoa wetu kulala nawatu tofauti kawaida bora sisi tunapata hata vitoto japo mtasema vyakusingiziwa sawa tu mbona tuko tayari kusaidia watoto tusiowajua sembuse hawa wamajumbani
 
Back
Top Bottom