Under-cover
JF-Expert Member
- Nov 13, 2023
- 1,834
- 3,042
Nachoshukuru umri wa kuoa umepita.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Limekushuka shuuuuuuuu....hahaaaa ulivyoanza kwa speed, hahaaa hatujali kama soko lako mtaani limeshuka una low self esteem mpk utafute attention kwa wanaume wa JF...eti hoja, hoja my behind!Panic at your own risk 😅😅😅😅😅😅
Me kanuni yangu siwez jibizana na mtu ambaye badala ya ku attack hoja anani attack mimi.
Hii inaonesha ni namna gani hoja za ku defend kile unaamini zimeisha.
Ukileta hoja ntakujibu kwa hoja ukileta kichaa cha ndoa nitakuangalia tu
jamanJamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.
Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.
Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.
Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.
Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Updates kulingana na comments:
Ukiona huu Uzi unachefua wewe pita kimya kimya maana kweli me ni mshamba ndio maana sisapoti kile wengi mnapenda... Lakini pia mimi ni mtu wa taarabu kwa vile mziki wa kwetu watu wa pwani ya bahari ya Hindi ni taarabu
mtoa mada acha umbea au ulikua unataka na wew umfaid huyo mwanamke. ukioa haimanish mtu akimwelew mwanamke mngne au mwanaume mngne wasikulane. mnao ya chukulia mapenz serious kiasi hiki mtapata tabu sana.Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.
Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.
Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.
Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.
Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Updates kulingana na comments:
Ukiona huu Uzi unachefua wewe pita kimya kimya maana kweli me ni mshamba ndio maana sisapoti kile wengi mnapenda... Lakini pia mimi ni mtu wa taarabu kwa vile mziki wa kwetu watu wa pwani ya bahari ya Hindi ni taarabu
Sasa boss wangu bila umbea kuna maisha?jaman
mtoa mada acha umbea au ulikua unataka na wew umfaid huyo mwanamke. ukioa haimanish mtu akimwelew mwanamke mngne au mwanaume mngne wasikulane. mnao ya chukulia mapenz serious kiasi hiki mtapata tabu sana.
🤣😂🤣😂👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.
Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.
Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.
Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.
Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Updates kulingana na comments:
Ukiona huu Uzi unachefua wewe pita kimya kimya maana kweli me ni mshamba ndio maana sisapoti kile wengi mnapenda... Lakini pia mimi ni mtu wa taarabu kwa vile mziki wa kwetu watu wa pwani ya bahari ya Hindi ni taarabu
🤷🤷🤷🤷🤷How would I? Your business is my employment big madame/sir! U heard ??
Npe mbinu kiongoz zakivita nijilipueUjambananisha
Uhakika browHakika, sitetereki kwenye hilo mkuu
Igiza siku moja unaumwa mpe simu rafiki yako ampigie kupitia simu yako ampange umezidiwa then kakuta yeye ndio mtu wa mwisho kuwasiliana ila lengo ni kumita aje getho akusaidie kupika ata uji kisha akisgafika unajifanya utaki uji ile anaanza kukushika shika kukubembeleza nawe unashika sehemu nyeti ambazo ukigusa achomoiNpe mbinu kiongoz zakivita nijilipue
😆😆😆Hii ni mbinu ya ukomando nliwahi itumia lakn aliishia kulia machozi mpaka mzuka uliniiehia kabisaIgiza siku moja unaumwa mpe simu rafiki yako ampigie kupitia simu yako ampange umezidiwa then kakuta yeye ndio mtu wa mwisho kuwasiliana ila lengo ni kumita aje getho akusaidie kupika ata uji kisha akisgafika unajifanya utaki uji ile anaanza kukushika shika kukubembeleza nawe unashika sehemu nyeti ambazo ukigusa achomoi
Kijana mzembe😆😆😆Hii ni mbinu ya ukomando nliwahi itumia lakn aliishia kulia machozi mpaka mzuka uliniiehia kabisa
Tukisema dunia ya leo tulinganishe idadi ya wanawake wanaofanya majukumu ya wanaume, na idadi ya wanaume wanaofanya majukumu ya wanawake nadhani jibu unalijua kuwa idadi ipi ni kubwa, uonevu ni matokeo ya wanaume kutimiza majukumu yao kishingo upande huku wakisahau mgawanyo wa majukumu uliopoWatibeli kusema ukweli bila kuangalia upande.
Sema nikisema kwa Wanaume uchangiaji unakuwa mdogo. Unajua ni Kwa nini?
Utafutaji kwa Wanawake bado ni changamoto kubwa.
Kama Wanawake wakiweza kujitegemea huwezi sikia habari za unyanyasaji, ukatili, UONEVU na majina Mabaya kama single Mother
Uwepo WA hayo ni matokeo ya wanawake kuwa tegemezi. Na wewe unalijua Hilo
KUna watoto wanajua kubana ila unaweza Kuta Kuna muuni anakula kiulanKijana mzembe
Usijaribu kufanya hiki kitu utapata ulemavu au utapoteza maisha.NIngekuwa mimi aisee ningemrusha roho,. Tena ningemtishia ninazo picha za ushahidi wake yaani angefanya kila nachotaka😬😄😄
Its a Joke!
Changamka wiki yanga ngapi hiiKUna watoto wanajua kubana ila unaweza Kuta Kuna muuni anakula kiulan