Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Of course is non of my business but is not off my eyes....
You should avoid doing your private issues in public places
It is her choice kuwa public or confidential, why are u bothered na private life ya mtu
 
Tukisema dunia ya leo tulinganishe idadi ya wanawake wanaofanya majukumu ya wanaume, na idadi ya wanaume wanaofanya majukumu ya wanawake nadhani jibu unalijua kuwa idadi ipi ni kubwa, uonevu ni matokeo ya wanaume kutimiza majukumu yao kishingo upande huku wakisahau mgawanyo wa majukumu uliopo

Hakunaga mgawanyo wa majukumu
Nature inataka kila mtu ajihudumie mwenyewe.
Na Yule ambaye ni mhanga wa Jambo lolote nature inamtaka ajihami.

Mgawanyo wa majukumu ni mapokeo tuu ambayo nature haiyatambui
 
Hao team kataa ndoa wenyewe hujajua kama wanakataa ndoa kifalsafa tu, kwa maneno matupu, au wanakataa ndoa kweli.

Inawezekana kuna mtu yupo nyumbani na mkewe wanapigana kila siku hawaachani, lakini akija JF ndiyo anatolea machungu ya ndoa yake kwa kusema "kataa ndoa".
Humu ni kutoishi kwa akili za kushikiwa.
 
Duh! Kwahiyo wakakosa hata ten ya guest wakaamua wanyukane stoo
Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.

Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.

Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.

Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.

Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.

Updates kulingana na comments:
Ukiona huu Uzi unachefua wewe pita kimya kimya maana kweli me ni mshamba ndio maana sisapoti kile wengi mnapenda... Lakini pia mimi ni mtu wa taarabu kwa vile mziki wa kwetu watu wa pwani ya bahari ya Hindi ni taarabu
 
Hakunaga mgawanyo wa majukumu
Nature inataka kila mtu ajihudumie mwenyewe.
Na Yule ambaye ni mhanga wa Jambo lolote nature inamtaka ajihami.

Mgawanyo wa majukumu ni mapokeo tuu ambayo nature haiyatambui
Sasa ndio umekuja kwenye hoja yangu na mimi ndicho ninachowaambia wanaume wenzio siku zote kuwa huu mgawanyo wa majukumu siyo nature bali ni mapokeo ya kijamii tu, wao ndio hulazimisha kwamba huu mgawanyo wa majukumu ni nature hasa majukumu ya wanawake huku ya wanaume wakitaka yabadilike, na ndio maana nikakuambia kama wanaume mnataka huo mgawanyo wa majukumu ubadilike basi usibadilike kwenye majukumu ya wanaume tu bali hata ya wanawake kwahiyo mnapowahimiza wanawake kujihudumia wenyewe pia muwahimize na wanaume kujitunza wenyewe ili wasiwe mizigo
 
Siku hizi wanaume wanajitunza wenyewe kama ilivyo kwa baadhi ya wanawake Wachache wanaoweza kujitafutia riziki Zao.

Housekeeper, housegirl, huduma za usafi na Dry Cleaner siku hizi zimerahisisha hayo.
Labda kwa Wanaume Local
 
Ungefunguka hata style waliyotumia basi ili kataa ndoa wapate point za nyongeza
Atafungukaje wakati Hajaona kilichotokea huko store?!

Huenda mtoa mada kagundua kuwa ka demu kake ni chaote kanachapiwa hadi store, then akakimbilia hapa kutoa machungu yake 😂
 
Kwa nini upo timu kataa ndoa?
Me naangalia mambo kwa jicho pana na sio kwa jicho La ubinafsi eti kwa vile mimi ni mwanamke.
Nitarudi nikujibu vizuri ngoja nikamalizie usafi kule garden maana Leo nimechelewa kumaliza nisijefukuzwa kibarua.
 
Back
Top Bottom