Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.

Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.

Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.

Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.

Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.

Updates kulingana na comments:
Ukiona huu Uzi unachefua wewe pita kimya kimya maana kweli me ni mshamba ndio maana sisapoti kile wengi mnapenda... Lakini pia mimi ni mtu wa taarabu kwa vile mziki wa kwetu watu wa pwani ya bahari ya Hindi ni taarabu
NI KWELI LAKINI HAYAKUHUSU!!!
 
Humu huwezi kumpangia yeyote Mkuu.
Unachoweza kufanya ni kunipuuza. Hilo lipo ndani ya uwezo wako. Hayo Mengine unajisumbua
Ana allergy lakini ame respond Uzi wangu...... What a paradox
See how women including me are complex
😅😅😅
Muache madame wa watu
 
Madame kwanini mmbatone store? Hii ni public place so automatically yamenihusu madame wife material.
Hadet bra
Starehe zetu wenyewe, kukuuma likuume wewe, next time ukiona tunatomba na tafuta wako na wewe akuinamishe, by the look of things Huna wa kuku tomba ndio maana umepata wivu poleeeeee
 
Starehe zetu wenyewe, kukuuma likuume wewe, next time ukiona tunatomba na tafuta wako na wewe akuinamishe, by the look of things Huna wa kuku tomba ndio maana umepata wivu poleeeeee
I rest my case nakupa ushindi wa mezani.
Enjoy hii moment bye.
 
Back
Top Bottom