Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama ni kuoa/kuolewa watu wafanye tu,Wanaume mnaonewa sana asee
Ndioo hivyoo sasa bora anna anampenzi tu ila hawa wengine hata wakitaka kupanda cheo, kuwa na gari nzuri , biashara , mali hizi uonazo wanatoa wanaume watakacho wanapewa hawajui kukataa watoto wengi wandoa wanahakikisha ni wamume wakeDah hataree
Yani mtu anaolewa tu ili aonekane ameolewa au ndo akina Anna juakali?
Kweli best mie napenda ndoa maana unakuwa namajukumusasa malaya mpuuzi mmoja ndo uje utuandikie uzi etii ooh mke sijui nini
yaan wapuuzi wachache ndo iwe 7bu ya sisi kukataa kuoa
ipo hivi Kuna umri ukifika kam hautatamani bsii utaolewa/utaoa utake usitake
tena km ndo ulikiwa mzinguaji baradhuli
utaolewa/utaoa JITU LA HOVYO balaa likutese na kuiacha hiyo NDOA huwezi kusabuku mavi ya kuku
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
funguka style iliyotumika basi,Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.
Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.
Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.
Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Wanawake mbingu yetu iko mbali sana.Ndioo hivyoo sasa bora anna anampenzi tu ila hawa wengine hata wakitaka kupanda cheo, kuwa na gari nzuri , biashara , mali hizi uonazo wanatoa wanaume watakacho wanapewa hawajui kukataa watoto wengi wandoa wanahakikisha ni wamume wake
Ila kwa kupata vitu yeye hajali kaolewa anatoa tu
Wewe Umekwisha bahatika Kutuletea Katoto Cacutee???Au Hayanihusu BibieKabisa tuzalisheni tu maana kwakweli Hali ni tete
sawa haya mi naomba unizalie watoto watatu tu!, vipi unasemaje..?Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.
Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.
Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.
Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Eh unadhani unapewa nafasi tu kirahisi kwa lipi hasa kwa wanaume wanalala na wanawake wenye vyeo na wanawake wanalala na wanaume wenye vyeo halafu wanapeana kisiri siri .Wanawake mbingu yetu iko mbali sana.
Sasa hapa unanifanya niwahisi vivaya wale women directors 😅😅
adriz unaona huyu master amekuja kupinga hoja kwa point zinazoonekana japo amefunika funika Ila hajani attack Mimi. Wewe uliniparamia Mimi wakati me ni mjumbe tusasa malaya mpuuzi mmoja ndo uje utuandikie uzi etii ooh mke sijui nini