Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.

Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.

Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.

Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.

Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
So wewe utakubali tukuzalishe tuu?
 
Moira pasi ndugu!
 
Pamoja na changamoto za ndoa na mapungufu yake yote, ndoa itabaki kuwa taasisi muhimu na yenye manufaa kwa jamii. Bila ndoa hakuna taifa imara. Mifano miwili-mitatu ya waliofeli haileti uhalali kuwa ndoa ni usanii. Mtakosana na kuumizana ila mtayajenga na kuishi tena.

Kuwekana hovyo, kila mwaka unabadilisha mwanamke/mwanaume kisa huna ndoa nayo ni adhabu tu, sema hatujui au tunadharau mapungufu yetu.

Say NO to life without marriage!
 
Back
Top Bottom