cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,333
- 3,512
- Thread starter
- #101
My own uncle alioa mama wa home
Mwanaume anasomesha watoto
AnAlisha familia
Wanaishi standard nzuri.
Maisha yakawa ya kumfumania mke. Mwisho mke alivyoona kuna Mali zinaonekana akaomba talaka ili wagawane Mali. Walivyofika mahakamani baada ya maswali ya mahakimu akaambiwa mgawo wake ni milioni 2 jumlisha milioni 1, jumlisha milion 2, jumlisha milion 1 , jumlisha laki 4, jumlisha laki 1, jumlisha laki 2, jumlisha laki 2, jumlisha elf 50, na jumlisha tena elf 50.
Sasa mgawo haukumridhisha amekosa pa Kwenda maana alijua atapata kibunda.
Ndoa ni utapeli