Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

My own uncle alioa mama wa home
Mwanaume anasomesha watoto
AnAlisha familia
Wanaishi standard nzuri.
Maisha yakawa ya kumfumania mke. Mwisho mke alivyoona kuna Mali zinaonekana akaomba talaka ili wagawane Mali. Walivyofika mahakamani baada ya maswali ya mahakimu akaambiwa mgawo wake ni milioni 2 jumlisha milioni 1, jumlisha milion 2, jumlisha milion 1 , jumlisha laki 4, jumlisha laki 1, jumlisha laki 2, jumlisha laki 2, jumlisha elf 50, na jumlisha tena elf 50.
Sasa mgawo haukumridhisha amekosa pa Kwenda maana alijua atapata kibunda.

Ndoa ni utapeli
Uncle wako hakuwa na nguvu za kuzagamua mkewe? Alikuwa mgonjwa wa kisukari na presha?
 
Kama unaandika mwenyewe kwa Kumaanisha uko sahihi japo pia wanaume wapo maana sijui Watu huwa wanafikiria nn au huwaza nn katika hilo
Ushakutana na mke wa mtu anayedaiwa kikoba wewee?? Mda huo hisa zinatakiwa??
Hahaha ngoja tufiche Siri za kambi.
Kwa ufupi wanawake wenye ndoa wanagawa kuliko walio single (kwa zile cases ambazo ninazifahamu)
 
Mahakimu siku hizi wana akiliiiiiiiiiiii
Mke wa anko aliangukia milion chache sana baada ya kugundua mwanaume ndo amebeba mizigo yote had Yule mwanamke hajaamini
Bado sheria ya ndoa ni kandamizi sana kwa mwanaume linapokuja suala la talaka. Hakimu hata akotumia busara lazima apite kwenye misingi ya kisheria ambapo mwanamke kapewa upendeleo bila kujali kosa ni la yupi
 
Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.

Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.

Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.

Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.

Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Hapa cha kulalamika labda ni watu kufanyana kwenye stoo (presumably ya kazini). Possibly kuna issue ya workplace sexual harassment ya mtu na subordinate wake.

Hayo mambo ya mke wa mtu si relevant kwako, kwa sababu kuna waume wengine wamekubaliana na wake zao kuwa wake zao waliwe, huku waume nao wakijiongeza na wao. Au waume wanataka kusaidiwa, wao hawawezi, au hata kama hawataki kusaidiwa, hayo ni mambo yao katika ndoa yao. Wewe huhusiki nayo. Shika hamsini zako. Mambo ya Ngoswe, muachie Ngoswe mwenyewe.

Tujifunze kuishi kwa kuwaachia watu waishi kivyao.

Hapa matatizo ni kudinyana kwenye stoo na issues za sexual harrassment at the workplace.

Ukitiana na subordinate tu kazini hapo yanaibuka mambo mengi sana ya ethics. That is an issue.

Ukifanya matusi kwenye stoo hiyo ni space inayotumiwa na watu wengi, hapo kuna issues hata za usafi tu.

Hizo ndiyo issues, hayo mambo ya mke wa mtu ni relevant kwa mume wake, wewe hayakuhusu.

Ila hizo issues za sexual harassment na kudinyana stoo ziki pale pale buka kujali mtu ni mke wa mtu ama la. Hizo ndizo zetu wote unazoweza kuzipinga kimantiki.
 
Hakuna mtu asie tamani kuwa na familia au kuwa na watoto wanawake sikuiz wamekuwa makatili sana imagen mtu ubatafuta vitu vyako una jinyima af mtu anakuja ana ondoka na vitu vyako hii ipo sawa?
Kwahiyo suluhisho ni kutokuoa, Hawa viumbe ndiomaana tukaambiwa tuishi nao kwa akili. Upande wangu ndoa kwangu ni kitu kizuri sana ni kweli changa moto za wawili haziwezi kukosekana ila ni Yale madhaifu madogo ya kibindadam ambayo yanaweza kuvumilika. Vijana tafuta saizi Yako ichunguze vzuri ukijiridhisha weka ndani then ishi nayo kwa akili narudia Tena ishi nayo kwa akili. Ss wewe unae oa sababu ya makalio sijui shape matata afu kichwan 0 shauri yako
 
Bado sheria ya ndoa ni kandamizi sana kwa mwanaume linapokuja suala la talaka. Hakimu hata akotumia busara lazima apite kwenye misingi ya kisheria ambapo mwanamke kapewa upendeleo bila kujali kosa ni la yupi
Yeah kweli kabisa.
Ni uonevu mkubwa kwa jinsia ya kiume.
Eti umlishe mke
Umvishe
Akiumwa umtibie
Umepe tendo la ndoa
Saa ingine ni mama wa nyumban eti mkiachana mnagawana 50/50 hii hata Mimi nakataa
 
Hapa cha kulalamika labda ni watu jufanyana kwenye stoo (presumably ya kazini). Possibly kuna issue ya workplace sexual harassment ya mtu na subordinate wake.

Hayo mambo ya mke wa mtu si relevant, kwa sababu kuna waume wengine wamekubakiana na wake zao kuwa wake zao waliwe, huju waume nao wakijiongeza. Au waume wanataka kusaidiwa, au hata kama hawataki kusaidiwa, hayo ni mambo yao kat8ka ndoa yao.

Tujifunze kuishi kwa kuwaachia watu waishi kivyao.

Hapa matatizo ni kudinyana kwenye stoo na issues za sexual harrassment at the workplace.

Ukitiana na subordinate tu kazini hapo yanaibuka mambo mengi sana ya ethics. That is an issue.

Ukifanya matusi kwenye stoo hiyo ni space inayotumiwa na watu wengi, hapo kuna issues hata za usafi tu.

Hizo ndiyo issues, hayo mambo ya mke wa mtu ni relevant kwa mume wake, wewe hayakuhusu.

Ila hizo issues za sexual harassment na kudinyana stoo ziki pale pale buka kujali mtu ni mke wa mtu ama la. Hizo ndizo zetu wote unazoweza kuzipinga kimantiki.
Kiranga uko too philosophical kwakweli kuanza argument na wewe.
Mimi nimetumia mfano wangu kuunga mkono team Kataa ndoa.
Mengine acha yanipite
 
Yeah kweli kabisa.
Ni uonevu mkubwa kwa jinsia ya kiume.
Eti umlishe mke
Umvishe
Akiumwa umtibie
Umepe tendo la ndoa
Saa ingine ni mama wa nyumban eti mkiachana mnagawana 50/50 hii hata Mimi nakataa
Na 50/50 yenyewe haiangalii sababu ni ipi au kosa la nani. Just imagine mke anadai talaka kwa sababu mumewe ni mwema sana, halafu mali zinapigwa pasu kwa pasu.
 
Kiranga uko too philosophical kwakweli kuanza argument na wewe.
Mimi nimetumia mfano wangu kuunga mkono team Kataa ndoa.
Mengine acha yanipite
Hao team kataa ndoa wenyewe hujajua kama wanakataa ndoa kifalsafa tu, kwa maneno matupu, au wanakataa ndoa kweli.

Inawezekana kuna mtu yupo nyumbani na mkewe wanapigana kila siku hawaachani, lakini akija JF ndiyo anatolea machungu ya ndoa yake kwa kusema "kataa ndoa".
 
Nimejiunga na hiyo team boss
Siungi mkono ndoa
 
Back
Top Bottom