Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Kwahiyo suluhisho ni kutokuoa, Hawa viumbe ndiomaana tukaambiwa tuishi nao kwa akili. Upande wangu ndoa kwangu ni kitu kizuri sana ni kweli changa moto za wawili haziwezi kukosekana ila ni Yale madhaifu madogo ya kibindadam ambayo yanaweza kuvumilika. Vijana tafuta saizi Yako ichunguze vzuri ukijiridhisha weka ndani then ishi nayo kwa akili narudia Tena ishi nayo kwa akili. Ss wewe unae oa sababu ya makalio sijui shape matata afu kichwan 0 shauri yako
Mimi nitakuja kuoa kwa lengo la kujenga familia bora that why sikulupuki naenda mdogo mdogo kwanza mwanamke nikiwa naongea nae mda wote akiwa anaongelea mapenzi simu yake kupokea hasau lazima ongelee maisha na kupima uwezo wake wa kufikiri
 
Ushakutana na mke wa mtu anayedaiwa kikoba wewee?? Mda huo hisa zinatakiwa??
Hahaha ngoja tufiche Siri za kambi.
Kwa ufupi wanawake wenye ndoa wanagawa kuliko walio single (kwa zile cases ambazo ninazifahamu)
😀Kuna makubwa na magumu Kumbe siyatambui...Mwaga maji ayo
 
Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.

Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.

Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.

Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.

Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Watu ndivyo walivyo
 
Wanawake wanaliwa sana kimasikhara kwenye mazingira ya hovyo kabisa. Kuna maza mmoja nilikua namheshim sana na mwanae ni rika langu kabisa, kuna nyumba mumewe alikua anajenga na mara chache mmewe akitingwa na ratiba alikua anaenda site, nilishuhudia kwa macho yangu mawili akibinjuliwa na fundi jua likizama saa 12 kasoro jioni.

Sijui kama aliniona maana nilikua napita mdogo mdogo na earphone zangu masikioni. Mpaka nahama mtaa ule alikua ananionea aibu sana na ni baada ya tukio lile.
 
Jamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.

Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.

Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.

Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.

Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Ndoa ni utapeli na kurudishana nyuma kimaendeleo.
 
Back
Top Bottom