Nilichoona mke wa mtu anafanya: Leo rasmi ninawaunga mkono team kataa ndoa

Kwanini mdau unakataa ndoa??
 
Ungefunguka hata style waliyotumia basi ili kataa ndoa wapate point za nyongeza
 
Nimesoma heading tu , nasikitika kusema kuwa akili huna pamoja na team unayoisapoti .

Kwa nini hamuachi kupelekea watoto wenu kwa yanayoendelea kwa Wanafunzi vyuoni ?

Kwa nini hamuachi kufanya Biashara kwa yanayotokea kwa biashara nyingi ?

Maarasssss poor you and your team.
 
Inabidi wanasaikolojia wajikite kwenye kuwashauri wanandoa wasiwe na wivu na wasiumizwe pale mmoja wao anapochepuka.Hii kitu imekua kawaida sana,kuoa na kuolewa iwe ni kwa malengo mengine,kuzaa watoto tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…