Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia.A whore will do anything for money.
Mke wa mtu, is none of your business, hujui motive behind, respect people's private endeavoursJamani mwenzenu fridge langu haligandishi linapooza tu. Nimeshindwa kukaa nalo nitapasuka moyo.
Sasa Mwanamke umeolewa na mume ana kila kitu, anakupenda wewe na ndugu zako, anakujali kwenye Mambo yote madogo na ma kubwa Ila kweli unaenda kuliwa stoo na subordinate wako?
Ungeenda hotel basi Ila kwa hili umejidharaulisha sana.
Walijua hawaonekani Ila nimewaona sana.
Kweli wanaokataa ndoa wanazidi kupata point. Mwanaume tafuta mwanamke akuzalie watoto idadi unayotaka usijifunge funge.....ndoa waachie Bibi na babu zetu.
Wake za watu ukija unahema juu juu uje kabisa na kopo la maji maana nimewaona mnakuja kasi kweli...... Jiheshimuni kama ni kibamia pambana nacho ndo ulichochagua 😅.
Au mumeo?Hahaha anajijua ntamtaja na jina, kabila na anapofanyia kazi af mumewe ni maarufu mjini daslam
Mkuu, kizungu sio tatizo cha msingi ni mtu kakunjwa saba na kataa ndoa habari imewafikia na saivi ni 3-0 wanaongozaMe na kizungu wapi na wapi boss
Poleni sana jamani.Hawa watu sahii wamekua kichwa maji sanaa na mbaya zaidi na sheria inawalinda yaani hata kwenye upuuzi.
Hakika tamkanda tu leo tu nimerud job naona ktenge nisichokijua ndani nauliza najibiwa ni cha huyo mke wa mtu kakisahau nikasema huyu kakiacha makusudi tuMpelekee moto mkuu hasara kwa mumewe kuoa mlupo
Daaah si wewe ulikuwa unasema mambo ya kizungu ? Au ? How long did the guy last ? Two minutes ? Were you able to record ? Incase of anything that video would be our "BLACKBOX".Of course is non of my business but is not off my eyes....
You should avoid doing your private issues in public places
The word "Accountability" doesn't appear in women's dictionaryBora wewe umesema, tena KE mwenzao.
Watakuja kujitetea hapa kwamba mke akichepuka basi mume ndo alaumiwe, kakosea mahali.