Achana na buku 4 , hyo hyo dem unaeza jichanganya na usijuw anauza , ukamtongoza kistaarab, akachomoa,ukaanza kumhonga , na ukikaa kiboya Zaid unaweza usimle mzigo na akakulia hela zako , na ndo huyo hyo usiku wa buku nne , akakupeleka Kansan kujifanya mcha mungu ili kukutia kwenye ring, na ukijichanganya unaoa...hapa nlipo panga mtt wa mwenye nyumba anadanga juz kat kajifanya anaumwa na Kuna njemba ikaja kumuona , akaazima chumba Cha mpangaj mwingine kujifanya ndo geto lake ,njemba imepigwa kama lak tat za matibab, ...kiufupi hwa madem hawana alama ,na haya mambo hayana formula, hata mm na uzoef wangu naweza nikapigwa vile vile, ...