Nilichoshudia leo kwa wanawake wanaojiuza

Ok nimekuelewa sasa, kwamba wanaoweza kuafford kulipa buku 4 ni wengi kuliko bei ikiwa kubwa. Na naskia hamna kuoga huwa papuchi zinafutwa tu na tissues akija mwingine kazi inaendelea. Wanaonunua hiyo huduma sijawahi kuwaelewa ni risk sana. Sasa usiombe na ndomu ipasuke katikati ya tendo. Utajuta milele.

Hongera kwa kutulia na mmoja na kumbe inawezekana wanaume mkiamua, safi sana na mfike mbali mkuu
 
nani alikuambia ukimwi upo huko?
 
Kutulia na mwanamke mmoja ni kati ya discipline kubwa ambayo wanaume wengi hatuiwezi.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio ishu ya dini ujui kitu kuhusu universe.Unadhani duniani upo pekee yako tu
Sawa ila usitudanganye mana huongei haya ila kwa mtazamo wa kidini..hayo maroho machafu au masafi ni wewe tu ulivyojipostioni...umasikini wa akili mbaya sana..kuna watu wanalala na kila malaya na wanahela na maisha yao mazuri hao unawaongeleaje.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe umeona hao tu? Kuna watu wanaishi na wanawake wanaojiuza kimyakimya na waume zao hawajui.
 
Umasikini sio laana pekee au mikosi pekee maishani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…