Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Elezea hapaAlaf ni rahis sana kuambukizwa VVU na mpenzi wako/mkeo/mchepuko kuliko kuambukizwa na malaya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elezea hapaAlaf ni rahis sana kuambukizwa VVU na mpenzi wako/mkeo/mchepuko kuliko kuambukizwa na malaya
Mademu omba omba wote ni wauzaji wa KDuuh kwa muktadha huu mtu anaweza kuwa muuzaji hata yeye asijue kuwa ni muuza k
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Yaani uvute passport kwenda kula malaya wa kimboka ya ujerumani,[emoji15]!?Acha nitafte passport hio chochoro inanifaa sana
Nchi ina vijana wa hovyo sana hiiYaani uvute passport kwenda kula malaya wa kimboka ya ujerumani,[emoji15]!?
Mke/mchepuko/mpenzi wako hawa ni watu unao waamin sana ukilinganisha na dada poa. So kwenda na mke kavu kavu ni rahis sana kuliko kwenda na malaya usiemjua kavu kavu bila kumpima afya yake.Elezea hapa
Sana wanawaza ngono tu kila timeNchi ina vijana wa hovyo sana hii
Umeona enhMimi kuna mmoja ndugu sijui anafanya kazi gani
Na ni mzuri kweli kweli white yuko dubenga picha zake ni za kislay queen
Machiz wangu kibao wakenasa kweny huu mtegoVery true ukia mdau wa malaya lazima morali ishuke ujione huna nguvu za kiume
Acha ujuaji si useme uelimishwe? unadhani kupima mpka uende kituo cha afya? kwa taarifa yako mimi vipimo nnavyo nafanya self test kaa hapo kama panyaAcha fix, unachukuwa demu Clab Alberto usiku mkubwa, pale mnakwenda kupima wapi?
Halafu wale wauza K wa pale club Alberto wana vilainishi vyao hata mkipiga kavukavu ni safe kabisa.
Condom zinavaliwa na kunguru waoga wanaotaka kuwa walinzi wa dunia.
Kwani Dunia ni yetu chief?Yaani uvute passport kwenda kula malaya wa kimboka ya ujerumani,[emoji15]!?
Hivyo vidude wanauziwa wajinga kama wewe kuangalia rangi.Acha ujuaji si useme uelimishwe? unadhani kupima mpka uende kituo cha afya? kwa taarifa yako mimi vipimo nnavyo nafanya self test kaa hapo kama panya
Unanifahamu? wapi nmesema nmenunua punguza ujingaHivyo vidude wanauziwa wajinga kama wewe kuangalia rangi.
Hiv test ina vipimo vitatu, cha kwanza kinahakikiwa na cha pili kisha cha tatu ndio kina Confirm usahihi wa vipimo viwili vya mwanzo.
Unamjua Monica nn mkuu??Bila shaka hapo ni Bananaaa...
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
Tegeta unaisemea hii Brazil hapa opposite na kibo complexKwa Dsm sehemu ambayo sijafika ni Machimbo ya Tandika, Tegeta na Manzese, ila kwingine kote nimeshapita.
NdioTegeta unaisemea hii Brazil hapa opposite na kibo complex
Hahahahahaha namskiaga tuu kwamba kuna wana wana mpiga paip kwa folen...Unamjua Monica nn mkuu??
Pale napafaham...Kumbe unapajua pale opposite na java
utafiti mfuuuMarry Christmas to everyone in here..
Jamani mwenzenu nilikuwa siamini kama biashara ya ngono huwa hipo.. Karibu na hapa napoishi kuna sehemu maarufu sana kwa biashara hiyo ya ngono basi nikajisemea lazima leo nikanunue mmoja wapo ili nipate experience kidogo kuhusu biashara hiyo.
Nikajongea taratibu mpaka eneo la tukio na maana nikaona wanawake wengi wa kila rika wakiwa wamevaa nusu uchi..
Basi nikaangalia nani mwenye matak* makubwa kuliko wote ili niinjoy nae katika utafiti wangu.. Mashalaah nikaona dada flani hivi age yake ni kama 28 hadi 32 nikamsogelea na yeye alivyoona tu namsogelea akanifata na kuniambia kaka part time ni elfu 4 sikutaka ku bargain sana nikamwambia poa ila twende kwangu huwezi amini alikataa katakata nikamwambia basi poa kwahiyo tutafanyia wapii?
Yule dada akanionesha kachumba ambacho kapo karibu kabisa na lile eneo nililomkuta.. Nikamwambia basi poa nikampa elfu 4 yake .. Tumefika pale yule dada akatoa condom na akaniambia niingie kwenye ki chumba kile kicho na giza. Daah yani nimeingia tu na kukuta njemba kama 4 hivi zinakula mzigo mule ndani, yule dada aka huku a kitu Kama kigodoro flani hivi akatandika chini kisha akapandisha juu ki skirt chake( kumbe hawavaagi pichu??). Akaniambia toa dushe nikuvishe ndom tufanye huku akiwa anajiandaa kulala kifo cha mende.. Nikamwambia sijaridhika na haya mazingira basi we chukua tu hiyo hela na ahsante kwa uhuduma.. akaanza ku shout eti "Monica mteja wangu kasusa" mi nikatoka na kurudi zangu geto na kunawa mikono na sabuuni na maji tiririka maana nilimshika papuchi kwa bahati mbaya..
Onyo: Tuendelee kuchukua tahadhari UKIMWI upo..