Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Namefikia mahali pa kuamini kwamba "huku tuliko" tumeridhika na pengine tunaogopa au hatuthubutu kutoka nje ya huku tuliko kwa sababu huko nje tukienda kuna changamoto ya Lugha na Desturi. May be sitaeleweka labda niweke mfano hapa:
Sisi watani wetu ni Warangi. Mrangi anasema Punda afe lakini mzigo ufike. - kwa hiyo atambebesha mzigo uliozidi, atamkunja mkia, atamchoma moto na yote hayo ni ili punda atembee kwa spidi afikishe mzigo panapo takiwa.
Mmaasai anasema punda ni msaidizi na rafiki yangu - Siwezi kumpiga rafiki na msaidizi wangu kwa ukatili. - kwa hiyo anamvika ngozi au shoghi na huchapa fimbo hiyo ngozi na akikuta penye maji anamsubiria punda wake anywe na atamfunga kivulini akifika panapotakiwa e.g. mashine ya kusaga.
Funzo: Tukubali kujifunza yale mazuri yaliyo huko nje hata kama kwa utamaduni wa hapa kwetu hayapo.
Kwa mukhtadha wa uzi huu kwa nini umpige au umdhalilishe binadamu mwenzako? Just leave him/her alone. Mind ur own business kama wafanyavyo huko nje. Hutokaa uone tukio kama hilo la K/koo huko kwa wenzetu. Watu wanaacha shughuli/biashara zao, mamiluzi na masauti kibao n.k. kisa eti wamemwona Shoga akipita. Very pathetic
Hawajui kwamba hilo neno Shoga (Gay)lisingelikuwepo kama Mashoga wasingelikuwapo.

Kuhusu kujifunza kutoka nje, umenikumbusha habari ya mazungumzo yangu na Godbless Lema.

Nilikuwa naongea na Godbless Lema siku moja. Lema ni mwanasiasa ambaye anajitanabahisha na siasa za kuongozwa na maadili, hususan yanayoendana na kanuni za kuamini Mungu/Dini/Ukristo.

Lema amejitanabahisha hivyo kwa kauli zake nyingi sana. Na kwa muktadha huo, na hayo mambo mnayoyaita utamaduni wa Kitanzania etc, amekuwa mtu aliyepinga mambo ya ushoga.

Katika utawala wa Magufuli viongozi wa upinzani walisakamwa sana mpaka wengine wakaenda kuishi uhamishoni. Lema alienda Canada.

Sasa siku hiyo tulikuwa na mazungumzo kuhusu mambo ya gay rights.

Lema, true to his character of being open to learning new things, akaniambia kuwa kitu kimoja amejifunza kwa kukaa Canada ni kwamba watu wa Canada na serikali yao wanaheshimu sana uhuru wa mtu binafsi. Wanaheshimu sana uhuru wa mtu kuwa tofauti.

Na aliweza kuweka uhusiano wa moja kwa moja kati ya heshima hiyo ya jamii na serikali kwa watu walio tofauti na jinsi jamii, na by extension serikali, inavyoweza kuheshimu vyama vya upinzani.

Tunawezaje kushangaa Polisi wakiwapiga wapinzani ikiwa jamii yetu haijaelewa kuishi na watu tofauti na hawa walioamua kuvaa shanga tunawadhalilisha hivi?

It's the same thing. Dominant group inawabagua na kuwabagaza minority group.

The same thing.

Ila kuelewa hilo inahitaji kufikiria mambo kwa kina, kusoma, kusafiri, kuielewa dunia.

Godbless Lema mwenyewe na ujanjaujanja wake wote ilibidi asafiri aende Canada kukaa na watu wa huko ili kuelewa hili jambo.

Sitegemei wabongo wa Kariakoo waelewe.

Mambo hayo more than 90% ya Watanzania bado wako nyuma sana.
 
Kuna kitu ni Necessity (Necessary) na kitu ni a Want (Wish). Kitu necessary ni kile ambacho bila hicho maisha hayaendi e.g. maji, chakula, nguo n.k. Lakini a wish ni kile kitu ambacho ni matamanio yako e.g. Maji ya Kilimanjoro, Ndizi na kiti moto, Suti nyeusi n.k. Ni vitu ambavy ukivikosa sio shida kwako maisha yataendelea.
Kwa mantiki hiyo, mtu katika starehe zake ameamua kujiongezea Ushoga lakini sio lazima Uwe shaga ili uishi au maisha yawezekane.
Suala la whether suti nyeusi ni lazima au kitu cha nyongeza si muhimu.

Suala la muhimu ni kwamba kila mtu ana haki ya kuvaa suti nyeusi, hivyo akiamua kuvaa suti nyeusi hatutakiwi kuanza kumbagaza kwa sababu kaamua kuvaa suti nyeusi.

Ni haki yake.

Kitu kikishakuwa haki suala la whether ni necessary or not linaondoka.

Kupiga kura si necessary. Watu wanaweza kuishi bila kupiga kura. Lakini ni haki ya kikatiba.

Na ikishakuwa haki ya kikatiba, suala la whether it is necessary or not linakuwa halipo.

Mtu anapiga kura (au kuamua kutokupiga kura) kwa sababu ni haki yake ya kikatiba tu, bila kujali kwamba ni necessary or not.
 
Ni asilimia ndogo sana ya mashoga iliyopa. Na watu wanaongezeka kila siku
Hatuwataki na siku mimi ni kiwa mwenye mamlaka na wapeleka bahari ya hindi kina kirefu.
 
Usiwe na wasiwasi - Ondoa wasiwasi. Tunaenda kwa hoja. Ushenzi by definition ni kukosa Ustaarabu. Kukosa Ustaarabu ni kutenda mambo bila kuzingatia Taratibu na Sheria/Miiko/Makatazo ziliopo.
Mimi I'm Who I am. Nay.
Kumtoa mtu nishai e.g, hao mashoga, ndo kumfanyaje na utekelezaji wake u koje?? Naomba unijibu kiutu uzima na kama inaruhusiwa.
Ustaarabu ni kukuacha ufanye vitendo vya kishoga na ishara hadharani!? Duh! Kweli watu mmeshakuwa affected kiakili
 
Hatuwataki na siku mimi ni kiwa mwenye mamlaka na wapeleka bahari ya hindi kina kirefu.
Kwa mipango hii huwezi kuwa kwenye mamlaka utabaki kuota kuwa kwenye mamlaka tu.

Magufuli na umwamba wake wote wa kuvunja katiba kwenye suala la ushoga alimuachia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Hayati Balozi Dr. Augustine Mahiga amruke swahiba wake Paul Makonda.

Unafikiri Magufuli aliwapenda sana mashoga?

Alijua kuwa mashoga wana haki za kibinadamu zinazotambulika kimataifa.

Alijua ni rahisi kuvunja katiba ya Tanzania kukataza Watanzania wasifanye mikutano ya kisiasa kuliko kuvunja haki za mashoga na dunia nzima im brand homophobic.
 
Ustaarabu ni kukuacha ufanye vitendo vya kishoga na ishara hadharani!? Duh! Kweli watu mmeshakuwa affected kiakili
Kwani hao vijana 2 mliowavua nguo walikuwa wanafanya vitendo vya ushoga na ishara hadharani? Mbona vid.clip inawaonesha ninyi mliokuwa mnapiga makelele, mnawavua nguo na kuwazomea??
Watu hawajawa affected kiakili bali wanawashangaa ninyi mlichokifanya kana kwamba hamna akili.
 
Suala la whether suti nyeusi ni lazima au kitu cha nyongeza si muhimu.

Suala la muhimu ni kwamba kila mtu ana haki ya kuvaa suti nyeusi, hivyo akiamua kuvaa suti nyeusi hatutakiwi kuanza kumbagaza kwa sababu kaamua kuvaa suti nyeusi.

Ni haki yake.

Kitu kikishakuwa haki suala la whether ni necessary or not linaondoka.

Kupiga kura si necessary. Watu wanaweza kuishi bila kupiga kura. Lakini ni haki ya kikatiba.

Na ikishakuwa haki ya kikatiba, suala la whether it is necessary or not linakuwa halipo.

Mtu anapiga kura (au kuamua kutokupiga kura) kwa sababu ni haki yake ya kikatiba tu, bila kujali kwamba ni necessary or not.
Kwa mantiki hiyo, mtu yuko huru kuamua kutumia au kutotumia kilicho chake kadri apendavyo sio?
 
Washindwe wao sasa kuomba ubalozi wa usa/uk kupata hifadhi bure.
 
Naam.

Msenge akiamua kuwa msenge katika maisha yake, mtu asiye msenge anapungukiwa nini?
Hakuna cha kupungukiwa kwa hilo.
Yani mwanamme msenge kaamua kuvaa shanga, mimi nisiye msenge napungukiwa nini?
Hupungukiwi na kitu.
Kwanza kama mimi mwanamme sipendi *******, kwa nini niwafuatilie mambo yao? Kwa nini nisifuatilie wanawake ninaowapenda?
Inashangaza sana.
Mwanamme msenge akivaa shanga napungukiwa nini?
Hupungukiwi na chochote.
Napungukiwa shanga alizovaa? Akinunua yeye shanga zitapungua sokoni mimi nikose za juvaa?
Ukizihitaji bado zipo nyingi na za kumwaga huko sokoni. Ni ww tu.
Hao watu wanaokataza ******* kuvaa shanga wanazitaka wao hizo shanga?
Nashangaa. Wakizihitaji basi waende nao wakanunue zipo bado huko sokoni zimejaa tele.

Wahenga walisemaga: "An idle mind is Satan's Workshop" Mtu kwa hiari anaanzisha timbwili lisilo na manufaa yoyote kwake na pengine huenda likamgharimu.
 
Kwa mipango hii huwezi kuwa kwenye mamlaka utabaki kuota kuwa kwenye mamlaka tu.

Magufuli na umwamba wake wote wa kuvunja katiba kwenye suala la ushoga alimuachia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Hayati Balozi Dr. Augustine Mahiga amruke swahiba wake Paul Makonda.

Unafikiri Magufuli aliwapenda sana mashoga?

Alijua kuwa mashoga wana haki za kibinadamu zinazotambulika kimataifa.

Alijua ni rahisi kuvunja katiba ya Tanzania kukataza Watanzania wasifanye mikutano ya kisiasa kuliko kuvunja haki za mashoga na dunia nzima im brand homophobic.
Hahaha mm ntakuwa zaidi ya Magufuli nakuambia.
 
Hatuwataki na siku mimi ni kiwa mwenye mamlaka na wapeleka bahari ya hindi kina kirefu.
Huwataki lakini huna la kuwafanya zaidi ya kupiga kelele bure. Na ukiwa na mamlaka utakuwa busy kutafuna pesa hata hutakumbuka kama kuna viumbe mashoga wana exist
 
Hahaha yaani wasiwe na Marinda halafu watuzae? Ina wezakanaje? Jamani kuna mambo tuache ya pite tu wala sio ufahali kutetea huo ujinga.
😂😂😂😂😂

Aliyekuambia marinda yanazalisha nani? Uko sawa kichwani wee? Au ndo unakurupuka? Marinda yanahusiana nn na uzazi wa mwanaume? Au marinda yanahusiana nn na Utasa?

Najua uelewa wala ufahamu huna, nakusanua sasa, msenge anaweza kuzalisha, kuoa, kuwa baba wa familia, ikiwa tyuuh sio Khanithi wala tasa.

Upoooo?! Poleeee wee 😂😂😂😂😂😂
 
Nasoma unayoandika naona unaandika hisia tupu wala sio logic anyways siwezi jua labda kuna jinsi unanufaika na ushoga maana ipo wazi unaelewa utamaduni na maadili yetu ni yapi
Wee ndio unaandika hisia na sio logic, yaan ungekua na logic usingekua unaandika hizo hekaya zako.

Kwani wee unanufaika nn kwa kupinga ushoga? Naomba unijuze maadili na utamaduni wetu huo. Em nisanue bwasheee.
 
Duh! Mbona umekasirika kana kwamba ni kitu kipya sana kwako? Akili imekuvurugika na unachanganya siasa, mambo ya kijamii, sheria, mambo ya Kiserikali n.k. n.k. imekuwa ni mseto si mseto, mchanyato si mchanyato vurugu tupu. Pole.
1. Sheria ipo na Ukimnyanyasa mtu yeyote e.g. kumvua nguo au hata kumshika-shika bila idhini yake itakupasa Hukumu. Watu wengi hupotezea jambo hilo kwa kuzingatia kupoteza muda kwenye taratibu za kisheria.
2. Kumbuka kilichotokea hapo K/koo ni Mob justice(psychology) ambayo Haikubaliki popote duniani e.g. Kumpiga au kumchoma moto mwizi/kibaka n.k. yan Unajichukulia Sheria mkononi. Hiyo Sio sawa.
3. Imani ni kitu cha mtu binafsi. Wewe umeamini wanawake ndo wanaousapoti jambo hili, lakini hapohapo unasema
hakuna mwanaume mwenye akili timamu ambaye si *****??,.. Ulitaka kusema nini mkuu?
4. Hakuna anayeumia wakipingwa alakini nikuulize kidogo tu, Ni nani amekupa kazi hiyo?? Mbona vipo vyombo Halali na Kisheria vinavyoshughulika na kazi hiyo na vinalipwa kwa kodi zetu??
NB: Mwisho nikutanabahishe kwamba kutenda HOVYO kwa kutaka SIFA bila kuzingatia Taratibu zilizopo ni Ubaradhuli na mtu unaweza kujikuta unajutia baadaye kama Mvuta bangi.
Muambie huyooo!
 
Back
Top Bottom