Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Our LORD will not return until SIN has reached its full measure.

It will be like in the days of Noah.

So the more they feel like they're winning, the more the dark world seems to get powerful, the closer is our redemption.

MAY THE LORD'S KINGDOM COME!

COME SOON LORD JESUS!
 
Fikiria baba zetu wangekuwa mashoga tungekuwepo? Faida ya ushoga ni nini?
😂😂😂😂😂 kwanza nichekeee!!!
Baba zetu wangeweza kuwa mashoga na sisi pia tungekuwepo,

Faida ya ushoga, hii hoja ina matter zaidi kwa muhusika, yeye anajua au kupata faida yake, kwa uchache, tulizo la hisia za kimwili, upendo na furaha kati yao wahusianao.

Vipi una jingine?
 
Mungu aendelee kuwalinda Vijana wetu wa kiume.

Wamekuwa kwenye vita nzito kuliko tunavyodhani.

Kuna Wanaume wenzetu, wamekuwa wakitumia kila mbinu kuwashawishi ili kuwaingilia kinyume cha maumbile

Kama una watoto wa kiume nyumbani kwako, usiache kuwaombea na kuwakabidhi Kwa Mungu
Kabisa mzee nwenzangu!!
 
Kwa 99% tumefanikiwa.
Lakini niambie faida za ushoga ni nini?
Mafanikio yenu hayaonekani maana sasa hivi ndo tunawaona waziwazi kuliko zanani. Dunia inaendelea kutambua haki zao.

Inawezekana ushoga ukawa hauna faida lakini hebu nitajie hasara zake.
 
Kuna nukuu ya mkuu Grahams, kuna kitu kaongea...kama wewe hivyo, akiwa wa jirani mbona kawaida tu, likija ndani ya malango yako ndio ukweli utajulikana.
Kuna mambo ni ngumu kuyazuia , hasa ukishafeli kwenye malezi
 
Kuna mambo ni ngumu kuyazua , hasa ukishafeli kwenye malezi
Wakati mwingine wala sio kufeli malezi bwashee, inaweza kutokea tu mtoto akaamua kwa utashi wake au peer pressure!
 
Kuna nukuu ya mkuu Grahams, kuna kitu kaongea...kama wewe hivyo, akiwa wa jirani mbona kawaida tu, likija ndani ya malango yako ndio ukweli utajulikana.
Utatamani ardhi ifunguke upotelee humo

Kuna mambo ubaki kusikia ama kunyooshea kidole Kwa wenzio tu lakini yakiingia kwako, kama Mzazi ndiyo utatamani hata ujiue kujiepusha na aibu
 
nakosa Cha kusema ila chanzo Cha hao gays ni wanaume waliokosa utu mioyoni mwao
Huanzia kwa wanawake na kuhamia kwa wanaume
Hao wnaume unaowazungumzia wamekosa utu ni gays pia... Gays wanakulana wao kwa wao..anaokula na kuliwa wote ni Gays..
 
Back
Top Bottom