Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Ni baada ya kushuhudia vijana wawili ambao kimuonekano ni kama walishavuliwa ubingwa (Gays) wakijaziwa nzi yaani unaambiwa kitaa cha kutoka Karume kuja China plaza ni kelele tupu wakiwazonga na kuwazomea🤣🤣🤣🤣

Dakika za mwisho kuthibitisha hilo wakawazonga hadi wafanikiwa kupandisha tshirt ya mmoja wao ndipo shanga zikaonekana (Mambo hadharani) Watu ikabidi waziletee mazonge shanga hadi wakazikata 🤣🤣🤣🤣 Oya weeeh

Kama sio polisi kuingilia leo Millard Ayo angepata kichwa cha habari cha moto🔥🔥🔥

Siungi mkono uzalilishwaji ila nimefurahi maana hawa viumbe wamezidi kujiacha sasa inafika sehemu wanajiongelea vile wanavyotaka na confidence kibao na wanasapportiwa sasa kama wewe ni Gay usiombe ugundulike mitaa ile utajichukia.

Kumbafu.
Avatar yako haisadifu mambo hayo kweli?

Maana siku hizi kuna saikolojia mpya imeingia mjini: ukisikia mtu anabwabwaja kuhusu uzinzi, anabwabwaja kuhusu ufisadi, anabwabwaja kuhusu ushoga nk nk, kimbilia kumsoma usoni ulinganishe body language yake na anachokisema uone kama anastahili kukaripia anachokikemea?

Maana waweza kukuta mtu analaani matendo maovu kumbe ndiye mshiriki mkuu wa matendo hayo hayo?!

Avatar yako inafanana na ufirauni, halafu leo unakuja kulaani ufirauni huo huo, what for!

Ukinijibu kuwa unaongelea *******, nitakujibu kuwa kila kundi ovu huwa linaundwa na makundi mengine madogo madogo kuliwezesha kushamiri.

Kwa mfano: ukisema 'jambazi', basi kuna makundi mengine yafananayo, kuna wezi, matapeli na wadokozi.

Hilo ni kundi moja tu la wakwapuaji!

Ndiyo wewe na hao jamaa zako sasa, ni kundi moja tu, cha ajabu leo unawageuka wenzako na kusherehekea madhila yao!
 
Hii vita nina ishangaa sana... kwa nini watu wasishughulike na wanaume wanao waingilia?
 
Umejaa, Haya ngoja nikupokee kiongozi… Unahisi mimi nimekosea nini hapo kuandika hisia zangu baada ya kuona nilichoshuhudia?

Nilitegemea uandike kwamba una-support tabia za kichoko au lah ila naona unasupport ila unazunguka mbuyu, ID yangu inasadifu kitu gani kinachohusisha hayo mambo!?

Kama huna uhakika na unachoongea basi nakuambia hivi wanavyoitikia Mama Amina ndo wewe.
 
Nimeeleza kwa kirefu nilichomaanisha kwa jinsi nilivyokusoma.

Avatar yako inatafsiri: 'miguno juu ya kitanda kikubwa cha 6kwa6'!

Maneno uliyotoa kuyalaani matendo ya ******* ni ya kimaadili, lakini je unayelaani una maadili kiasi gani?

Hatujuani sawa, lakini nimeanza kuchambua jina lako la avatar na kugundua kuwa ni la kimalaya, nikaona lina dosari isiyostahili kulaani vitendo hivyo sababu jina lako wewe ni la kundi hilo hilo la mmomonyoko wa maadili

Waweza kuwa siyo msenge, lakini ukawa malaya au supporter wa mambo hayo kwa sababu umeyasupport kwa kujiita jina kabisa Jamii forum.

Uchambuzi wangu umezingatia Avatar pekee, niwie radhi mkuu kama nimebonyeza sana katika uchambuzi wangu ili siku nyingine msiwe mnajiita majina ya ajabu ajabu yanayotia mashaka!
 
Nimeangalia hiyo video hiyo mibaba mizima kama mijinga kumzonga kijana mdogo namna hiyo maana yake nini?
Yaani ufisadi unavyosemwa hadharani badala yakasirike yaingie barabarani yenyewe yako busy kufunua mashati ya vijana wadogo waliokua wanajipitia zao bila shida yoyote,

Pathetic
Unataka kutetea ushoga sio?
 
Hawa inaonekana kimoyomoyo mnawapenda sanaa tu, msingewapenda hivyo msingewafuatilia hivyo.
Nakazia hoja: Inaitwa "Kisebusebu na kiroho papo". Yan wanawafuatilia kana kwamba wamekula au kudhulumu mali yao. Kumbe ni hawana kazi nyingine productive wapo Idle ndo mana wanapata muda wa kufuatilia yasiyowahusu.
 
Mwanaume yeyote aliyefungua hiyo video Ili kushuhudia makalio yenye shanga ya mwanaume mwenzake basi na yeye kama sio mende ni upinde pia.
Si lazima.

Inawezekana mtu akataka kujua data za ulevi kwa kujenga hoja dhidi au kutetea ulevi, bila ya yeye kuwa mlevi.

Ila pia ikuwa kila siku mtu anafuatikia mambo hayo tutaweka shaka.
 
Wanaharibubjamii sio kwamba watu wanapenda kuwafuatilia ishubkama iyonikiwa inaonekana yabkawaida watoto wajao wataona ya kawaida na jamii itazid kuharibika ww utaona kitu cha kawaida mtt wako wa kiume afumuliwe marinda na utakujabkusema kwamba utamuacha watu wafumue tu kisa hufatilii hayo mambo
Malezi ya wazazi - wazazi ndo walaumiwe... ie.e kuna mahali wazazi walizembea katika malezi. Mbona watoto wa kike wameachwa na wanayoendelea kufanya tena hayapendezi kabisa, wao mnawajua na mnaishi nao lakini mmewanyamazia na pengine nyie ni wateja?? au wanachofanya e.g. kudanga, kusagana, umalaya hadi wanafanya maonesho kwenye mabaa uck n.k. ni chema sana? Mbona hujiulizi watoto wajao wataona ni kawaida na jamii (wakiwemo watoto wako mwenyewe)itazidi kuharibika? Ni bora kama umeona tendo ni baya basi usibague - kemea kwa wote lakini pia tumia busara na hekima katika kukemea. Kitendo walichofanyiwa hao vijana ni KOSA la jinai.
 
Nakazia hoja: Inaitwa "Kisebusebu na kiroho papo". Yan wanawafuatilia kana kwamba wamekula au kudhulumu mali yao. Kumbe ni hawana kazi nyingine productive wapo Idle ndo mana wanapata muda wa kufuatilia yasiyowahusu.
Tanzania kuna watu masikini wengi sana ambao hawajui kupanga matumizi mazuri ya muda, wameshikiwa akili na kuaminishwa kuwa tatizo kubwa katika jamii ni hawa *******.

Wakati hawa ******* hawamuibii mtu mali ya umma, wanatumia miili yao wenyewe wanavyotaka wao wenyewe. Wanatumia haki za binadamu ambazo tumezikubali wenyewe na kusaini mikataba ya UN.

Wezi wa mali ya umma wanaachiwa wanadunda tu. Watu hawawaandami kama wanavyowaandama hawa *******.

Ifike wakati tuelewe kuwa usenge ni lifestyle tu. Kama huupendi wewe na familia yako wakanye wao wasiufuate

Huwezi kuzuia jambo kama hili. Na ukitaka kuwazuia wasijioneshe wazi ndiyo utakuwa unafanya kitu kibaya zaidi kwa sababu utawalazinisha wafanye kwa siri.

Labda tu negotiate kitu gani kinaweza kufanyika in public na kipi hakiwezi kufanyika, kwa sababu ya watoto.

Na hii si hoja ya ******* tu, hii hoja hata mahusiano ya wanaume kwa wanawake inayahusu.
 
Back
Top Bottom