Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Hii video rahisi sana kuwekwa spyware ukifungua au ukipakua tu unakuwa compromised.
ID yako inajulikana.
 
Aweeeeh aweeeeh hao masela w awamu y 6 wamekumbatiwa MNO.
KAZI ni kipimo cha utu
 
Nimeangalia hiyo video hiyo mibaba mizima kama mijinga kumzonga kijana mdogo namna hiyo maana yake nini?
Yaani ufisadi unavyosemwa hadharani badala yakasirike yaingie barabarani yenyewe yako busy kufunua mashati ya vijana wadogo waliokua wanajipitia zao bila shida yoyote,

Pathetic
 
Tukikaa katika Mkao wa kujenga tunaweza okoa vijana wengi ambao wapo huko tayari.

Na kuzuia wengine kutoingia huko.

Changamoto ya Ushoga ni kubwa Ila sifikirii Kama inaweza kufika changamoto ya usagaji Ila ni Kama kuwa Tomb boy ni ruksa Ila kuwa shoga ni marufuku , wakati matatizo haya yanaendana Kama sio kufanana.
 
Sasa hamuoni kuwa mngewaacha tu hii habari isingejulikana na watu wengi, na mnavyowafunua mpaka kuona shanga zao na kuwaweka mitandaoni ndiyo mnawasaidia kufanya matangazo ya mambo yao?
Mwanaume yeyote aliyefungua hiyo video Ili kushuhudia makalio yenye shanga ya mwanaume mwenzake basi na yeye kama sio mende ni upinde pia.
 
Kwa hiyo wewe Bora ufumuliwe tuzi upate msaada !!??
Hapo serikali ungeishauri ikatae misaada ya hao wanaohalalisha huo u-gay halafu ìtunge sheria kali,yawezekana haya mambo yasingeendelea kutamalaki hivi,tofauti nasasa ambapo inasemekana serikali imesaini makubaliano ya kulinda haki zao,ili kuendelea kupata misaada ambayo tunaotumia mimi nawewe indirectly.
 
Kwa hiyo wamesaini huku wnatudanganya wamekataza ...
 
Back
Top Bottom