Nimeeleza kwa kirefu nilichomaanisha kwa jinsi nilivyokusoma.
Avatar yako inatafsiri: 'miguno juu ya kitanda kikubwa cha 6kwa6'!
Maneno uliyotoa kuyalaani matendo ya ******* ni ya kimaadili, lakini je unayelaani una maadili kiasi gani?
Hatujuani sawa, lakini nimeanza kuchambua jina lako la avatar na kugundua kuwa ni la kimalaya, nikaona lina dosari isiyostahili kulaani vitendo hivyo sababu jina lako wewe ni la kundi hilo hilo la mmomonyoko wa maadili
Waweza kuwa siyo msenge, lakini ukawa malaya au supporter wa mambo hayo kwa sababu umeyasupport kwa kujiita jina kabisa Jamii forum.
Uchambuzi wangu umezingatia Avatar pekee, niwie radhi mkuu kama nimebonyeza sana katika uchambuzi wangu ili siku nyingine msiwe mnajiita majina ya ajabu ajabu yanayotia mashaka!