Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Ni wapi imekatazwa mwanaume asivae shanga? Mbona baadhi yenu mnajifunga kanga?
Hapo ni dhahiri kwamba yupo mmoja kati yenu alikuwa anamjua huyo kijana na pengine amewahi kumla na kwa sababu ya ubishi uliozuka miongoni mwenu akataka kuwathibitishia. Na amewathibitishia pasi na shaka. Sasa nendeni na nyie mkajaribu bahati yenu.
😂😂😂😂😂😂 umepiga kwenye mshonoo.
 
Ni baada ya kushuhudia vijana wawili ambao kimuonekano ni kama walishavuliwa ubingwa (Gays) wakijaziwa nzi yaani unaambiwa kitaa cha kutoka Karume kuja China plaza ni kelele tupu wakiwazonga na kuwazomea🤣🤣🤣🤣

Dakika za mwisho kuthibitisha hilo wakawazonga hadi wafanikiwa kupandisha tshirt ya mmoja wao ndipo shanga zikaonekana (Mambo hadharani) Watu ikabidi waziletee mazonge shanga hadi wakazikata 🤣🤣🤣🤣 Oya weeeh

Kama sio polisi kuingilia leo Millard Ayo angepata kichwa cha habari cha moto🔥🔥🔥

Siungi mkono uzalilishwaji ila nimefurahi maana hawa viumbe wamezidi kujiacha sasa inafika sehemu wanajiongelea vile wanavyotaka na confidence kibao na wanasapportiwa sasa kama wewe ni Gay usiombe ugundulike mitaa ile utajichukia.
View attachment 3461391
Kumbafu.
Hizi tabia za kunyanyasa watu kwenye hadhara zinapaswa kupigwa marufuku. Ni namna ya kukosa ustaarabu.

Mbaya zaidi unakuta wengi waliokiwa wanawapigia kelele na kuwadhihaki wanawafanya wanawake kinyume na maumbile.
 
Umalaya, udangaji, usagaji, uzinzi ni ruksaa.
Ila ushoga ni hapana, hiyo ndio Tanzagiza.
😂😂😂😂😂😂
Si shabikii Ushoga na wala Siwanyanyapai Mashoga ila pia siwezi kuwazongazonga kwani sijui kilichojiri kwao hadi wakaamua au kulazimika kuwa kama hivyo walivyo. Lakini zaidi kwa sababu ni binadamu kama mimi ninawaheshimu na kuwakubali/kuwapokea i.e. ninaweza kuishi nao bila shida yoyote au purukushani kama ilivyotokea hapo K/koo.
 
Tanzania kuna watu masikini wengi sana ambao hawajui kupanga matumizi mazuri ya muda, wameshikiwa akili na kuaminishwa kuwa tatizo kubwa katika jamii ni hawa *******.

Wakati hawa ******* hawamuibii mtu mali ya umma, wanatumia miili yao wenyewe wanavyotaka wao wenyewe. Wanatumia haki za binadamu ambazo tumezikubali wenyewe na kusaini mikataba ya UN.

Wezi wa mali ya umma wanaachiwa wanadunda tu. Watu hawawaandami kama wanavyowaandama hawa *******.

Ifike wakati tuelewe kuwa usenge ni lifestyle tu. Kama huupendi wewe na familia yako wakanye wao wasiufuate

Huwezi kuzuia jambo kama hili. Na ukitaka kuwazuia wasijioneshe wazi ndiyo utakuwa unafanya kitu kibaya zaidi kwa sababu utawalazinisha wafanye kwa siri.

Labda tu negotiate kitu gani kinaweza kufanyika in public na kipi hakiwezi kufanyika, kwa sababu ya watoto.

Na hii si hoja ya ******* tu, hii hoja hata mahusiano ya wanaume kwa wanawake inayahusu.
But atleast wanajitahidi kupinga matendo ya kinyume na utamaduni maana ukiimagine ukapata vyote lakini maadili 0 sasa ina faida gani?
 
Gayism ni ndani ya moyo wa mtu hakuwi determined na mavazi
 
Hizi tabia za kunyanyasa watu kwenye hadhara zinapaswa kupigwa marufuku. Ni namna ya kukosa ustaarabu.

Mbaya zaidi unakuta wengi waliokiwa wanawapigia kelele na kuwadhihaki wanawafanya wanawake kinyume na maumbile.
Tofautisha mwaname kuingia mtaro wa mwanamke na kuingia mtaro wa mwanaume mwenzake, Kuna dhambi halafu Kuna dhambi promax!😎
 
Hawa wapumbavu wanatuachia msala sana kwa mademu maana tutabaki wachache tutajigawaje sasa kuwashughulikia mademu
 
Yani shangaa kavaa yeye, makasiriko unapata wewe?

Una mapungufu gani ya kisaikolojia katika maisha yako unayotaka kuyajazia kwa kuwaandama hawa wanaume walioamua

Gayism ni ndani ya moyo wa mtu hakuwi determined na mavazi
Mwanao wa kiume akianza kufanya mambo ya kike usianze kutuonea haya majirani zako maana huku JF una-support
 
Back
Top Bottom