Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Si shabikii Ushoga na wala Siwanyanyapai Mashoga ila pia siwezi kuwazongazonga kwani sijui kilichojiri kwao hadi wakaamua au kulazimika kuwa kama hivyo walivyo. Lakini zaidi kwa sababu ni binadamu kama mimi ninawaheshimu na kuwakubali/kuwapokea i.e. ninaweza kuishi nao bila shida yoyote au purukushani kama ilivyotokea hapo K/koo.
Ukiona mtu anakuwa so curious na ushoga hasa kwenye kupinga, tena kwa namna km hii.
Ni yule ambaye hajaelimika, maisha magumu, stress na msongo anao wa kutosha, hivyo anatafuta ahueni ndo kuparamia watu wasio muhusu km hivyoo.
Lol
 
Hawa wapumbavu wanatuachia msala sana kwa mademu maana tutabaki wachache tutajigawaje sasa kuwashughulikia mademu
Sio nyie mnaolia kila siku vitimbwi vya mademu hamviwezi? Mara kuombwa pesa na vitu hamtakii.
Kuwashughulikia kwenyewe mnaweza? Ndo wangekua wanasagana? Lol
😂😂😂😂😂
 
Huo muda wa kupinga matendo ya kinyume na Utamaduni wangeliutumia kujitafutia kipato au maendeleo yao na familia zao.
Je, Kelele zao zina impact yoyote? Hapo ujue ni kelele na Udhalilishaji vimefanyika K/koo tu. Vp huko Ubungo, Kimara M/Nyamala, Mwanzo, Arusha n.k. ? Huko hawapo? Ni sawa na yule mtoto aliyechota maji baharini kwa glasi kubwa halafu akasema amepunguza maji ya bahari.:4Shrug:
😂😂😂😂😂
 
Hizi tabia za kunyanyasa watu kwenye hadhara zinapaswa kupigwa marufuku. Ni namna ya kukosa ustaarabu.

Mbaya zaidi unakuta wengi waliokiwa wanawapigia kelele na kuwadhihaki wanawafanya wanawake kinyume na maumbile.
Humo miongoni mwao kuna watu wana madhambi machafu tena ya kuonea watu, kuiba, kudhulumu, kutapeli, kuumiza, kuloga, kufira wanawake, lakini ndio vinara wa kudhalilisha vijana wadogo kama wale.
 
Makalio ni yao , binafsi sina mda wakufuatilia makalio ya mtu anayatumia vipi🚮
kuna papayi moja lilifikishwa mahakamani kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile, wakati wa kujitetea , likaropika,...SAMAHANI HAKIMU, MIMI SIKUJUA KUWA MKND NI MALI YA SERIKALI NA SIO MIMI,....😭😭😭 kama sio polisi angezikwa,...
 
Sasa wizzzo uende jela kwa kipii? Usomi? Ufahamu na akili kubwa km wee, aaah wapii wataonewa hawa wasiojitambua.
😂😂😂😂😂
Kwa usomi gani coca wakati sijui sheria mie 😂😂😂 LOL najiona kabisa naelekea segerea na shanga zangu kwenye BUNO 😂😂😂😂😂😂
 
kuna papayi moja lilifikishwa mahakamani kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile, wakati wa kujitetea , likaropika,...SAMAHANI HAKIMU, MIMI SIKUJUA KUWA MKND NI MALI YA SERIKALI NA SIO MIMI,....😭😭😭 kama sio polisi angezikwa,...
Tuache ujinga.

Mtu hawezi kufungwa jela kwa kosa la kutumia ****** wake.

Tuache kuonea watu, mbona nyie mnaphirwa lakini hakuna anayewauliza swali!

Upumbavu tu kuonea onea watu kwa kutumia vijisheria uchwara visivyo na kichwa wala miguu.
 
kuna papayi moja lilifikishwa mahakamani kwa kosa la kuruhusu watu kumwingilia kinyume na maumbile, wakati wa kujitetea , likaropika,...SAMAHANI HAKIMU, MIMI SIKUJUA KUWA MKND NI MALI YA SERIKALI NA SIO MIMI,....😭😭😭 kama sio polisi angezikwa,...
Binafsi kufuatilia mambo yasiyo nihusu huwa ndio sitaki makalio ni yake atajua mwenyewe
 
But atleast wanajitahidi kupinga matendo ya kinyume na utamaduni maana ukiimagine ukapata vyote lakini maadili 0 sasa ina faida gani?
Kinyume na utamaduni gani ambao hatujakaa siku yoyote tutakubaliana kuwa huu ni utamaduni wetu?

Pia, utamaduni wowote huwa unabadilika, sasa utakataa vipi kwa hoja ya utamaduni wakati utamaduni hausimami, daima unabadilika.

Katika mantiki kutetea kitu kwa hoja ya utamaduni ni logical fallacy.

Argument from authority logical fallacy.

Nchi inaongozwa na sheria, haiongozwi na utamaduni.

Sasa kuna sheria gani ya kusema mwanamme asivae shanga, na akivaa shanga mumfunue hadharani na kumdhalilisha hivyo?
 
Ni baada ya kushuhudia vijana wawili ambao kimuonekano ni kama walishavuliwa ubingwa (Gays) wakijaziwa nzi yaani unaambiwa kitaa cha kutoka Karume kuja China plaza ni kelele tupu wakiwazonga na kuwazomea🤣🤣🤣🤣

Dakika za mwisho kuthibitisha hilo wakawazonga hadi wafanikiwa kupandisha tshirt ya mmoja wao ndipo shanga zikaonekana (Mambo hadharani) Watu ikabidi waziletee mazonge shanga hadi wakazikata 🤣🤣🤣🤣 Oya weeeh

Kama sio polisi kuingilia leo Millard Ayo angepata kichwa cha habari cha moto🔥🔥🔥

Siungi mkono uzalilishwaji ila nimefurahi maana hawa viumbe wamezidi kujiacha sasa inafika sehemu wanajiongelea vile wanavyotaka na confidence kibao na wanasapportiwa sasa kama wewe ni Gay usiombe ugundulike mitaa ile utajichukia.
View attachment 3461391
Kumbafu.
Mkuu halafu huo sio uzalilishaji bali ni ukumbusho.
 
Wamarekani weusi na baadhi ya watetezi wa haki za kichoko wameshafika na uzi umeshachafuka.

Kumgundua anayesapoti huo ushenzi ni rahisi sana, wapo wanaojificha ktk kivuli cha haki za binadamu, wanasahau kuwa suala mojawapo la kulinda binadamu ni kuzuia viashiria vyovyote vile vinavyoharibu uzazi au kuharibu maadili ya vizazi vijavyo.

Na bahati mbaya wanawake ndio wanaongoza kusapoti huu ushenzi, marafiki wakubwa wa mashoga ni wanawake, hakuna mwanaume mwenye akili timamu ambaye si *****, anaweza kujenga urafiki na *****.
Wanawake mnaowatetea machoko na mnashinda nao ktk vijiwe vyenu, niwaulize je mnapenda watoto wenu wawe kama hao machoko mnaowasapoti? Kama sivyo kwanini mnaumia wakipingwa?.

Naninyi mnaojiona watetezi wa haki za binadamu mbona hamkemei maovu yaserikali dhidi ya raia?, mbona hamkemei maonevu ya askari kwa raia?, mbona hamkemei maonevu ya CCM ila mashoga na machoko wakiguswa mnawaka kama nini.

***** YEYOTE HAFAI KUKAA NA JAMII, ADHABU YAKE NI KUMDHALILISHA AMA KUMMALIZA ILI KUOKOA KIZAZI KIJACHO.

mababu zetu wangefuga huu uchoko baadhi ya machoko humu yanayotetea uchoko yasingekuwepo.

Acheni uchoko ninyi wafuasi wa haki feki za kishoga.
 
Mwanao wa kiume akianza kufanya mambo ya kike usianze kutuonea haya majirani zako maana huku JF una-support
Unaacha kujadili hoja, unajadili mtu.

Kama kawaida yenu wabongo abstract thinking ni janga la kitaifa.

Pia umeweka logical fallacy ya appeal to emotion.

Hujajenga hoja kuonesha kuwa ushoga ni kitu kibaya, umeweka habari ya kuvuta hisia za watu kumuhusisha "mwanao wa kiume".

That is a logical fallacy.

Appeal to emotion logical fallacy.
 
Mkuu halafu huo sio uzalilishaji bali ni ukumbusho.
Wewe kwanza hujui tofauti ya udhalilishaji na uzalilishaji.

Herufi za Kiswahili tu ni mzigo kwako.

Masuala ya falsafa za haki za binadamu na uhuru wa mtu binafsi sina hakika kama una uwezo wa kuyaelewa.
 
Hizi tabia za kunyanyasa watu kwenye hadhara zinapaswa kupigwa marufuku. Ni namna ya kukosa ustaarabu.

Mbaya zaidi unakuta wengi waliokiwa wanawapigia kelele na kuwadhihaki wanawafanya wanawake kinyume na maumbile.
Acheni uchoko, kumbe kuwasapoti hao machoko ndio ustaarabu? Mkishajifunza mila za waingereza basi nanyi mnajiona sawa na wao, yaani issues za kufuga machoko mnaita ustaarabu?.
 
Wewe kwanza hujui tofauti ya udhalilishaji na uzalilishaji.

Herufi za Kiswahili tu ni mzigo kwako.

Masuala ya falsafa za haki za binadamu na uhuru wa mtu binafsi sina hakika kama una uwezo wa kuyaelewa.
Mbona mkali sana na wewe una vaa shanga?
 
Back
Top Bottom