Mbona mkali sana na wewe una vaa shanga?
Mimi si mkali sana, wewe ndiye mpole sana mpaka nikiandika kawaida tu unaniona mkali sana.
Ulichofanya hapo kimantiki kinaitwa "false dichotomy logical fallacy".
Yani umefanya kuwa kila mtu anayetetea haki ya binadamu ya mwanamme kuvaa shanga anavyotaka, huyo naye basi lazima atakuwa anavaa shanga.
Hujui kuwa kuna watu ni wanasheria wa haki za binadamu tu, wanapenda kutetea haki za binadamu kuvaa shanga wanavyotaka, bila wao kuwa wavaa shanga.
False dichotomy and logical non sequitur fallacies.
Pia hapa kuna ad honinem logical fallacy. Unaacha kujibu hoja, unamuandama mtoa hoja.
Jibu hoja kwa hoja.
Ukianza kumuandama mtoa hoja bila kujibu hoja umeshindwa hoja. Hiyo ni ad hominem attak. Logical fallacy.
Mimi sivai shanga. Ila hata kama ningevaa nisingeona tabu kusema kuwa navaa.Mtu kuvaa shanga kama kataka mwenyewe ni maamuzi yake tu, ni haki yake ya kibinadamu tu, ni self expression tu.
Si hatari hivyo kama wewe unavyotaka ionekane
Shanga kavaa yeye, kiuno chake, tatizo lako wewe nini?
False dichotomy. Logican non sequitur, ad hominem.
Logical fallacies.