Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Christians don't need anyone else other than the Lord himself to intercede for them. So usifikiri unatufanyia favor kutoka kutetea wachezea venyesi halafu kuja kutetea Wakristo. Hakuna kitu kama hicho.... UONGO huo! HATUDANGANYIKI!
Wakristu gani tena wametajwa ndugu?
 
Maisha sio uniform kuwa tuwaze sawa wote, ukiandamana wewe na wenye fikra kama zako ina tosha.
Sasa km unajua maisha sio uniform, hatuwezi kuwa na fikra sawa, kwanini na nyie mnaingilia fikra za wengine (Mashoga)

Unajua hata unacho kiandika lakinii? Kweli Ujinga ni janga kuu pia. Lol
😂😂😂😂😂
 
Maisha sio uniform kuwa tuwaze sawa wote, ukiandamana wewe na wenye fikra kama zako ina tosha.
Kumbe unatambua kwamba fikra zinatofautiana? Kwanini mnawaandama mashoga na fikra zao?
 
Of course…..hahaha!

Ushoga upo mwingi sana Tanzania.

Upo mwingi kiasi kwamba kuna watu wanaona ni sahihi kwa mwanaume kumwadhibu mwanaume mwingine kwa kumuingilia kimwili.

Huo ni ushoga.

Pia, kibongobongo, mwanaume anayemuingilia mwanaume mwenzake, yeye hahesabiki kama ni shoga [ingawa kiukweli naye ni shoga].

Hivyo, mashoga bongo wako wengi sana. Hawajitambui tu.

Hata ile hali tu ya kuwa obsessed na mashoga nayo ni ushoga.
📍📍📍
 
Nimeongelea habari ya mikataba ya kimataifa nchi yetu iliyotia saini.

Legally binding international treaties.

Habari za Universal Declaration of Human Rights.

Lakini nafikiri haya ni mazungumzo yaliyopita uwezo wako kujadili, ndiyo maana hujaweza kuyaelewa wala kuyataja kuwa haya yamepita mambo ya tofauti za watu mbalimbali tu.

Hili ni suala la Universal Human Rights.

Unaelewa hilo jambo?
Au sio,
Kumbe unatambua kwamba fikra zinatofautiana? Kwanini mnawaandama mashoga na fikra zao?
Hebu fikiria wanaume wote tuwe mashoga ni nini kitatokea? Maslahi ya ushoga ni nini?
 
Wakati unachukua hiyo video ulikua kwenye daladala simu umeibana ipasavyo kwa kuhofia wahuni wasiruke nayo😀
Fix maisha yako kwanza kabla hujafikiria ya watu wengine wasiokuhusu.
😂😂😂😂😂😂
 
Sasa km unajua maisha sio uniform, hatuwezi kuwa na fikra sawa, kwanini na nyie mnaingilia fikra za wengine (Mashoga)

Unajua hata unacho kiandika lakinii? Kweli Ujinga ni janga kuu pia. Lol
😂😂😂😂😂
Fikiria baba zetu wangekuwa mashoga tungekuwepo? Faida ya ushoga ni nini?
 
Au sio,

Hebu fikiria wanaume wote tuwe mashoga ni nini kitatokea? Maslahi ya ushoga ni nini?
Haiwezekani wanaume wote wakawa mashoga maana ushoga hauambukizi.
Wewe hapo unaweza kuwa shoga sasa hivi?
Unachoweza kufanya ni kulinda kizazi chako kama unaweza, ushoga ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo tena bahati mbaya kwa wazi wazi zaidi. Na haki zao zinatambulika na serikali ndio maana unaona wamekaa kimya.
 
Hii inathibitisha kwamba binadamu hana chochote cha maana na isitoshe binadamu ni mchafu kuliko hata hao tunaowaita wanyama maana ng'ombe na mbuzi hawafanyi hivyo vitendo.
Ndivyo tulivyoumbwa na aliyetuumba.
 
Nitakueleza kwanini labda jamaa hajakufafanulia vizuri na kama wewe pia maybe upo kwenye kutetea masuala hayo kwa kubatiza jina la human rights…. Ipo hivi ni wazi kwamba jamii yetu haiungi mkono vitendo vya aina hiyo hivyo basi waru wakuwa wakijua kwamba matendo hayo sio mazuri na ni ya aibu kwa jamii na hakuna mtu ambae atapenda kesho asikie mtoto wake ameangukia humo…. Sasa issue inaweza isiwe kwamba wewe umeshaangukia humo tu bali jinsi unavyoweza kujilimit au kujizuia na kuheshimu hisia za wengine katika jamii hizo yaani kwa kuficha tabia hiyo ambayo ni dhahiri kuna wengine wakijua unajihusisha nayo inawaturn off sasa unakuta mtu unajiachia kuanzia uvaaji,utembeaji hadi uongeaji alafu unakatiza kwa wahuni ukiwa unajiamini kabisa na kujibinua juu watu wanakuambia “oyaa vipi mbona mbona we mwana lakini kama vile?” Unajibu jeuri alafu unategemea nini?

Kama mtu ni gay jifunza kuelewa kwamba jamii yetu hairuhusu na sio rafiki kwako ishi kwa nidhamu usijiache as if upo proud unatukata.

Wasomi vp kwani jambo ni kupick side yako tu na kusema kuwa wewe unasupport au laah na sio kuanza kujifanya unawa-outsmart watu wanaostick kwenye maadili na utamaduni wao.
Tatizo la wee pia ni huna uelewa au ufahamu,
Unazungumzia maadili na utamaduni? Hebu tufafanulie hapa huo utamaduni na maadili yapi hayo?

Sasa ishu ya mtoto/watoto wako/wenu kutotaka kutumbukia ktk uwanda wa ushoga, unahusu nn na ambao wako tayari ktk uwanda huo? Wanakuja majumbani kwenu kuwafunda watoto? Au nn?

Mtu asiwe huru uraiani eti kisa watoto wa watu wataona, kwanini nyie Wazazi msiwazuie wasione? Majukumu ya malezi ya watoto wenu mnataka kumpa nani?
Khaaah.
 
Haiwezekani wanaume wote wakawa mashoga maana ushoga hauambukizi.
Wewe hapo unaweza kuwa shoga sasa hivi?
Unachoweza kufanya ni kulinda kizazi chako kama unaweza, ushoga ulikuwepo, upo na utaendelea kuwepo tena bahati mbaya kwa wazi wazi zaidi. Na haki zao zinatambulika na serikali ndio maana unaona wamekaa kimya.
Binadamu hupenda kuiga mambo, kama tukiruhusu wawe wengi kuna uwezakano mkubwa watu wengine kuingia huko. Uzuri umetambua kuwa sio kitu kizuri ndio maana una sema ni linde kizazi changu.
Pia tambua kuwa kulinda vizazi vyetu ni lazima hawa watu wasiongezeke mtaani na hii tabia ikemewe.

Ushoga hauna faida yeyote kwa mwanadamu.
 
Ujumbe mtu akiusoma kirahisi hawezi kuelewa. Ila ni ujumbe mzito sana.
Mungu aendelee kuwalinda Vijana wetu wa kiume.

Wamekuwa kwenye vita nzito kuliko tunavyodhani.

Kuna Wanaume wenzetu, wamekuwa wakitumia kila mbinu kuwashawishi ili kuwaingilia kinyume cha maumbile

Kama una watoto wa kiume nyumbani kwako, usiache kuwaombea na kuwakabidhi Kwa Mungu
 
Binadamu hupenda kuiga mambo, kama tukiruhusu wawe wengi kuna uwezakano mkubwa watu wengine kuingia huko. Uzuri umetambua kuwa sio kitu kizuri ndio maana una sema ni linde kizazi changu.
Pia tambua kuwa kulinda vizazi vyetu ni lazima hawa watu wasiongezeke mtaani na hii tabia ikemewe.

Ushoga hauna faida yeyote kwa mwanadamu.
Tangu mmeanza kukemea mmefanikiwa kwa kiasi gani hadi sasa?
 
Hii inathibitisha kwamba binadamu hana chochote cha maana na isitoshe binadamu ni mchafu kuliko hata hao tunaowaita wanyama maana ng'ombe na mbuzi hawafanyi hivyo vitendo.
sisi huku kwa binadamu hatuwatambui. Hawa ni wa huko kwenu unyamani.
 
Back
Top Bottom