Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

But atleast wanajitahidi kupinga matendo ya kinyume na utamaduni maana ukiimagine ukapata vyote lakini maadili 0 sasa ina faida gani?
Huo muda wa kupinga matendo ya kinyume na Utamaduni wangeliutumia kujitafutia kipato au maendeleo yao na familia zao.
Je, Kelele zao zina impact yoyote? Hapo ujue ni kelele na Udhalilishaji vimefanyika K/koo tu. Vp huko Ubungo, Kimara M/Nyamala, Mwanzo, Arusha n.k. ? Huko hawapo? Ni sawa na yule mtoto aliyechota maji baharini kwa glasi kubwa halafu akasema amepunguza maji ya bahari.:4Shrug:
 
Tofautisha mwaname kuingia mtaro wa mwanamke na kuingia mtaro wa mwanaume mwenzake, Kuna dhambi halafu Kuna dhambi promax!😎
Ni mtizamo wako tuu lakini Biologically mitaro yote ni sawa na haikubaliki kuwa misused.
 
Nimeangalia hiyo video hiyo mibaba mizima kama mijinga kumzonga kijana mdogo namna hiyo maana yake nini?
Yaani ufisadi unavyosemwa hadharani badala yakasirike yaingie barabarani yenyewe yako busy kufunua mashati ya vijana wadogo waliokua wanajipitia zao bila shida yoyote,

Pathetic
Mababa yana misongo ya mawazo hapo full njaa, madeni na stress za uwinga.

Ni jambo baya sana midingi yenye njaa kuanza kushambulia watoto wadogo na kuwavua nguo kwa tuhuma uchwara za ushoga.
 
Ushoga na Ufisadi kipi kinaathiri jamii ya watanzania?
Hayo mahasira yenu juu ya ushoga tuyaone mkiyatoa tarehe 29/10 kwenye maandamano bila hivyo na nyie ni wale wale tu
Hayo mababa yanayodhalilisha vijana wadogo ukiyaambia yaandamane kupinga ufisadi utayakuta yamejificha uvunguni yanachungulia kwenye vitobo.

Mikundu inafichwa chini kabisa uvunguni yanaongea kwa kunong"onezana.
 
Hawa inaonekana kimoyomoyo mnawapenda sanaa tu, msingewapenda hivyo msingewafuatilia hivyo.
Hapa mjini Daslam watu wanafuatilia kila kitu, yaani inawezekana kitu kisiwe na mantiki yoyote ila utashangaa kuona dakika kadhaa watu wamejaa sana na kuanza kuongea ili mradi tu mda uende.
 
Yani shangaa kavaa yeye, makasiriko unapata wewe?

Una mapungufu gani ya kisaikolojia katika maisha yako unayotaka kuyajazia kwa kuwaandama hawa wanaume walioamua kuvaa shanga?
Hivi kuvaa shanga ni kosa kisheria? 😂😂😂 LOL

cocastic njoo utupe vifungu vya sheria nisije kwenda jela mie 😂😂😂
 
Hapa mjini Daslam watu wanafuatilia kila kitu, yaani inawezekana kitu kisiwe na mantiki yoyote ila utashangaa kuona dakika kadhaa watu wamejaa sana na kuanza kuongea ili mradi tu mda uende.
Wengi wamejikita zaidi kupiga soga za simba na yanga. Hawana kazi maalumu.

Wakiona tukio wanarundikana wote kama nzi kushangaa na kushambulia.

Hii nchi bora ilipuliwe tufe wote tu tuanze upya.

Ujinga na umaskini vimetamalaki sana.
 
Hizi tabia za kunyanyasa watu kwenye hadhara zinapaswa kupigwa marufuku. Ni namna ya kukosa ustaarabu.

Mbaya zaidi unakuta wengi waliokiwa wanawapigia kelele na kuwadhihaki wanawafanya wanawake kinyume na maumbile.
Na hao wahusika wanaofanyiwa hizo njegeka ni wale wasio jitambua, Elimu hawana wala ufahamu.

Mtu uko zako timamu kichwani na Elimu unayo afu ubagazwe hivyo? Hao wahusika muda huu wangekuwa lock up wanasubiri kusomewa mashitaka, pumbavu zao.
 
Ni wapi imekatazwa mwanaume asivae shanga? Mbona baadhi yenu mnajifunga kanga?
Hapo ni dhahiri kwamba yupo mmoja kati yenu alikuwa anamjua huyo kijana na pengine amewahi kumla na kwa sababu ya ubishi uliozuka miongoni mwenu akataka kuwathibitishia. Na amewathibitishia pasi na shaka. Sasa nendeni na nyie mkajaribu bahati yenu.
😂😂😂😂😂🍇

Asije akatokea mtu akanikataza kuvaa shanga tutagombana. 😂

Hivi kwa hili BUNO kweli nisivae shanga? Ah THUBUTU.

Kwa kosa gani mtu apigwe kisa kuvaa shanga? hivi hii nchi ina sheria kweli? mapolisi wako wapi?

Yaani tusivae shanga kisa nini? kwa sheria gani?

cocastic njoo nisaidie kujitetea mwanasheria wangu
 
Back
Top Bottom