Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno

Kuhusu kujifunza kutoka nje, umenikumbusha habari ya mazungumzo yangu na Godbless Lema.

Nilikuwa naongea na Godbless Lema siku moja. Lema ni mwanasiasa ambaye anajitanabahisha na siasa za kuongozwa na maadili, hususan yanayoendana na kanuni za kuamini Mungu/Dini/Ukristo.

Lema amejitanabahisha hivyo kwa kauli zake nyingi sana. Na kwa muktadha huo, na hayo mambo mnayoyaita utamaduni wa Kitanzania etc, amekuwa mtu aliyepinga mambo ya ushoga.

Katika utawala wa Magufuli viongozi wa upinzani walisakamwa sana mpaka wengine wakaenda kuishi uhamishoni. Lema alienda Canada.

Sasa siku hiyo tulikuwa na mazungumzo kuhusu mambo ya gay rights.

Lema, true to his character of being open to learning new things, akaniambia kuwa kitu kimoja amejifunza kwa kukaa Canada ni kwamba watu wa Canada na serikali yao wanaheshimu sana uhuru wa mtu binafsi. Wanaheshimu sana uhuru wa mtu kuwa tofauti.

Na aliweza kuweka uhusiano wa moja kwa moja kati ya heshima hiyo ya jamii na serikali kwa watu walio tofauti na jinsi jamii, na by extension serikali, inavyoweza kuheshimu vyama vya upinzani.

Tunawezaje kushangaa Polisi wakiwapiga wapinzani ikiwa jamii yetu haijaelewa kuishi na watu tofauti na hawa walioamua kuvaa shanga tunawadhalilisha hivi?

It's the same thing. Dominant group inawabagua na kuwabagaza minority group.

The same thing.

Ila kuelewa hilo inahitaji kufikiria mambo kwa kina, kusoma, kusafiri, kuielewa dunia.

Godbless Lema mwenyewe na ujanjaujanja wake wote ilibidi asafiri aende Canada kukaa na watu wa huko ili kuelewa hili jambo.

Sitegemei wabongo wa Kariakoo waelewe.

Mambo hayo more than 90% ya Watanzania bado wako nyuma sana.
Swadaktaaa!!
 
😂😂😂😂😂

Aliyekuambia marinda yanazalisha nani? Uko sawa kichwani wee? Au ndo unakurupuka? Marinda yanahusiana nn na uzazi wa mwanaume? Au marinda yanahusiana nn na Utasa?

Najua uelewa wala ufahamu huna, nakusanua sasa, msenge anaweza kuzalisha, kuoa, kuwa baba wa familia, ikiwa tyuuh sio Khanithi wala tasa.

Upoooo?! Poleeee wee 😂😂😂😂😂😂
Wewe una weza kulala na mwanaume shoga?
 
Huwataki lakini huna la kuwafanya zaidi ya kupiga kelele bure. Na ukiwa na mamlaka utakuwa busy kutafuna pesa hata hutakumbuka kama kuna viumbe mashoga wana exist
Hahahahaha ila wewe.
 
Ninaweza ikiwa nina matakwa juu ya hilo, why not?
Maamuzi si ni yangu binafsi, kipi nifanye kipi nisifanye. Lol
Hahahahaha kwahiyo siku akiwa anaenda kusokomezewa ina kuwaje?
 
Umejaa, Haya ngoja nikupokee kiongozi… Unahisi mimi nimekosea nini hapo kuandika hisia zangu baada ya kuona nilichoshuhudia?

Nilitegemea uandike kwamba una-support tabia za kichoko au lah ila naona unasupport ila unazunguka mbuyu, ID yangu inasadifu kitu gani kinachohusisha hayo mambo!?

Kama huna uhakika na unachoongea basi nakuambia hivi wanavyoitikia Mama Amina ndo wewe.
Anabokolewa huyo...
 
Wee ndio unaandika hisia na sio logic, yaan ungekua na logic usingekua unaandika hizo hekaya zako.

Kwani wee unanufaika nn kwa kupinga ushoga? Naomba unijuze maadili na utamaduni wetu huo. Em nisanue bwasheee.
Sikusanui me kazi yangu ni kuwatoa nishai tu.
 
Umejaa, Haya ngoja nikupokee kiongozi… Unahisi mimi nimekosea nini hapo kuandika hisia zangu baada ya kuona nilichoshuhudia?
Umeandika hisia zako lakini ni kwa kutaka kuzi-Share in public kana kwamba ingefaa wote waone na kuhisi kama wewe
ukasahau kwamba watu wanatofautiana sana.
Nilitegemea uandike kwamba una-support tabia za kichoko au lah ila naona unasupport ila unazunguka mbuyu, ID yangu inasadifu kitu gani kinachohusisha hayo mambo!?
6 kwa 6 na Miguno. Umeelewa nn hapo?
Kama huna uhakika na unachoongea basi nakuambia hivi wanavyoitikia Mama Amina ndo wewe.
:AYOOO:
 
Umeandika hisia zako lakini ni kwa kutaka kuzi-Share in public kana kwamba ingefaa wote waone na kuhisi kama wewe
ukasahau kwamba watu wanatofautiana sana.

6 kwa 6 na Miguno. Umeelewa nn hapo?

:AYOOO:
Nimeshare hisia zangu kwenye post ila kwenye maoni natumia logic kujibu… Ndo tunapopishana na wanao-support upinde.
 
😂😂😂😂😂

Aliyekuambia marinda yanazalisha nani? Uko sawa kichwani wee? Au ndo unakurupuka? Marinda yanahusiana nn na uzazi wa mwanaume? Au marinda yanahusiana nn na Utasa?

Najua uelewa wala ufahamu huna, nakusanua sasa, msenge anaweza kuzalisha, kuoa, kuwa baba wa familia, ikiwa tyuuh sio Khanithi wala tasa.

Upoooo?! Poleeee wee 😂😂😂😂😂😂
Hahahahaa 😂😂😂

Kwanza marinda ya kazi gani kwenye kula kibwenye?

Napenda nikimaliza kula kibwenye nakojoa halafu najambaaa.
 
Sio nyie mnaolia kila siku vitimbwi vya mademu hamviwezi? Mara kuombwa pesa na vitu hamtakii.
Kuwashughulikia kwenyewe mnaweza? Ndo wangekua wanasagana? Lol
😂😂😂😂😂
Tatizo sio mademu tatizo ni hao wanaotuachia mzigo wa mademu wengi watumiaji tukiwa wachache
 
Kuna mambo mengine tunafanya katika dunia tunaona ni sawa ila kiroho tunakosea sana.Hao vijana wamepita na njia zao kuwadhalilisha sio jambo jema kumbuka na wao ni watoto wa watu wengine kama ulivyowewe kwenu.Kingine kumuadhibu mwizi sawa ila kumuua unachukua kiberiti na mafuta ya taa unamchoma why?Ukiangalia anayefanya hivyo nate ana dhambi zake ambazo hazionekani ila Mwenyezi Mungu kamstahi.Tuwe the utu jamani
 
Wengine unakuta akiongelea kuhusu mahogany utasikia hao watu wafe,wachomwe moto hivi na vile.Ila yeye sasa yupo anatembea na wake za watu,yupo amazing,yupo anawatendea wanawake kinyume na maumbile,yupo village vya wachawi usiku kucha kutoa makafara,na mtiiririko wa dhambi nyingi ambazo anazijua rohoni mwake.Kutokusaport ushoga haiingiliani na kukosa utu.Wengine mna ndugu zenu wanajiuza,wanatoa mimba na maasi mengine ya dunia hamlaani kama mnavyolaani hivi.Tusijione wasafi sana kupita wengine kiasi kwamba tukaona hawafai na sisi ndio twafaa sana kuliko wao
 
Naunga mkono hoja. Inafaa watilie maanani maoni yako mujarabu sana.
 
Back
Top Bottom