Nilichoshuhudia Kariakoo leo kimenifurahisha mno


Kuhusu kujifunza kutoka nje, umenikumbusha habari ya mazungumzo yangu na Godbless Lema.

Nilikuwa naongea na Godbless Lema siku moja. Lema ni mwanasiasa ambaye anajitanabahisha na siasa za kuongozwa na maadili, hususan yanayoendana na kanuni za kuamini Mungu/Dini/Ukristo.

Lema amejitanabahisha hivyo kwa kauli zake nyingi sana. Na kwa muktadha huo, na hayo mambo mnayoyaita utamaduni wa Kitanzania etc, amekuwa mtu aliyepinga mambo ya ushoga.

Katika utawala wa Magufuli viongozi wa upinzani walisakamwa sana mpaka wengine wakaenda kuishi uhamishoni. Lema alienda Canada.

Sasa siku hiyo tulikuwa na mazungumzo kuhusu mambo ya gay rights.

Lema, true to his character of being open to learning new things, akaniambia kuwa kitu kimoja amejifunza kwa kukaa Canada ni kwamba watu wa Canada na serikali yao wanaheshimu sana uhuru wa mtu binafsi. Wanaheshimu sana uhuru wa mtu kuwa tofauti.

Na aliweza kuweka uhusiano wa moja kwa moja kati ya heshima hiyo ya jamii na serikali kwa watu walio tofauti na jinsi jamii, na by extension serikali, inavyoweza kuheshimu vyama vya upinzani.

Tunawezaje kushangaa Polisi wakiwapiga wapinzani ikiwa jamii yetu haijaelewa kuishi na watu tofauti na hawa walioamua kuvaa shanga tunawadhalilisha hivi?

It's the same thing. Dominant group inawabagua na kuwabagaza minority group.

The same thing.

Ila kuelewa hilo inahitaji kufikiria mambo kwa kina, kusoma, kusafiri, kuielewa dunia.

Godbless Lema mwenyewe na ujanjaujanja wake wote ilibidi asafiri aende Canada kukaa na watu wa huko ili kuelewa hili jambo.

Sitegemei wabongo wa Kariakoo waelewe.

Mambo hayo more than 90% ya Watanzania bado wako nyuma sana.
 
Suala la whether suti nyeusi ni lazima au kitu cha nyongeza si muhimu.

Suala la muhimu ni kwamba kila mtu ana haki ya kuvaa suti nyeusi, hivyo akiamua kuvaa suti nyeusi hatutakiwi kuanza kumbagaza kwa sababu kaamua kuvaa suti nyeusi.

Ni haki yake.

Kitu kikishakuwa haki suala la whether ni necessary or not linaondoka.

Kupiga kura si necessary. Watu wanaweza kuishi bila kupiga kura. Lakini ni haki ya kikatiba.

Na ikishakuwa haki ya kikatiba, suala la whether it is necessary or not linakuwa halipo.

Mtu anapiga kura (au kuamua kutokupiga kura) kwa sababu ni haki yake ya kikatiba tu, bila kujali kwamba ni necessary or not.
 
Ni asilimia ndogo sana ya mashoga iliyopa. Na watu wanaongezeka kila siku
Hatuwataki na siku mimi ni kiwa mwenye mamlaka na wapeleka bahari ya hindi kina kirefu.
 
Ustaarabu ni kukuacha ufanye vitendo vya kishoga na ishara hadharani!? Duh! Kweli watu mmeshakuwa affected kiakili
 
Hatuwataki na siku mimi ni kiwa mwenye mamlaka na wapeleka bahari ya hindi kina kirefu.
Kwa mipango hii huwezi kuwa kwenye mamlaka utabaki kuota kuwa kwenye mamlaka tu.

Magufuli na umwamba wake wote wa kuvunja katiba kwenye suala la ushoga alimuachia aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje Hayati Balozi Dr. Augustine Mahiga amruke swahiba wake Paul Makonda.

Unafikiri Magufuli aliwapenda sana mashoga?

Alijua kuwa mashoga wana haki za kibinadamu zinazotambulika kimataifa.

Alijua ni rahisi kuvunja katiba ya Tanzania kukataza Watanzania wasifanye mikutano ya kisiasa kuliko kuvunja haki za mashoga na dunia nzima im brand homophobic.
 
Ustaarabu ni kukuacha ufanye vitendo vya kishoga na ishara hadharani!? Duh! Kweli watu mmeshakuwa affected kiakili
Kwani hao vijana 2 mliowavua nguo walikuwa wanafanya vitendo vya ushoga na ishara hadharani? Mbona vid.clip inawaonesha ninyi mliokuwa mnapiga makelele, mnawavua nguo na kuwazomea??
Watu hawajawa affected kiakili bali wanawashangaa ninyi mlichokifanya kana kwamba hamna akili.
 
Kwa mantiki hiyo, mtu yuko huru kuamua kutumia au kutotumia kilicho chake kadri apendavyo sio?
 
Washindwe wao sasa kuomba ubalozi wa usa/uk kupata hifadhi bure.
 
Naam.

Msenge akiamua kuwa msenge katika maisha yake, mtu asiye msenge anapungukiwa nini?
Hakuna cha kupungukiwa kwa hilo.
Yani mwanamme msenge kaamua kuvaa shanga, mimi nisiye msenge napungukiwa nini?
Hupungukiwi na kitu.
Kwanza kama mimi mwanamme sipendi *******, kwa nini niwafuatilie mambo yao? Kwa nini nisifuatilie wanawake ninaowapenda?
Inashangaza sana.
Mwanamme msenge akivaa shanga napungukiwa nini?
Hupungukiwi na chochote.
Napungukiwa shanga alizovaa? Akinunua yeye shanga zitapungua sokoni mimi nikose za juvaa?
Ukizihitaji bado zipo nyingi na za kumwaga huko sokoni. Ni ww tu.
Hao watu wanaokataza ******* kuvaa shanga wanazitaka wao hizo shanga?
Nashangaa. Wakizihitaji basi waende nao wakanunue zipo bado huko sokoni zimejaa tele.

Wahenga walisemaga: "An idle mind is Satan's Workshop" Mtu kwa hiari anaanzisha timbwili lisilo na manufaa yoyote kwake na pengine huenda likamgharimu.
 
Hahaha mm ntakuwa zaidi ya Magufuli nakuambia.
 
Hatuwataki na siku mimi ni kiwa mwenye mamlaka na wapeleka bahari ya hindi kina kirefu.
Huwataki lakini huna la kuwafanya zaidi ya kupiga kelele bure. Na ukiwa na mamlaka utakuwa busy kutafuna pesa hata hutakumbuka kama kuna viumbe mashoga wana exist
 
Hahaha yaani wasiwe na Marinda halafu watuzae? Ina wezakanaje? Jamani kuna mambo tuache ya pite tu wala sio ufahali kutetea huo ujinga.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Aliyekuambia marinda yanazalisha nani? Uko sawa kichwani wee? Au ndo unakurupuka? Marinda yanahusiana nn na uzazi wa mwanaume? Au marinda yanahusiana nn na Utasa?

Najua uelewa wala ufahamu huna, nakusanua sasa, msenge anaweza kuzalisha, kuoa, kuwa baba wa familia, ikiwa tyuuh sio Khanithi wala tasa.

Upoooo?! Poleeee wee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nasoma unayoandika naona unaandika hisia tupu wala sio logic anyways siwezi jua labda kuna jinsi unanufaika na ushoga maana ipo wazi unaelewa utamaduni na maadili yetu ni yapi
Wee ndio unaandika hisia na sio logic, yaan ungekua na logic usingekua unaandika hizo hekaya zako.

Kwani wee unanufaika nn kwa kupinga ushoga? Naomba unijuze maadili na utamaduni wetu huo. Em nisanue bwasheee.
 
Muambie huyooo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…