Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mlipue humuhumu jf..
hahaaaaa...maish bila unafiki hayaendi kakaaa....
kupritendi masti ili kukidhi viwango!!!
Mfunde huyoNdiyo kukua, kabla hujaingia kaburini utaona mengi na unatakiwa uwe na kifua cha kuyahifadhi.
Kwahiyo unataka kuwatenganisha? Si umuache afumaniwe na mumewe siku ikifikaLeo nilipigwa na bumbuwazi baada ya kuona mke wa rafiki yangu ambaye ni mke wa ndoa na watoto wanao na ni mlokole sana nilimwamini sna nikawa mpka nimewapa gredit sana wanawake wa namna hii ila leo nimemshuhudia kwa macho mahili akichepuka na kuliwa na tatizo huyu jamaa ambaye amechepuka naye anafanyaga na ule mchezo
Kwa kweli mpaka sasa siamini nilichoona kabisa kabisa kwa kuwa huyu dada huwezi amini anvyoongea ni kiongozi wa sifa kwa kanisa lao na yeye na jamaa yake mumewe yaani nakosa maneno ya kusema
Na bahati mbaya jamaa anajitapa sasa kamlamba na demu hana jipya
Huyu dada yupo hapa jamii forum na mumewe na mimi na id zao ninazo sasa nafikiria kumweka wazi jamaa ili ajue mchezo aliofanyiwa mkewe
Mbaya ya yote jamaa kampiga picha na jamaa kanitumia tatu zipo ninazo
Kwa kweli mwanamke wa kumwamini ni mama yako tu
Jamani achen wanaume wawe MAKATILI
Mi nadhani wakatoliki ndo rahisi, mabinti wa dini yetu ya haki hawarubuniki kama wagalatia.Hakuna wanawake duniani laini kurubunika kama walokole
Si amesema na picha anazo.Wewe umejuaje kama huwa anafanya kale kamchezo?
Huu ni ushauri mzuri Sana na wa busara... Bila shaka Ww ni mama yangu. Shikamoo [emoji120]Ndiyo kukua, kabla hujaingia kaburini utaona mengi na unatakiwa uwe na kifua cha kuyahifadhi.
Marahaba.Huu ni ushauri mzuri Sana na wa busara... Bila shaka Ww ni mama yangu. Shikamoo [emoji120]
Mi napendekeza amwambie mumewe ili huyo mwanamke aache unafiki,MAOVU hayakubaliki.Hata mama yako alipokua umri huo alichepuka. Napataga shida sana mtu anayefuatia maisha ya watu wengine badala ya kujenga kila mara anawaza kubomoa.
Kwa kitu kama hiki mfuate binti kumweleza ukweli na muonye akirudia utasema vivyo hivyo kwa mwanaume anayetembea naye. Lakini kuwachonganisha wanandoa hao naona si jambo la kujenga zaidi ya kubomoa.
Golden rule "usimfanyie mwenzio kile usingependa kufanyiwa"
Pia karume alisema "penda na kuthamini cha kwako mpaka usahau cha mwenzio"
Yaani akimwambia jamaa atafanya kosa atakalo jutia hadi kufa, Mwanamke ni kiumbe dhaifu kuliko mbwa mbele ya chatuMtishie na hizo picha akupe nawe mzigo. Ukienda kumwambia jamaa ntakorofishana tu
Hahaaaaa wewe jamaa una roho ngumu kuliko huyo mama aliechepuka. Unataka jamaa alipwe chake kwa ajili ya macho kuona. Yaani wewe jamaa unaweza mkuta mwizi anaiba kwa jirani unamwambia niachie mgawo wangu la sivyo nakutia yowe la mwizi.Mtishie na hizo picha akupe nawe mzigo. Ukienda kumwambia jamaa ntakorofishana tu
yeah gud gud.. unajua watu wanashindwa kuelewa misingi ya sheria mama za kimazingira sasa hapa ndio huwa kuna mshikemshike pale binadamu anapokuja kuweka sheria zake ambazo zinakinzana na sheria za kimazingira,asili na chimbuko letu ni unyama i mean tunatabia kama za wanyama ambazo tabia hizi zimeathiriwa direct with us na zinamisukumo ya aina yake tofauti tofauti.Achana nao fuatilia maisha yako tu mwache mume wake amgundue mwenyw
Kwan walokole si binadam wa kawaida na wanatenda dhambi kama kawa unachoshangaa ni nn apo
Hamna wa kuaminika iwe mwanaume au mwanaume
zaidi ya unafki hivi inamuhusu nnmlipue humuhumu jf..
hahaaaaa...maish bila unafiki hayaendi kakaaa....
kupritendi masti ili kukidhi viwango!!!