Nilichoshuhudia leo kwa binti mke wa mtu tena mke mwenyewe ni mlokole wa kufa mtu

we lete mbwembwe tu,siku ukakuta mkeo nae analiwa ndogo na huyo mume wa mwanamke wa kanisa utaomba kushuka kwenye sayari hii sijui uelekee wapi
 
Hakuna wanawake duniani laini kurubunika kama walokole
utakuta wachungaji wanawadanganya wakiwa na yesu hawawezi kuzeheka.matokeo yake utakuta m bibi anajichubua na nywere anaweka madawa ya kuzibadirisha anabaki kama zombi,akizania amekua msichana.[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Ulokole hauna uhusiano wowote na mambo ya kibailojia ya mwili wa mtu.....kama mumewe hamfikishi mkewe au anafanya nae tendo la ndoa kwa dkk 2 tu hapo mke ana koss gani hata akichepuka.....tusiwe tunapumbazwa na ulokole wa mtu naye ni binadamu ana hisia na anahitaji pia
 
Still tupoooooooooooooooooooooo i insist huo ni udhaifu wa mtu na kutokua na hofu ya Mungu na mtu hujaribiwa kwa tamaa yake mwenyewe.Na si wote wanaojiita walokole wamesimama na Mungu wengine hutumia kama kimvuli tu cha kujifichia bt wa ukweli bado tupoooooooooooooooooooooo.Imeandikwa USIZINI PERIOD.Na ndo maana Yesu alisema anipendae atazishika amri zangu.Na mtu akitaka kumfuata ajitwike msalaba wake amfuate.
Mwanaume ni sawa na chai...mwanamke ni sawa na mkate.....Hamna jeuri nyie mikate tu
 
Still tupoooooooooooooooooooooo i insist huo ni udhaifu wa mtu na kutokua na hofu ya Mungu na mtu hujaribiwa kwa tamaa yake mwenyewe.Na si wote wanaojiita walokole wamesimama na Mungu wengine hutumia kama kimvuli tu cha kujifichia bt wa ukweli bado tupoooooooooooooooooooooo.Imeandikwa USIZINI PERIOD.Na ndo maana Yesu alisema anipendae atazishika amri zangu.Na mtu akitaka kumfuata ajitwike msalaba wake amfuate.
Hakika
 
kuna jinsi ya kufikisha ujumbe mkuu... cha kwanza hakikisha huyo mwanamke hajui kama unajua chochote kwake.. pili em mwambie mshikaji wako awe makini na mke wake kwan mtaa wenu wengi wameungua... mwenyewe atajiongeza.. ila picha usizitoe we tulia uone mwisho wa picha!
 
Tabia ya mmoja, si tabia ya kila mtu. Kuanguka kwa mmoja, si kuanguka kwa kila mtu. Kila mtu ataubeba mzigo wake. Anatakiwa yeye binafsi, atubu na kuziacha njia zake mbaya, na awe mke mwema kwa mume wake.

Bado kuna wanawake wenye hofu ya Mungu na wamesimama, wala hawayumbishwi kwa tamaa za mwili. Bado kuna wanawake wengi ambao wanaendelea kuwa waaminifu kwenye ndoa zao, na wanampenda Mungu. Kwa hivyo, alichokifanya huyo dada, kisitumiwe kama sababu ya kuona wote hawafai.

Siku zote kuna tofauti. Kuna mbingu na ardhi. Kuna dari na sakafu. Kuna nuru na giza. Halafu kuna wema na wabaya. Mtu mmoja akifanya jambo baya, ujue wapo wanaofanya mema. Mmoja akitoka nje ya ndoa, ujue kuna wengine wanatulia na ndoa zao.

Kimsingi: Kwenye mambo haya, tabia ya mtu inahusika zaidi, na wala si jinsia, au imani.
 
Leo nilipigwa na bumbuwazi baada ya kuona mke wa rafiki yangu ambaye ni mke wa ndoa na watoto wanao na ni mlokole sana nilimwamini sna nikawa mpka nimewapa gredit sana wanawake wa namna hii ila leo nimemshuhudia kwa macho mahili akichepuka na kuliwa na tatizo huyu jamaa ambaye amechepuka naye anafanyaga na ule mchezo

Kwa kweli mpaka sasa siamini nilichoona kabisa kabisa kwa kuwa huyu dada huwezi amini anvyoongea ni kiongozi wa sifa kwa kanisa lao na yeye na jamaa yake mumewe yaani nakosa maneno ya kusema

Na bahati mbaya jamaa anajitapa sasa kamlamba na demu hana jipya
Huyu dada yupo hapa jamii forum na mumewe na mimi na id zao ninazo sasa nafikiria kumweka wazi jamaa ili ajue mchezo aliofanyiwa mkewe

Mbaya ya yote jamaa kampiga picha na jamaa kanitumia tatu zipo ninazo

Kwa kweli mwanamke wa kumwamini ni mama yako tu

Jamani achen wanaume wawe MAKATILI
Umemuona kwa macho Yako mawl kweli?? How??
 
Sisi huku kwetu faza(kasisi) anakula hadi sande skul....Mungu aturehemu kwa kweli.
 
Umwambie halafu iweje?
Mume akiamua kumsamehe na kuendelea na mkewe sura lako utaweka wapi?
 
Leo nilipigwa na bumbuwazi baada ya kuona mke wa rafiki yangu ambaye ni mke wa ndoa na watoto wanao na ni mlokole sana nilimwamini sna nikawa mpka nimewapa gredit sana wanawake wa namna hii ila leo nimemshuhudia kwa macho mahili akichepuka na kuliwa na tatizo huyu jamaa ambaye amechepuka naye anafanyaga na ule mchezo

Kwa kweli mpaka sasa siamini nilichoona kabisa kabisa kwa kuwa huyu dada huwezi amini anvyoongea ni kiongozi wa sifa kwa kanisa lao na yeye na jamaa yake mumewe yaani nakosa maneno ya kusema

Na bahati mbaya jamaa anajitapa sasa kamlamba na demu hana jipya
Huyu dada yupo hapa jamii forum na mumewe na mimi na id zao ninazo sasa nafikiria kumweka wazi jamaa ili ajue mchezo aliofanyiwa mkewe

Mbaya ya yote jamaa kampiga picha na jamaa kanitumia tatu zipo ninazo

Kwa kweli mwanamke wa kumwamini ni mama yako tu

Jamani achen wanaume wawe MAKATILI
Duh!!! Labda huyo Dada kaamia dhehebu jipya la Michepuko!!!!
 
Hakuna wanawake duniani laini kurubunika kama walokole
Uko right man... nilishakuwa na mwanamke mlokole, tena mwimba kwaya..
Aisee nikikuelezea matendo yake.. utaacha mdomo wazi , si yule unayemuona mbele ya kanisa akisifu.
Hawa viumbe si wakuaminika
 
Daaaah pole sana

Mume wake hajamtia mdudu wa sikio ndo mana

Ukitaka mwanamke asichepuke mtie mdudu wa sikio uwone
 
Leo nilipigwa na bumbuwazi baada ya kuona mke wa rafiki yangu ambaye ni mke wa ndoa na watoto wanao na ni mlokole sana nilimwamini sna nikawa mpka nimewapa gredit sana wanawake wa namna hii ila leo nimemshuhudia kwa macho mahili akichepuka na kuliwa na tatizo huyu jamaa ambaye amechepuka naye anafanyaga na ule mchezo

Kwa kweli mpaka sasa siamini nilichoona kabisa kabisa kwa kuwa huyu dada huwezi amini anvyoongea ni kiongozi wa sifa kwa kanisa lao na yeye na jamaa yake mumewe yaani nakosa maneno ya kusema

Na bahati mbaya jamaa anajitapa sasa kamlamba na demu hana jipya
Huyu dada yupo hapa jamii forum na mumewe na mimi na id zao ninazo sasa nafikiria kumweka wazi jamaa ili ajue mchezo aliofanyiwa mkewe

Mbaya ya yote jamaa kampiga picha na jamaa kanitumia tatu zipo ninazo

Kwa kweli mwanamke wa kumwamini ni mama yako tu

Jamani achen wanaume wawe MAKATILI
Ulimuona wapi kama siyo wewe mwe
 
Back
Top Bottom