Tetesi: Nilichosikia kinaendelea CHADEMA kati ya Lissu na viongozi waandamizi wa Chama



Ikibaki hapa hii Mada kachinje kuku mwekundu!
 
Ninachomuelewa Lissu anaongelea sheria na mikataba tuliyoingia,na jinsi mambo yanavyoenda sasa tusije tukadaiwa sisi,ikiwa ni mtaalam wa sheria Tanzania ana haki ya kuongea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tamko halina approval ya mwenyekiti wa chadema wala kikao chochote cha chama cha chadema. Very sad. Good governance inside the party is Zero
Ni haki yake kikatiba iwe ya chadema au bomu tulilonalo!
 
Zungumzia kukamatwa kwa ndeg yetu aachana na chadema.


[HASHTAG]#punda hakusoma lakini hakosi kazi[/HASHTAG]
 
Stop masturbation you guys,try to develop the sense of reasoning.Don't keep advertising foolishness
 
OP
 
mkuu umeandika kwa kuhisi au?

huyo lissu si ana madaraka yake ndio yanayo mzungusha hadi huko Dar sasa unataka amjumuishe nani hapo? ambae anaendana na mambo ya sheria?



NB:ukiwa unatetea sheria ifuate mkondo watu wapewe haki mambo ya siasa weka kando endapo we ni mwanasheria km lissu.
 
Kurugenz ya habari ya Chadema iko wapi, Makene kazi yake sijui nini, katibu mkuu nae sijui anafanya nini,

Babu Duni alisema Chadema kila mtu ana ndevu"
 
Jibuni hoja zake kuhusu kuzuiliwa kwa Bombadier na wadeni wa nchi pamoja na suala la Accacia kwenda mahakamani. Acheni porojo za kipuuzi humu mtandaoni.
 
Sijui kwanini awamu hii kumekuwa na ongezeko kubwa na wajinga!
 
Ada ya Muja Hunena, Mwungwana ni Vitendo. Kwamba kutokana na tabia ya kibinadamu, uungwana wa mtu hutambulika kwa vitendo vyake na siyo kwa mavazi, maumbile au maneno ayasemayo.

Lissu, kama Rais wa TLS ajikite katika kuwaongoza wanasheria wenzake kutetea maslahi ya Taifa, kuliko muda wote kuilaumu na kuikebehi Serikali. Kufanya hivyo, siyo tu ni uzalendo, lakini atajitambulisha kwenye jamii kama mwungwana.

Pia Lissu anapaswa kukumbuka kwamba Akili ni nywele kila mtu ana zake. Kwamba akili za watu ni za aina nyingi na ni tofauti kama vile nywele zilivyotofauti kwa kila binadamu. Akili yake Lissu imebaki ya maneno tu tena ya mipasho kama vijana wa vijiweni na siyo mtu msomi na makini.

Mh. Lissu akumbuke kuwa Ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka.
 


Kwahiyo unataka kutuambia Lissu yupo peke yake viongozi wakuu hawako naye? sasa unatakiwa ufurahi maana chama kimepasuka. Kweli Lissu amewashika pabaya
 
Acha umbea, hayakuhusu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…