Tetesi: Nilichosikia kinaendelea CHADEMA kati ya Lissu na viongozi waandamizi wa Chama

Lissu anawachezesha CCM marikiri hadi raha yani.
c83206ac970d025300ef643e82337c33.jpg
Mchoraji hapo mbona hajauchora mkitambi wake, mchoraji ni shabiki wa tundu la choo.
 
Kwani amesharuhusiwa kutoka nje ya dar es salaam?
 
DUU HII NCHI BANAH
YAAN NDEGE IMEKAMATWA HUKO TENA IMENUNULIWA KWA KODI ZETU HALAFU MTU ANATAKA IWE SIRI
ETI MTU ANAKUJA ANZA MJADILI LISU KWELI?
NDO MAANA KUMBE EEHH
SUBRIN NA MAKINIKIA JIBU SOON TUTALIPATA MBONA
Acha u-hopeless weye. Tumbo alilitengeneza kwa juhudi zake. Sasa unataka kuona tumbo limechorwa au usahihi wa ujumbe? Such a classical moron!
 
Akitengwa na viongozi wenzie wa chadema ni halali kabisa sababu kubwa ni kuwa matamko yake hayana approval ya kikao chochote cha chadema wala ruksa ya mwenyekiti wa chama mbowe. Anadharau hierarchy na protocol za chadema. Hajali Matamko yake yana baraka za chama au uongozi au la. Keshajipa u independent candidate Ndani Ya chadema. Anachohangaika ni kujenga his personal name not party name!!! Kila sehemu waimbe lisu lisu lisu na sio chadema chadema chadema. Tatizo alilonalo lisu ndilo hilo hilo Alikuwa nalo Mrema na Lowasa walipokuwa CCM muda mwingi walihangaika kujenga majina yao zaidi. Nikiangalia chadema watu wawili Wanahangaika kujenga majina yao ambao ni lowasa na tundu lisu. Huwa wanajitolea matamko bila kupata approval ya chama which not healthier for the party
Ccm ya magufuli,tanzania ya magufuli. Fool u are self damm it

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lissu hazina ya Taifa anawapeleka puta puta kweli kiasi cha kukosa usingizi majumbani mwao.

[HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG]
Mkuu, hii mijitu mijinga hadi tumebaki kuitwa ulimwengu wa tatu. Ndiyo maana inapambana isitoke madarakani. Wanajua adhabu watakayopata wakiwa hawana madaraka. These CCMs are heathens!
 
Akitengwa na viongozi wenzie wa chadema ni halali kabisa sababu kubwa ni kuwa matamko yake hayana approval ya kikao chochote cha chadema wala ruksa ya mwenyekiti wa chama mbowe. Anadharau hierarchy na protocol za chadema. Hajali Matamko yake yana baraka za chama au uongozi au la. Keshajipa u independent candidate Ndani Ya chadema. Anachohangaika ni kujenga his personal name not party name!!! Kila sehemu waimbe lisu lisu lisu na sio chadema chadema chadema. Tatizo alilonalo lisu ndilo hilo hilo Alikuwa nalo Mrema na Lowasa walipokuwa CCM muda mwingi walihangaika kujenga majina yao zaidi. Nikiangalia chadema watu wawili Wanahangaika kujenga majina yao ambao ni lowasa na tundu lisu. Huwa wanajitolea matamko bila kupata approval ya chama which not healthier for the party
Hii ni serikali ya Magufuli.. Kwanini sio ya CCM? Umeshahoji hilo au kimbelembele tu?
 
Sijajua jinsi yako kama ni Ke au Me, kama ni Ke sishangai unaposema nimesikia kwani hiyo ni hulka ya baadhi ya kinamama wanaopiga umbeya, ila kama wewe ni Me jitafakari vizuri isije ikawa mtoto si riziki.
 
Naomba wale BAVICHA au BAWACHA wote mliomo humu JF mniambie hivi kwanini siku hizi Tundu Lissu amekuwa akitoa matamko bila kuandamana na viongozi waandamizi wa chama?

Pia naomba mniambie kwanini siku hizi Tundu Lissu anavaa viatu vya Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu kutoa matamko?bHawa wahusika wapo wapi?

Inasemekana kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna sintofahamu kubwa sana inayoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa kati ya Tundu Lissu na viongozi waandamizi wa chama wanamuona Lissu akitaka kukivuruga chama kwa matakwa yake binafsi ya kujinufaisha kuelekea 2020 ili hali kuna Lowassa mwenye hatimiliki ya kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia CHADEMA 2020.

Ndio maana tulizoeautaratibu wa hiki chama kila kinapotaka kutoa tamko siku zote kuna kujumuisha kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama kwenye hiyo press ya matamko ila tunachokiona sasa ni kupaniki kwa huyu jamaa baada ya kuona anatengwa na kusimangwa na kundi la Mbowe na Lowassa inafikia mpaka hatua ya kuanza kuropoka kwenye mambo wakati mwingne yana msingi lakini presentation yake inakua as if ni mtu ambaye ana msongo mkubwa sana wa mawazo na ambayo yanasababishwa na kuhisi kutengwa na chama.

Na hii inapelekea mpaka sasa wabunge walio wengi wapo majimboni mwao kipindi hiki ila yeye ndio kwanza yupo Dar kutetea watuhumiwa wa kutumia mihadarati na kutoa matamko yasiokuwa kuwa na kichwa wala mguu. Yeye badala ya kujenga chama anajenga jina lake.
Huu ni uongo na propaganda nyepesi kama Pamba. Lissu ni mzalendo mwenye kuona mbali na asiyevumilia matendo ya hovyo yanayofanyike. Lazima tuige ujasiri kutoka kwake tusimame imara kuwatetea watu wetu na pia kuwajulisha uongo na propaganda zinazofanyika ambazo hazitujengi!
 
Mnaongelea swala LA Noah alilopigia mahesaba Millard Ago kwenye mtandao wake badala yakuongelea tukipata hiyo pesa tujenge reli nchi nzima. Pumbuuuu kweli. Ndo maana Lowasaa aliwahaidi milo mitatu mkakubali.

Mkuu;
Heri ninayewazia Noah kuliko unaye wazia reli nchi nzima. Umezaliwa mwaka jana au nini?? Reli zilikuwepo hadi Mtwara kwenda Nachingwea, Dar hati Kigoma na Mwanza na mpanda, Dar Hadi Tanga na Arusha. Mkaziua wenyewe ili malori yenu yapate kazi.
Nikiwa na Noah yangu mwenyewe nitabebea hata kuku bazazi. Hiyo reli utabebea nini? Wenye Fuso unatakka waendee pikiniki?? Acha utani aisee, reli yenu ni ya miaka 10 tu ijayo baada ya hapo hakuna kitu tutajengea vyoo vya shule hayo mataruma ili fuso zipate kazi.
Heri aliyenidanganya kuwa atanipa milo 3 kuliko anaye ninyima hata huo 1
 
Wewe ni mzushi wa kutupa. Haya pita lumumba ukapate mlo wako mjini utaadhirika kama huna shughuli inayoeleweka kukuingizia kipato.

Naomba wale BAVICHA au BAWACHA wote mliomo humu JF mniambie hivi kwanini siku hizi Tundu Lissu amekuwa akitoa matamko bila kuandamana na viongozi waandamizi wa chama?

Pia naomba mniambie kwanini siku hizi Tundu Lissu anavaa viatu vya Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu kutoa matamko?bHawa wahusika wapo wapi?

Inasemekana kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna sintofahamu kubwa sana inayoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa kati ya Tundu Lissu na viongozi waandamizi wa chama wanamuona Lissu akitaka kukivuruga chama kwa matakwa yake binafsi ya kujinufaisha kuelekea 2020 ili hali kuna Lowassa mwenye hatimiliki ya kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia CHADEMA 2020.

Ndio maana tulizoeautaratibu wa hiki chama kila kinapotaka kutoa tamko siku zote kuna kujumuisha kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama kwenye hiyo press ya matamko ila tunachokiona sasa ni kupaniki kwa huyu jamaa baada ya kuona anatengwa na kusimangwa na kundi la Mbowe na Lowassa inafikia mpaka hatua ya kuanza kuropoka kwenye mambo wakati mwingne yana msingi lakini presentation yake inakua as if ni mtu ambaye ana msongo mkubwa sana wa mawazo na ambayo yanasababishwa na kuhisi kutengwa na chama.

Na hii inapelekea mpaka sasa wabunge walio wengi wapo majimboni mwao kipindi hiki ila yeye ndio kwanza yupo Dar kutetea watuhumiwa wa kutumia mihadarati na kutoa matamko yasiokuwa kuwa na kichwa wala mguu. Yeye badala ya kujenga chama anajenga jina lake.
 
Kwasasa hata Lisu mwenyewe hajijui anaongea kama nani!Maana matamko ya Chadema utamuona Mbowe, Mashinji, Lowasa na viongozi wengine wakuu!Lisu yeye anakurupuka na kuropoka ili akamatwe na polisi apate kiki
Anaongea kama Mwanasheria Mkuu wa Chama. Masuala anayoyazungumzia kwa kiasi kikubwa yanahusu sheria. Haya sema jingine, wewe unatakaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom