Hoshea
JF-Expert Member
- Jan 24, 2012
- 5,420
- 3,772
Mchoraji hapo mbona hajauchora mkitambi wake, mchoraji ni shabiki wa tundu la choo.Lissu anawachezesha CCM marikiri hadi raha yani.![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchoraji hapo mbona hajauchora mkitambi wake, mchoraji ni shabiki wa tundu la choo.Lissu anawachezesha CCM marikiri hadi raha yani.![]()
Hahahahaaa! Unajiliwaza tu. Hapo ulipo roho inakupwita kama umefumaniwa na mke wa baunsa. Unahofia kitu kitakupata.Hivi hicho chama bado kipo kweli??
Hahahahaaa! Unajiliwaza tu. Hapo ulipo roho inakupwita kama umefumaniwa na mke wa baunsa. Unahofia kitu kitakupata.
Acha u-hopeless weye. Tumbo alilitengeneza kwa juhudi zake. Sasa unataka kuona tumbo limechorwa au usahihi wa ujumbe? Such a classical moron!DUU HII NCHI BANAH
YAAN NDEGE IMEKAMATWA HUKO TENA IMENUNULIWA KWA KODI ZETU HALAFU MTU ANATAKA IWE SIRI
ETI MTU ANAKUJA ANZA MJADILI LISU KWELI?
NDO MAANA KUMBE EEHH
SUBRIN NA MAKINIKIA JIBU SOON TUTALIPATA MBONA
Ccm ya magufuli,tanzania ya magufuli. Fool u are self damm itAkitengwa na viongozi wenzie wa chadema ni halali kabisa sababu kubwa ni kuwa matamko yake hayana approval ya kikao chochote cha chadema wala ruksa ya mwenyekiti wa chama mbowe. Anadharau hierarchy na protocol za chadema. Hajali Matamko yake yana baraka za chama au uongozi au la. Keshajipa u independent candidate Ndani Ya chadema. Anachohangaika ni kujenga his personal name not party name!!! Kila sehemu waimbe lisu lisu lisu na sio chadema chadema chadema. Tatizo alilonalo lisu ndilo hilo hilo Alikuwa nalo Mrema na Lowasa walipokuwa CCM muda mwingi walihangaika kujenga majina yao zaidi. Nikiangalia chadema watu wawili Wanahangaika kujenga majina yao ambao ni lowasa na tundu lisu. Huwa wanajitolea matamko bila kupata approval ya chama which not healthier for the party
Mkuu, hii mijitu mijinga hadi tumebaki kuitwa ulimwengu wa tatu. Ndiyo maana inapambana isitoke madarakani. Wanajua adhabu watakayopata wakiwa hawana madaraka. These CCMs are heathens!Lissu hazina ya Taifa anawapeleka puta puta kweli kiasi cha kukosa usingizi majumbani mwao.
[HASHTAG]#lissuthegreat2020[/HASHTAG]
Hii ni serikali ya Magufuli.. Kwanini sio ya CCM? Umeshahoji hilo au kimbelembele tu?Akitengwa na viongozi wenzie wa chadema ni halali kabisa sababu kubwa ni kuwa matamko yake hayana approval ya kikao chochote cha chadema wala ruksa ya mwenyekiti wa chama mbowe. Anadharau hierarchy na protocol za chadema. Hajali Matamko yake yana baraka za chama au uongozi au la. Keshajipa u independent candidate Ndani Ya chadema. Anachohangaika ni kujenga his personal name not party name!!! Kila sehemu waimbe lisu lisu lisu na sio chadema chadema chadema. Tatizo alilonalo lisu ndilo hilo hilo Alikuwa nalo Mrema na Lowasa walipokuwa CCM muda mwingi walihangaika kujenga majina yao zaidi. Nikiangalia chadema watu wawili Wanahangaika kujenga majina yao ambao ni lowasa na tundu lisu. Huwa wanajitolea matamko bila kupata approval ya chama which not healthier for the party
Huu ni uongo na propaganda nyepesi kama Pamba. Lissu ni mzalendo mwenye kuona mbali na asiyevumilia matendo ya hovyo yanayofanyike. Lazima tuige ujasiri kutoka kwake tusimame imara kuwatetea watu wetu na pia kuwajulisha uongo na propaganda zinazofanyika ambazo hazitujengi!Naomba wale BAVICHA au BAWACHA wote mliomo humu JF mniambie hivi kwanini siku hizi Tundu Lissu amekuwa akitoa matamko bila kuandamana na viongozi waandamizi wa chama?
Pia naomba mniambie kwanini siku hizi Tundu Lissu anavaa viatu vya Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu kutoa matamko?bHawa wahusika wapo wapi?
Inasemekana kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna sintofahamu kubwa sana inayoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa kati ya Tundu Lissu na viongozi waandamizi wa chama wanamuona Lissu akitaka kukivuruga chama kwa matakwa yake binafsi ya kujinufaisha kuelekea 2020 ili hali kuna Lowassa mwenye hatimiliki ya kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia CHADEMA 2020.
Ndio maana tulizoeautaratibu wa hiki chama kila kinapotaka kutoa tamko siku zote kuna kujumuisha kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama kwenye hiyo press ya matamko ila tunachokiona sasa ni kupaniki kwa huyu jamaa baada ya kuona anatengwa na kusimangwa na kundi la Mbowe na Lowassa inafikia mpaka hatua ya kuanza kuropoka kwenye mambo wakati mwingne yana msingi lakini presentation yake inakua as if ni mtu ambaye ana msongo mkubwa sana wa mawazo na ambayo yanasababishwa na kuhisi kutengwa na chama.
Na hii inapelekea mpaka sasa wabunge walio wengi wapo majimboni mwao kipindi hiki ila yeye ndio kwanza yupo Dar kutetea watuhumiwa wa kutumia mihadarati na kutoa matamko yasiokuwa kuwa na kichwa wala mguu. Yeye badala ya kujenga chama anajenga jina lake.
Haki ya kukiseamea chama ktk matamko rasmi bila kuzingatia Itifaki?Mwanachama wa Cdm anayo haki kusema ingekuwa sio mwanachama asingesikilizwa na vile vile anaujasili kwa kipindi hiki
Kumbe unaujua upumbavu? Basi samahani nilikosea wewe ni mpumbvu kweli kweliHeri mimi waniita mjinga kuliko wewe mpumbavu
Mnaongelea swala LA Noah alilopigia mahesaba Millard Ago kwenye mtandao wake badala yakuongelea tukipata hiyo pesa tujenge reli nchi nzima. Pumbuuuu kweli. Ndo maana Lowasaa aliwahaidi milo mitatu mkakubali.
Naomba wale BAVICHA au BAWACHA wote mliomo humu JF mniambie hivi kwanini siku hizi Tundu Lissu amekuwa akitoa matamko bila kuandamana na viongozi waandamizi wa chama?
Pia naomba mniambie kwanini siku hizi Tundu Lissu anavaa viatu vya Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu kutoa matamko?bHawa wahusika wapo wapi?
Inasemekana kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna sintofahamu kubwa sana inayoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa kati ya Tundu Lissu na viongozi waandamizi wa chama wanamuona Lissu akitaka kukivuruga chama kwa matakwa yake binafsi ya kujinufaisha kuelekea 2020 ili hali kuna Lowassa mwenye hatimiliki ya kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia CHADEMA 2020.
Ndio maana tulizoeautaratibu wa hiki chama kila kinapotaka kutoa tamko siku zote kuna kujumuisha kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama kwenye hiyo press ya matamko ila tunachokiona sasa ni kupaniki kwa huyu jamaa baada ya kuona anatengwa na kusimangwa na kundi la Mbowe na Lowassa inafikia mpaka hatua ya kuanza kuropoka kwenye mambo wakati mwingne yana msingi lakini presentation yake inakua as if ni mtu ambaye ana msongo mkubwa sana wa mawazo na ambayo yanasababishwa na kuhisi kutengwa na chama.
Na hii inapelekea mpaka sasa wabunge walio wengi wapo majimboni mwao kipindi hiki ila yeye ndio kwanza yupo Dar kutetea watuhumiwa wa kutumia mihadarati na kutoa matamko yasiokuwa kuwa na kichwa wala mguu. Yeye badala ya kujenga chama anajenga jina lake.
Anaongea kama Mwanasheria Mkuu wa Chama. Masuala anayoyazungumzia kwa kiasi kikubwa yanahusu sheria. Haya sema jingine, wewe unatakaje?Kwasasa hata Lisu mwenyewe hajijui anaongea kama nani!Maana matamko ya Chadema utamuona Mbowe, Mashinji, Lowasa na viongozi wengine wakuu!Lisu yeye anakurupuka na kuropoka ili akamatwe na polisi apate kiki