Tetesi: Nilichosikia kinaendelea CHADEMA kati ya Lissu na viongozi waandamizi wa Chama

Naomba wale BAVICHA au BAWACHA wote mliomo humu JF mniambie hivi kwanini siku hizi Tundu Lissu amekuwa akitoa matamko bila kuandamana na viongozi waandamizi wa chama?

Pia naomba mniambie kwanini siku hizi Tundu Lissu anavaa viatu vya Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu kutoa matamko?bHawa wahusika wapo wapi?

Inasemekana kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna sintofahamu kubwa sana inayoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa kati ya Tundu Lissu na viongozi waandamizi wa chama wanamuona Lissu akitaka kukivuruga chama kwa matakwa yake binafsi ya kujinufaisha kuelekea 2020 ili hali kuna Lowassa mwenye hatimiliki ya kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia CHADEMA 2020.

Ndio maana tulizoeautaratibu wa hiki chama kila kinapotaka kutoa tamko siku zote kuna kujumuisha kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama kwenye hiyo press ya matamko ila tunachokiona sasa ni kupaniki kwa huyu jamaa baada ya kuona anatengwa na kusimangwa na kundi la Mbowe na Lowassa inafikia mpaka hatua ya kuanza kuropoka kwenye mambo wakati mwingne yana msingi lakini presentation yake inakua as if ni mtu ambaye ana msongo mkubwa sana wa mawazo na ambayo yanasababishwa na kuhisi kutengwa na chama.

Na hii inapelekea mpaka sasa wabunge walio wengi wapo majimboni mwao kipindi hiki ila yeye ndio kwanza yupo Dar kutetea watuhumiwa wa kutumia mihadarati na kutoa matamko yasiokuwa kuwa na kichwa wala mguu. Yeye badala ya kujenga chama anajenga jina lake.
Kwani nani kakuambia Lowasa ndiye mgombea wa Urais 2020?
Unajuaje kama hana mawasiliano na viongozi waandamizi? Acha umbea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayakuhusu huo ni umbea wa kijani,usituletee huku hatutaki.kama mme mshindwa kungwi wenu Canada aliye wacheza unyago,na mnataka utapeli wenu uwe siri,pole mmesha umbuka.jua yenu ya Canada,ya Chadema waachie chadema wenyewe.mmeua mzungu Arusha ili muendeleze ujangili,hamjatusikia sasa mnatutafuta ya rohoni,mtayapata muda si mrefu.majangili wakubwa nyie.kila baya nyie tu hakuna jema hata siku moja toka kwenu,wananchi wakafurahi ! Kila leo ni vituko na ushetani wakupitiza eboh.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba wale BAVICHA au BAWACHA wote mliomo humu JF mniambie hivi kwanini siku hizi Tundu Lissu amekuwa akitoa matamko bila kuandamana na viongozi waandamizi wa chama?

Pia naomba mniambie kwanini siku hizi Tundu Lissu anavaa viatu vya Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu kutoa matamko?bHawa wahusika wapo wapi?

Inasemekana kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna sintofahamu kubwa sana inayoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa kati ya Tundu Lissu na viongozi waandamizi wa chama wanamuona Lissu akitaka kukivuruga chama kwa matakwa yake binafsi ya kujinufaisha kuelekea 2020 ili hali kuna Lowassa mwenye hatimiliki ya kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia CHADEMA 2020.

Ndio maana tulizoeautaratibu wa hiki chama kila kinapotaka kutoa tamko siku zote kuna kujumuisha kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama kwenye hiyo press ya matamko ila tunachokiona sasa ni kupaniki kwa huyu jamaa baada ya kuona anatengwa na kusimangwa na kundi la Mbowe na Lowassa inafikia mpaka hatua ya kuanza kuropoka kwenye mambo wakati mwingne yana msingi lakini presentation yake inakua as if ni mtu ambaye ana msongo mkubwa sana wa mawazo na ambayo yanasababishwa na kuhisi kutengwa na chama.

Na hii inapelekea mpaka sasa wabunge walio wengi wapo majimboni mwao kipindi hiki ila yeye ndio kwanza yupo Dar kutetea watuhumiwa wa kutumia mihadarati na kutoa matamko yasiokuwa kuwa na kichwa wala mguu. Yeye badala ya kujenga chama anajenga jina lake.
Wee ujui kua anakesi na haruhusiwi kutoka Dar or...

Mmechelewa sana. Mmeumbuka jamano. Kuweni wapole si mlidhani jamaa ni malaika hakoseagi. Haya ss twende

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom