kimarabucha
JF-Expert Member
- Jul 29, 2017
- 791
- 621
Lissu anawasumbua sana na hivi mna Kiwango Kidogo cha ubongo basi mnapata taabu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba wale BAVICHA au BAWACHA wote mliomo humu JF mniambie hivi kwanini siku hizi Tundu Lissu amekuwa akitoa matamko bila kuandamana na viongozi waandamizi wa chama?
Pia naomba mniambie kwanini siku hizi Tundu Lissu anavaa viatu vya Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu kutoa matamko?bHawa wahusika wapo wapi?
Inasemekana kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna sintofahamu kubwa sana inayoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa kati ya Tundu Lissu na viongozi waandamizi wa chama wanamuona Lissu akitaka kukivuruga chama kwa matakwa yake binafsi ya kujinufaisha kuelekea 2020 ili hali kuna Lowassa mwenye hatimiliki ya kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia CHADEMA 2020.
Ndio maana tulizoeautaratibu wa hiki chama kila kinapotaka kutoa tamko siku zote kuna kujumuisha kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama kwenye hiyo press ya matamko ila tunachokiona sasa ni kupaniki kwa huyu jamaa baada ya kuona anatengwa na kusimangwa na kundi la Mbowe na Lowassa inafikia mpaka hatua ya kuanza kuropoka kwenye mambo wakati mwingne yana msingi lakini presentation yake inakua as if ni mtu ambaye ana msongo mkubwa sana wa mawazo na ambayo yanasababishwa na kuhisi kutengwa na chama.
Na hii inapelekea mpaka sasa wabunge walio wengi wapo majimboni mwao kipindi hiki ila yeye ndio kwanza yupo Dar kutetea watuhumiwa wa kutumia mihadarati na kutoa matamko yasiokuwa kuwa na kichwa wala mguu. Yeye badala ya kujenga chama anajenga jina lake.
LISSU kawakamata kina nani?????......Yaani badala ya kwenda jimboni mwake kipindi hiki yeye ana bwabwaja UPUUZI huku na kupokea RUSHWA KUTOKA KWA WAZUNGU na kuanza kuwatetea ili waendelee kutuibia RASILIMALI ZETU....sisi tuna mchora tuSasa kaka yangu umeshindwa kufurahia huo mpasuko? Lissu amewakamata kabisa
LISSU kawakamata kina nani?????......Yaani badala ya kwenda jimboni mwake kipindi hiki yeye ana bwabwaja UPUUZI huku na kupokea RUSHWA KUTOKA KWA WAZUNGU na kuanza kuwatetea ili waendelee kutuibia RASILIMALI ZETU....sisi tuna mchora tu
Mnaongelea swala LA Noah alilopigia mahesaba Millard Ago kwenye mtandao wake badala yakuongelea tukipata hiyo pesa tujenge reli nchi nzima. Pumbuuuu kweli. Ndo maana Lowasaa aliwahaidi milo mitatu mkakubali.Hata mseme nini tunangojea Noah. Chadema ni nini mbele ya Noah!! Makinikia ndo habari ya mujini sio TL tena. Maneno hayaliwi wala kutajirisha. Tumeshakata leseni.
Ukiwa kama nani uambiwe? Yanakuhusu,endeleeni kujiarishia.pambana na hali zenuNaomba wale BAVICHA au BAWACHA wote mliomo humu JF mniambie hivi kwanini siku hizi Tundu Lissu amekuwa akitoa matamko bila kuandamana na viongozi waandamizi wa chama?
Pia naomba mniambie kwanini siku hizi Tundu Lissu anavaa viatu vya Katibu Mkuu au Naibu Katibu Mkuu kutoa matamko?bHawa wahusika wapo wapi?
Inasemekana kama kichwa cha habari kinavyojieleza kuna sintofahamu kubwa sana inayoendelea ndani ya CHADEMA kwa sasa kati ya Tundu Lissu na viongozi waandamizi wa chama wanamuona Lissu akitaka kukivuruga chama kwa matakwa yake binafsi ya kujinufaisha kuelekea 2020 ili hali kuna Lowassa mwenye hatimiliki ya kuwa mgombea pekee wa uraisi kupitia CHADEMA 2020.
Ndio maana tulizoeautaratibu wa hiki chama kila kinapotaka kutoa tamko siku zote kuna kujumuisha kwa baadhi ya viongozi waandamizi wa chama kwenye hiyo press ya matamko ila tunachokiona sasa ni kupaniki kwa huyu jamaa baada ya kuona anatengwa na kusimangwa na kundi la Mbowe na Lowassa inafikia mpaka hatua ya kuanza kuropoka kwenye mambo wakati mwingne yana msingi lakini presentation yake inakua as if ni mtu ambaye ana msongo mkubwa sana wa mawazo na ambayo yanasababishwa na kuhisi kutengwa na chama.
Na hii inapelekea mpaka sasa wabunge walio wengi wapo majimboni mwao kipindi hiki ila yeye ndio kwanza yupo Dar kutetea watuhumiwa wa kutumia mihadarati na kutoa matamko yasiokuwa kuwa na kichwa wala mguu. Yeye badala ya kujenga chama anajenga jina lake.
huyo juha tuu hana loloteHatuangalii mtoa tamko tunaangalia ukweli wa tamko. Hili la Lissu ni la ukweli, alitoe akiwa na viongozi au mwenyewe haipunguzi ukweli wa alichosema.
Matamko mazito Kama aliyotoa yanahitaji idhini Ya mwenyekiti au vikao vya chama cha chadema kumpa go ahead
Kwa sababu tunaongozwa kijingaSijui kwanini awamu hii kumekuwa na ongezeko kubwa na wajinga!
Ada ya Muja Hunena, Mwungwana ni Vitendo. Kwamba kutokana na tabia ya kibinadamu, uungwana wa mtu hutambulika kwa vitendo vyake na siyo kwa mavazi, maumbile au maneno ayasemayo.
Lissu, kama Rais wa TLS ajikite katika kuwaongoza wanasheria wenzake kutetea maslahi ya Taifa, kuliko muda wote kuilaumu na kuikebehi Serikali. Kufanya hivyo, siyo tu ni uzalendo, lakini atajitambulisha kwenye jamii kama mwungwana.
Pia Lissu anapaswa kukumbuka kwamba Akili ni nywele kila mtu ana zake. Kwamba akili za watu ni za aina nyingi na ni tofauti kama vile nywele zilivyotofauti kwa kila binadamu. Akili yake Lissu imebaki ya maneno tu tena ya mipasho kama vijana wa vijiweni na siyo mtu msomi na makini.
Mh. Lissu akumbuke kuwa Ngoma ikilia sana mwishowe hupasuka.
Heri mimi waniita mjinga kuliko wewe mpumbavuRudia kusoma ulichoandika utajiona ulivyo mjinga
Heri mimi waniita mjinga kuliko wewe mpumbavu