Tetesi: Nilichosikia kinaendelea CHADEMA kati ya Lissu na viongozi waandamizi wa Chama



Sasa kaka yangu umeshindwa kufurahia huo mpasuko? Lissu amewakamata kabisa
 
Sasa kaka yangu umeshindwa kufurahia huo mpasuko? Lissu amewakamata kabisa
LISSU kawakamata kina nani?????......Yaani badala ya kwenda jimboni mwake kipindi hiki yeye ana bwabwaja UPUUZI huku na kupokea RUSHWA KUTOKA KWA WAZUNGU na kuanza kuwatetea ili waendelee kutuibia RASILIMALI ZETU....sisi tuna mchora tu
 
LISSU kawakamata kina nani?????......Yaani badala ya kwenda jimboni mwake kipindi hiki yeye ana bwabwaja UPUUZI huku na kupokea RUSHWA KUTOKA KWA WAZUNGU na kuanza kuwatetea ili waendelee kutuibia RASILIMALI ZETU....sisi tuna mchora tu


Jimboni kwake nenda ukamsaidie, au subiri aburunde ili ukagombee wewe. Hivi kwa jinsi mnavyomtafuta Lissu angechukua rushwa mngemuacha? Hivi hao wezi anaowatetea Lissu waliletwa na nani hapa nchini? nani aliyeingia nao mikataba? hivi hamsikii hata chembe ya aibu kuwaita hao wazungu wezi wakati mna mikataba nao? kweli mnatisha, mlipokuwa mnaenda kusaini usiku na kupitisha kwa sauti za ndiooooooooo hamujua ni wezi?
 
Hata mseme nini tunangojea Noah. Chadema ni nini mbele ya Noah!! Makinikia ndo habari ya mujini sio TL tena. Maneno hayaliwi wala kutajirisha. Tumeshakata leseni.
Mnaongelea swala LA Noah alilopigia mahesaba Millard Ago kwenye mtandao wake badala yakuongelea tukipata hiyo pesa tujenge reli nchi nzima. Pumbuuuu kweli. Ndo maana Lowasaa aliwahaidi milo mitatu mkakubali.
 
Ukiwa kama nani uambiwe? Yanakuhusu,endeleeni kujiarishia.pambana na hali zenu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuangalii mtoa tamko tunaangalia ukweli wa tamko. Hili la Lissu ni la ukweli, alitoe akiwa na viongozi au mwenyewe haipunguzi ukweli wa alichosema.
huyo juha tuu hana lolote
 
Lisu ni mwanasheria - wakili. Lisu ni Rais wa T L S, Lisu ni raia wa Tanzania .Lisu ni mbunge . walau kwa hayo ana wajibu wa kuhoji kama raia , ana wajibu wa kudai haki zake za msingi kama raia wa nchi. ana haki ya kukosoa taratibu za kisheria kulingana na upeo wake katika masuara ya kisheria
 
Huyo tahira Lissu mnamuogopa sana nyinyi wendawazimu, eeeeeeeehhhhhh kuna mtu anatamani ampoteze lissu kabisa mtakoma mwaka huuu huyo chuma cha pua na Icon ya Taifa
 
Rudia kusoma ulichoandika utajiona ulivyo mjinga
 

Anatoa matamko kama Rais wa TLS
 
DUU HII NCHI BANAH
YAAN NDEGE IMEKAMATWA HUKO TENA IMENUNULIWA KWA KODI ZETU HALAFU MTU ANATAKA IWE SIRI
ETI MTU ANAKUJA ANZA MJADILI LISU KWELI?
NDO MAANA KUMBE EEHH
SUBRIN NA MAKINIKIA JIBU SOON TUTALIPATA MBONA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…