Ccm huwa haipiti kwa box la kula mzee ....Mama anasema atagombea ngoja tuone kama atapita
Nadhani katiba mpya inahitajika chap na kwa harakaCcm huwa haipiti kwa box la kula mzee ....
Unajisumbua bure ....
Only NEC ,
Hao kina Mama wangeulizwa fedha zao za vitambulisho ziko wapi na zimefanyia shughuli gani?Tembea ufunzwe na dunia, ni sehemu ya msemo hama methali maarufu miongoni mwetu, mafundi genereta kwa sasa wanasema kufa kufaana [emoji52]!.
Nikiwa kwenye pilikapilika zangu za kuutafuta mkate wa siku, mara mgambo wamepita wakiwa kwenye pickup tatu wakitokea maeneo ya mnara wa mwenge ni hapo jijini Arusha.
Sikujua walipokuwa wanaelekea ila kutokana na usafi unaondelea nchini wa kuondoa wafanyabishara ndogondogo a.k.a machinga nilitambua kinachofuatia
Niliibukia maeneo ya Kaloleni jirani na jengo la nssf mbele yake kulikuwa na kinamama waliokuwa wanauza t-shirt.
Maongezi yao yalikuwa na maneno haya, "... uchaguzi ukifanyika na tukiwekewa picha ya Magufuli tutaipigia kura" niligeuka na kuwatizama huku nikiwaza mambo kadha wa kadha na kujisemea moyoni, 'mmh kuna kazi'.
Maoni yangu kwa washika dau wote, pamoja na kuwepo matatizo kadhaa kama mgao wa umeme, maji nk, kuna haja ya kuwa makini na upande wa pili wa shilingi.
WaaaapiiiiMagufuli anaishi mioyoni mwa Watanzania wengi hata sasa.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Waaaapiiii
ππΏπ¬Vs chagadema
Hizo akili za namna hii ...Ni mjinga tu ndie atakuunga mkonoTembea ufunzwe na dunia, ni sehemu ya msemo hama methali maarufu miongoni mwetu, mafundi genereta kwa sasa wanasema kufa kufaana [emoji52]!.
Nikiwa kwenye pilikapilika zangu za kuutafuta mkate wa siku, mara mgambo wamepita wakiwa kwenye pickup tatu wakitokea maeneo ya mnara wa mwenge ni hapo jijini Arusha.
Sikujua walipokuwa wanaelekea ila kutokana na usafi unaondelea nchini wa kuondoa wafanyabishara ndogondogo a.k.a machinga nilitambua kinachofuatia
Niliibukia maeneo ya Kaloleni jirani na jengo la nssf mbele yake kulikuwa na kinamama waliokuwa wanauza t-shirt.
Maongezi yao yalikuwa na maneno haya, "... uchaguzi ukifanyika na tukiwekewa picha ya Magufuli tutaipigia kura" niligeuka na kuwatizama huku nikiwaza mambo kadha wa kadha na kujisemea moyoni, 'mmh kuna kazi'.
Maoni yangu kwa washika dau wote, pamoja na kuwepo matatizo kadhaa kama mgao wa umeme, maji nk, kuna haja ya kuwa makini na upande wa pili wa shilingi.
Shut up UNAKERA[emoji867] manka
Kwa nn asipiteMama anasema atagombea ngoja tuone kama atapita
Bila picha kwenye uzi wako, unabakia ni uzi wa propaganda tu na wenye mrengo wa kama stori za kwenye kahawa.Tembea ufunzwe na dunia, ni sehemu ya msemo hama methali maarufu miongoni mwetu, mafundi genereta kwa sasa wanasema kufa kufaana [emoji52]!.
Nikiwa kwenye pilikapilika zangu za kuutafuta mkate wa siku, mara mgambo wamepita wakiwa kwenye pickup tatu wakitokea maeneo ya mnara wa mwenge ni hapo jijini Arusha.
Sikujua walipokuwa wanaelekea ila kutokana na usafi unaondelea nchini wa kuondoa wafanyabishara ndogondogo a.k.a machinga nilitambua kinachofuatia
Niliibukia maeneo ya Kaloleni jirani na jengo la nssf mbele yake kulikuwa na kinamama waliokuwa wanauza t-shirt.
Maongezi yao yalikuwa na maneno haya, "... uchaguzi ukifanyika na tukiwekewa picha ya Magufuli tutaipigia kura" niligeuka na kuwatizama huku nikiwaza mambo kadha wa kadha na kujisemea moyoni, 'mmh kuna kazi'.
Maoni yangu kwa washika dau wote, pamoja na kuwepo matatizo kadhaa kama mgao wa umeme, maji nk, kuna haja ya kuwa makini na upande wa pili wa shilingi
Siyo lazima kupata jibu kutoka kwa hao mkuu, nilishapa jibu la hilo swali nikiwa Lindi kuwa, bora e20 ya kitambulisho kuliko 500 ya kila siku!.Hao kina Mama wangeulizwa fedha zao za vitambulisho ziko wapi na zimefanyia shughuli gani?