Nilichosikia Kutoka Kwa Kinamama wa Chuga, Endapo Uchaguzi Utafanyika Kesho

Nilichosikia Kutoka Kwa Kinamama wa Chuga, Endapo Uchaguzi Utafanyika Kesho

Bila picha kwenye uzi wako, unabakia ni uzi wa propaganda tu na wenye mrengo wa kama stori za kwenye kahawa.
Acheni hizo.
Nafahamu kina Tomaso huwa mpo, so picha ya kinamama wanaongea, utawasikia au bora picha tu ili nafsi yako itulie ?.
 
Time will tell
download.jpeg
 
Siyo lazima kupata jibu kutoka kwa hao mkuu, nilishapa jibu la hilo swali nikiwa Lindi kuwa, bora e20 ya kitambulisho kuliko 500 ya kila siku!.
Mnapenda majibu rahisi Kwa maswali magumu!!!...hao kina Mama waende maeneo rasmi ya kufanyia biashara zao[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom