Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Wadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.

Siku hiyo nikapata lidada la Kiarabu. Mashallaah....lina tembea na kiti chake ( big ass ) na linapendeza kweli. Likanisonga songa nikaona si haba ngoja nami nipate sehemu ya kuwa naoshea Rungu. Lizuri sana la Haja.

Likanambia linaishi kwao lilishaachika mumewe alikuwa mlevi. Nikaona nilipangie Room ili liwe linanifariji na hali ya kibaridi huku Tabora. Sikutaka liwe linakuja Hotel nliyofikia maana nipo na wenzangu wananiheshimu mi ni boss wao.

Likanambia liwe linakuja nilipo nikasema hapana ntakupangia room.basi nikapelekwa Ng'ambo huko ndo lilipopata room.sikupapenda.likasema pale ndo pazuri kwake. Nikamwambia kama ni pale mi nalipia tu miezi mitatu ahame ahamie sehemu za kisasa Cheyo.

Basi kwa shingo upande akachukua pesa kulipia room. Siku mbili tatu bidada akasema anataka nimnunulie TV.nikaona siyo big deal TV 380,000 tu nikamnunulia.

Basi nikawa namtunza naye ananitunza tunafaana kwa jua na mvua. Siku nikamwambia sitoenda kwake...but night kali nikajiwa na hamu sana around saa tano nikaona isiwe shida. Nina usafiri na ng'ambo si mbali.

Basi nakumbuka nikawa nashuka ghorofani kwa kasi kidogo nivunje mguu nawahi kwenda osha Rungu.

Simu nlipiga ikawa unreachable.nikatia team home kwake. Bahati nzuri nikakuta hakulala mlango upo wapi nikasukuma ndani.... Daaah .... Nlikuta jamaa amevaa khanga amekaa anaangalia TV yangu?

Nlishtuka nikadhani maybe nmekosea room. Nikamwambia jamaa hapa ndo kwa Zakhia... Akajibu ndiyo...mara ghafla namwona bidada anaingia kashika beers mkononi. Kuniona akashtuka... Nikamuuliza ndo alichoamua kunifanyia...?

Bidada akawa mkali na kuanza kunibwatukia kuwa sijamwoa....tena nisimzingue....nikamwambia haina shida. Nliipasua TV... Yule mgeni alichomoka mle ndani na khanga akatoka speed sana.maana mashetani yangu ya kikurya yalishapanda.

Nikapasua na Radio yule dada aakaanza kulia akiomba msamaha....aliomba sana msamaha....nikamwambia atulie maana nlishashika kisu kukata kata sofa mbili nilizomwekea ndani....

Then nikamwaga analia ile mbaya.... Yaani mademu wa kiswahili hovyo sana. Nimechoka nayo. Nimeapa Ng'ambo sirudi tena. Jamaa yangu ananiambia labda nikaangalie sehemu nyingine mademu wa kupozea hasira. Nmeshachoka na huku Mboka Manyema.
 
Kuna mshikaji anaitwa Abubakari.

Alichaguliwaga form one pale Tabora Boys. Akapata demu wa pale Ng'ambo pemben ya mlima Kazehill.

Haikupita miezi mitatu akahamia kwa binti na shule akawa haji. Headmaster alimfuata na gari la shule kwenda kumbembeleza arudi shule, mshikaji akagoma hata kutoka ndani.

Mwisho wa siku alifukuzwa shule kwa kosa la kujihusisha na mapenzi.
 
Muulizie tina tulikua tunamwita mom beib nae alikimbiza sana ile miaka 2004 hapo ng'ambo kwenye mawe mawe.
Sasa atakuwepo kweli zaidi ya miaka 16? Nani mwingine nimtafute angalau wa kupiga naye stories....
 
Sasa kwanini unaharibu vitu na umevigharamakia mwenyewe, na tena kuna watu wanamahitaji navyo.
Aaargh.... Acha tukose wote. Mi sina tatizo. Atapata mtu mwingine wa kumgharamikia kuvununua. Ananipigia simu sana akitaka nimsamehe nirudiane naye amekosa.

Anatuma texts kila baada ya muda mfupi.... Wenzake wananitafuta wakisema niwe nao.....yaani mwenzake ananambia bila woga....shem njoo basi nikupunguze hasira na mawazo....sina hamu nao kabisa....
 
We malaya unampangia nyumba kabisa! Hizo gharama ni bora ungekuwa unapigia lodge tu hilo paka la bar😂 sababu umesema una uhakika na maisha!
Wee acha unajua kutokuwa na uzoefu na bidada nlitegemea angetulia shida si pesa? Mi vipesa vidogo dogo ninavyo havinisumbui kabisa.
 
Kuna mshikaji anaitwa Abubakari.

Alichaguliwaga form one pale Tabora Boys. Akapata demu wa pale Ng'ambo pemben ya mlima Kazehill.

Haikupita miezi mitatu akahamia kwa binti na shule akawa haji. Mwisho wa siku alifukuzwa shule kwa kosa la kujihusisha na mapenzi.
Daaaaa..... Tabora kuna midudu hatari....sema tu mingi ni ya porini. But kuna midudu safi sana ya kupiga nyanjo..... Ukiliogesha ukaliweka vizuri.....aaaaargh acha bwana .
 
Back
Top Bottom