Nilichotendwa Tabora huku Ng'ambo sina hamu tena!

Dah kweli Elimu haina mwisho, kuna watu hawana ustaarabu na ndio wako hivyo tu!
Halafu huwa wanalalamika kuwa sisi wanaume wabaya kumbe ubaya wanauanza wenyewe. Sasa anapiga simu na kutuma texts kila wakati kuwa nimsamehe kwa kuwa yule alikuwa mtu wake wa kitambo. So akawa hana namna. Hata kumjibu najisikia uvivu.
 
Mpotezee tu tafta goma lingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…