Mamserenger
JF-Expert Member
- Oct 14, 2019
- 1,156
- 2,092
Eti babuuHongera kwa kuwa bosi mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
Wewe umeokota malaya halafu unataka awe wa peke yako? We ulisikia wapi?[emoji15][emoji15][emoji15]
Nipo mwenyewe ChiefReal? Upo peke yako au na....ile mituli (nyama ndani ya utumbo) ipo ?
Ifanye story of change tukupigie kuraWadau mimi nmekuja Tabora mwezi sasa. Nimekuja kikazi shughuli zetu. So siku zote hizi nalipwa Per diem kama kawaida. Nikawa mara kadhaa napata burdan sehemu mbalimbali mpaka mwenyeji wangu akanileta Sehemu moja inatwa Oxygen.
Hatufanani. Mama yangu anaishi vizuri na baba yangu. Kifupi si pesa ya kuniumiza kichwa. MPaka natumia hiyo maana yake mambo yote muhimu nimekamilisha. Nalipwa per diem na posho mbalimbali.....yaani siyo issue kwangu. Nlikwazika tu kuwa anatumia vitu nlivyogharamia kwa upuuzi.Hiyo hela uliyotumia kwa hilo changu bora ungemtumia mama yako mzazi qua kumjengea kaburi lake kama ameshatutoka
Sasa kwanini unaharibu vitu na umevigharamakia mwenyewe, na tena kuna watu wanamahitaji navyo.
Kodi ndogo sana ndugu yangu si kama ya Dar. Yaani ukiambiwa unaweza shangaa....lakh 300,000 miezi mitatu. Ni pesa ndogo sana. Niliona hiyo bora kuliko kuwa nalipia Hotel 45,000 kila mara. Pia sikutaka mleta nilipo si heshima. Huwa sifanyi hilo kosa.Mwanamke mkuu hujamuoa unampangia chumba..?? Mkuu huyo ilitakiwa ukimuhitaji mnakutania hata lodge mnamalizana ila kumpangia chumba daah pole
Nsingeharibu vitu ngelazimika kumharibu yeye ....na muda huu ngekuwa nina kesi ndogo ingawa isingenisumbua....ila tu ingenichafulia status yangu Mkuu.Sasa kwanini unaharibu vitu na umevigharamakia mwenyewe, na tena kuna watu wanamahitaji navyo.
Sawa ila wamawake wa kuchakata kama hao usiwapangie vyumba wakikaa wenyewe watavusha watu siku haupo km hivyoKodi ndogo sana ndugu yangu si kama ya Dar. Yaani ukiambiwa unaweza shangaa....lakh 300,000 miezi mitatu. Ni pesa ndogo sana. Niliona hiyo bora kuliko kuwa nalipia Hotel 45,000 kila mara. Pia sikutaka mleta nilipo si heshima. Huwa sifanyi hilo kosa.
Kabisa... Ngoja nijenge utulivu kwanza...marafiki zake wawili wanashindana kutaka ni win. Nawakwepa nao.Mpotezee tu tafta goma lingine
Ulifanya vyema.... Atakuwa alijuta sana ...hawajielewi hawa ....Nilishachukua kirukuu nikasomba vitu vya malaya niliyempangishia sinza. Nikafika navyo home nikaulizwa nikakosa jibu cha maana tu vinatumika na watoto wana TV yako. Sifanyi ujinga tena wa kumpangishia Demu malaya chumba.
Wapuuzi sana hawa.Ulifanya vyema.... Atakuwa alijuta sana ...hawajielewi hawa ....
Mambo ya kupangishia madem Chumba hiyo tabia wanayo wa Zanzibar utakuta kijana ana ishi Kwa wazaz lakin kampangishia Chumba malayaNilishachukua kirukuu nikasomba vitu vya malaya niliyempangishia sinza. Nikafika navyo home nikaulizwa nikakosa jibu cha maana tu vinatumika na watoto wana TV yako. Sifanyi ujinga tena wa kumpangishia Demu malaya chumba.
Likely Msukuma [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Kama wewe ni bosi, sijui hao unaowaongoza wapoje. Maana unaonekana mshamba sana!
jamaa yangu hapo si kuna Chuo cha Uhazili? jaribu week endSasa atakuwepo kweli zaidi ya miaka 16? Nani mwingine nimtafute angalau wa kupiga naye stories....
We ni mdada wa ng'ambo anayesemwa na jamaaa nini?πππππChai
I wonder kwa kweli dada yuko kihasara yeye ana taka amumulikiHongera kwa kuwa bosi mkuu [emoji122][emoji122][emoji122]
Wewe umeokota malaya halafu unataka awe wa peke yako? We ulisikia wapi?[emoji15][emoji15][emoji15]