Nilichowafanya hawa mabinti wa IFM hawatanisahau

Nipe muda kidogo ,nitakushangaza sana .
 
Naunga mkono hoja,
Mabinti wangekula vyake na jamaa akalipia wangemuona fala na kumchukulia danga.
Kuna namna bint alitaka kumkomoa jamaa
Jamaa nae kafanya alchoweza kumkomoa zaid
 
Mi ningejitutumua nikalipa hiyo bili kisha nikahakikisha nachukua namba zao au mmoja wao wa shoga zake huyo slay q kisha naanza mawindo kwa mmoja baada ya mwingine ,Naanza kuwatoa out mmoja baada ya mwingina na kula mzigo kabisa.

Huwa hawakatai kutolewa out hao,tena wakiona mambo mazuri wanakutana nayo huko aaah we ni kunoa kisu tu nyama ipo

Huwa nafanya hivyo ,mie sichukui kampan yako ila jua nitawala wote kwa nyakati tofauti.
 
Ahahaaaaaa....! Wewe balaa
 
Naunga mkono hoja,
Mabinti wangekula vyake na jamaa akalipia wangemuona fala na kumchukulia danga.
Kuna namna bint alitaka kumkomoa jamaa
Jamaa nae kafanya alchoweza kumkomoa zaid
Japo angelipa zake hata kwa kumtumia huyo binti kwa mpesa😄😄
 
Utajikuta umetumia milioni
 
Faida yake ni nini?
Kumwaga wazungu tu tena kwa mabinti wa kuokoteza?
Mbona tunajishusha thamani kiasi hiki?
 
Mimi huu mchezo aliwai nifanyia Mchepuko wangu mamaJ

Tumeenda bar wawili,
Pale bar kakutana na shoga zake meza ya jirani, wakaanza Kama wanaomba bia Moja, nikaona mamaJ katoa bia kawapa.nikachukulia POA.

Baadae wakazidisha mazoea wakamuomba na nyama choma na vinywaj zaidi.
Bila idhini yangu Kawaagizia jikoni na counter kwa maelekezo ya bill itasoma kwangu.

Mda wa kuondoka naletewa bill inasoma mzigo mrefu sn wkt kwangu nmetumia pesa kdg, namwambia mamaJ anajibu kirahisi rahisi nikaona naumbuka hapa.

Nililazimika kulipa ile bill kwa kujazia cash nilonayo kwa muamala wa NMB mobile.

Tulivoenda nyumban nilikwapua ela zake KWENYE mkoba wake wa kazini na kukata Deni langu la ile bill walokunywa shoga zake.

Alipinga kelele sana[emoji1787]
Katukana matusi ya Kila Aina[emoji1787]
Ila ndo hivyo nishajilipa, pesa hairudi


Alipata funzo na hajarudia Tena upuuzi ule, skuhz ata mtu akiomba bia moja tuko bar anajuana nae, atamwelekeza kwangu nitoe idhini kwanza sio kujiamulia kienyeji[emoji4]
 
Umekosea sana mkuu, me nilimwita akaja na wenzake watatu nilifanya usavimbi wng wale mabest zake nkawala ndizi utumbo wote[emoji23][emoji23]
 
ungemwambia mapema kuwa asije na qenzio huo ndio ustaarabu
 
Safi sana kamanda,huo ndio uanaume,uanaume sio kugeuzwa chuma ulete
 
Vijana mna shida kweli. Taratibu ungetafuna wote wanne kila mtu na siku yake. Mwishowe ungepiga fivesome. Siku nyingine ujue. Wabgekuja wawili ungewatafuna wote wawili siku hiyo hiyo baada ya misavanna na konyagi humo humo. Ndiyo vitu wanataka hawana wivu hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…